facebook likes

Monday, August 12, 2013

SHOCK : Desmond Tutu Kicked Out of Twitter

He has a hotline to God but finds it somewhat harder to tweet. Retired South African archbishop Desmond Tutu launched a Twitter account on Thursday only to find it suspended hours later.
....READ MORE....

LMFAO!!What kind of SH*T is KANYE teaching boys??




How do you appear like this in public???

Wiz Khalifa Brings Adorable Baby Bash On Stage

Wiz Khalifa and Baby Bash

Amber and Wiz Khalifa’s Baby Bash is a rock star already.  The five-month old made his debut on stage last night during a “Under The Influence” tour stop in Cincinnati.

ALBAMU YA ANACONDA SHOW-TRIPLE A CLUB ARUSHA,LADY JAYDEE PROFESA JAY NA MACHOZI BAND WAFUNIKA VIBAYA


DSC03334 
Anaconda mwenyewe akifanya mambo
...ANGALIA PICHA NA SOMA ZAIDI.....

Walter Chilambo Afunguka Baada ya Kuchanwa na Ney Kuwa Ana Maisha Duni Licha Ya Kushinda Milioni 50 za EBSS

Baada ya maneno na tuhuma nzito za Ney wa Mitego dhidi ya Mshindi wa Epiq Bongo Star Search mwaka 2012, Walter Chilambo kuwa ‘huenda’ amedhulumiwa zawadi yake ya ushindi, Shilingi Milioni 50 na waratibu wa shindano hilo kwa sababu mpaka sasa yupo katika maisha duni, 
....SOMA ZAIDI....

MAAJABU....MAITI AAMKA NA KUCHUKUA CHUPA YA MAJI YA KUNYWA KWENYE MSIBA WAKE MWENYEWE...!!


Wapita Njia walipata hali ya  kutishwa wakati mtu huyo, ambaye alisemekana kuwa maiti, ghafla aliamka na kumpora mmoja wa waombolezaji chupa ya maji na kuanza kunywa.
...SOMA ZAIDI.....

HADI SASA MUGABE HAJAAPISHWA KUTOKANA NA KESI YA MDC INAYOMKABILI..,HOTUBA YAKE BAADA YA UCHAGUZI..!!

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anatarajiwa kutoa hotuba yake ya kwanza tangu kushinda uchaguzi mkuu wa Zimbabwe zaidi ya wiki moja iliyopita.

.....SOMA ZAIDI.....

Red carpet photos from the 2013 Teen Choice Awards in LA



 
.......SEE MORE PHOTOS AFTER THE CUT.......

Beyonce's perfume collection named best celebrity scent in the world


Beyonce is the best at everything. Not only has she sold out her world tour with no new music, her Heat Collection of fragrances was just named the best selling celebrity scent in the world.

EXCLUSIVE: BARUA RASMI YA MWINYI KAZIMOTO KWA TFF AKIOMBA MSAMAHA KWA KITENDO CHA KUTOROKA

MWINYI KAZIMOTO

(picha kwa hisani ya shafiidauda) 
....SOMA ZAIDI...

MAMA WA WATOTO SITA ALIVYOFANIKISHA MKENYA WA KWANZA KUCHEZA LIGI KUU YA ENGLAND - VICTOR WANYAMA

Kenya itakuwa nchi ya 100 ya kigeni kuwa na mchezaji anayekipiga kwenye ligi kuu ya England wakati kiungo wa kimataifa wa nchi hiyo Victor Wanyama atakapocheza mechi yake ya kwanza akiwa na Southampton.
......SOMA ZAIDI.......

AJALI YA ROLI ILIYOUWA WATU WAWILI CHALINZE.....

....ANGALIA PICHA ZAIDI.....

KUMBE WAZUNGU KUMWAGIWA TINDIKALI ILIKUWA ONYO...SABABU ZAANIKWA SASA HALI INATISHA....!!

Kate Gee na Kristie Trup baada ya kufikishwa hospitali ya Chelsea and Westminster jijini London.
.....SOMA ZAIDI.....

CAG kukagua ufisadi mabilioni Smart Partnership

CAG Ludovick Utouh-1

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG, Ludovick Utouh, amesema kuwa atafanya ukaguzi maalumu wa kashfa ya wizi wa Sh8 bilioni zilizotumika katika mkutano wa Smart Partnership Dialogue.
...SOMA ZAIDI......

USICHOKIJUA KUHUSU SALIM KIKEKE WA BBC

salim_kikekeSalim kikeke akiwa kapozi kiofisi
Penye nia pana njia na mtafutaji makini huwa hachoki, ndivyo anavyosema mtaalamu wa masuala ya uchumi, Dk Wayne Dyer wa Marekani katika kitabu chake cha ufanye nini kupata unachokiazimia.
.....SOMA ZAIDI.....

NEW JOINT: DOCTA D ONE &EAZY ONE Ft JEFF LEGEND- MENGI WANAONGEA

DOWNLOAD AND LISTEN HERE.........

Polisi yashikilia wawili mauaji ya bilionea Moshi.


???????????????????????????????Marehemu Erasto Msuya enzi za uhai wake
Wakati bilionea mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite yanayopatikana Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, marehemu Erasto Simon Msuya (43) akitarajiwa kuzikwa kesho nyumbani kwao mtaa wa Kairo,

....SOMA ZAIDI.....

TAMASHA LA ARIKA MAREKANI FESTAFRICA 2013 LAFANA

IMG_3245

Tanzania iliwakilishwa vyema kwenye tamasha hilo la kila mwaka liitwalo FestAfrica lililofanyika mwishoni mwa juma huko Silver Spring Md na kuhudhuriwa   na mamia ya wakazi.
......SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

China: Kuna treni nauli ni makopo. Unaokota makopo unaingiza kwenye mashine unapata tiketi.


Kibongo bongo kuna uchafu ungeonekana?

Fujitsu-Siemens waja na laptop kubwa zaidi duniani.


Bado itaitwa laptop? Maana laptop inatakiwa ienee kwenye mapaja.. 

Wezi warudisha vitu walivyoiba pamoja na ki-note cha kuomba msamaha

Thieves have returned electronic accessories they stole from a charity.
......SOMA ZAIDI....

ALIYEMVUTISHA MADAWA YA KULEVYA (UNGA) RAY C AKAMATWE..!

WIKI iliyopita, sexy lady wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ au ‘Kiuno Bila Mfupa’ alifunguka juu ya mwanaume aliyekuwa akimvutisha madawa ya kulevya ‘unga’ bila kumtaja hivyo kuibua mzozo katika majukwaa ya kisheria kuwa mtu huyo akamatwe mara moja.

....SOMA ZAIDI...

WACHEZAJI WAPYA WA SIMBA KAZE GILBERT NA KHAMIS TAMBWE WAZUIWA NCHINI BURUNDI..!!

NYOTA wapya wawili wa Klabu ya Simba, straika Khamis Tambwe na beki Kaze Gilbert, watachelewa kujiunga na timu hiyo baada ya klabu yao ya Vital’O ya Burundi kuwazuia kwa muda.

....SOMA ZAIDI.....

MAJAMBAZI WAMTEKA DIWANI MKOANI KAGERA...!!

DIWANI wa Kata ya Chonyonyo (CCM) wilayani Karagwe, Arnold Rweshekerwa, amenusurika kuuawa na kundi la majambazi waliomteka nyara katika eneo la Kyanyamisa kabla ya kuwatoroka akiwa amewafungia ndani ya gari lake katika Pori la Kimisi.

...SOMA ZAIDI.........

BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) YATOA ONYO KWA MATUMIZI YA NOTI BANDIA..!!


BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) Kanda ya Kaskazini, Arusha imewatahadharisha wananchi kuhusiana na tatizo la noti bandia nchini,
....SOMA ZAIDI....

MWANAMKE AMUUA MPENZI WAKE KWA KUMCHOMA MOTO AKIMTUHUMU KUWA NI MWIZI HUKO MPANDA


Mzozo wa wapenzi wawili usiku, umesababisha mmoja wa kike kupiga mayowe ya kumuita mwenzake mwizi, akavamiwa na watu waliompiga na kumchoma moto hadi kufa.
.....SOMA ZAIDI.......

"JAPO NILITUHUMIWA KUGAWA PENZI GESTI, LAKINI NIMEPIMA NA SINA UKIMWI.... NANI MJANJA??"...ROSE NDAUKA

Mwanadada Rose Ndauka ambaye hivi karibuni aliingia katika skendo ya kimapenzi na Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayechipukia, ameamua kuwa mmoja wa wasanii wachache wa Sanaa ya Filamu nchini kuamua kuanika wazi majibu ya vipimo vyake vya gonjwa hatari la ukimwi nchini. 

.......SOMA ZAIDI.....

BBA UPDATES: Beverly is the first housemate to sail the whole season without being Nominated.

Beverly has made history by becoming the first Chasemate to sail through the season without being Nominated. Well, that's if Elikem decides to put someone else up should he Save himself tonight.
..........READ MORE.....

BBA UPDATES: Nominations: Doing It For The Top 5!

Nigeria's Beverly kicked off the most crucial Nominations of the season with her list of victims for the Eviction guillotine.
.......READ MORE.....

SUALA LA JUMA KASEJA LAENDELEA KUWA LUGHA GONGANA: AITWA TENA NA RAISI WA FC LUPOPO

KIPA wa zamani wa Simba, Juma Kaseja, ameendelea kukumbana na mikasa lukuki baada ya paspoti yake kuibwa katika hali ya utatanishi huku rais wa Klabu ya FC Lupopo, Victor Kasongo Ngoy, akimtaka aende DR Congo wiki hii.
















































.....SOMA ZAIDI,....

WAFUASI WA SHEKHE PONDA WAKATA RUFAA

 WAFUASI 52 wa Shekhe Ponda Issa Ponda, waliohukumiwa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, wamekata rufaa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakipinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyowatia hatiani.
.......READ MORE.....

"WASANII WENGI WA FILAMU HUWA TUNAAMKA ASUBUHI HATA HATUJUI TUNAKULA NINI"... BATULI

Batulli  ambaye  ni mmoja wa waigizaji wa kike warembo nchini na ambaye jina lake halisi ni Yobnesh Yussuph aka Nesh, amefunguka kwenye Twitter kuwa licha ya soko la movie kupanuka, waigizaji wengi hawana kitu.

........SOMA ZAIDI.........

SHEIKH PONDA AWEKWA CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI.. ***JUMUIYA YA KIISLAM YATOA MASHARTI KWA SERIKALI

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda yupo chini ya ulinzi huku akitibiwa majeraha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. 

....SOMA ZAIDI....

JB, Steven Nyerere, na Kiroboto wapata dili ya matangazo airtel. Ni mkataba wa mwaka mmoja

JB, Steven Nyerere, na Kiroboto wapata dili ya matangazo airtel. Ni mkataba wa mwaka mmoja 

........SOMA ZAIDI.......

DK MWAKYEMBE: WANASIASA WANAKUZA MGOGORO WA MPAKA ZIWA NYASA


Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amewatolea uvivu wanasiasa na kuwaambia wao ndiyo wanaokuza suala la mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi.
....SOMA ZAIDI......

AJALI MBAYA YATOKEA BARA BARA KUU YA MOSHI-ARUSHA ENEO LA KWA SADALA

 Gari la shirika la umeme Tanzania (Tanesco) imepinduka jana usiku baada ya kugongana uso kwa uso na gari dogo aina ya Toyota Corola katika eneo la 
Kwa Sadala barabara kuu ya Moshi-Arusha. 
.......SOMA ZAIDI.....

TENGA AINGILIA KATI SAKATA LA YANGA NA AZAM TV

tenga 76441
Sakata la klabu ya Yanga kugomea kukubaliana na mkataba wa kati ya kamati ya Ligi na Azam Media wa kuipa haki za matangazo ya televisheni ya mechi za ligi kuu kituo cha Azam TV limechukua sura mpya baada ya Rais wa shirikisho la soka la nchini TFF Leogdar Tenga kuingilia kati. 
.......SOMA ZAIDI........

MADHARA YA VIATU VYA MCHUCHUMIO NA AFYA YA WANAWAKE

074 4d2e7

Nipo nazunguka zunguka madukani, ghafla wanawake wawili vijana wa Kizungu wamenisimamisha. Huu ni msimu wa Kiangazi Ulaya; wamevalia vijisuruali vifupi, vilivyoishia magotini; nadhani nyumbani vinaitwa vipedo. (HM)
......SOMA ZAIDI...

MOYES: SIJAGOMBANA NA ROONEY, HAUZWI

moyes 05818

Kocha wa Manchester United David Moyes kwa mara nyingine tena amesisitiza kwamba Wayne Rooney hatouzwa msimu huu, 
.......SOMA ZAIDI....

Manchester United yashinda Ngao ya Jamii



CS 1

Kocha wa Manchester United David Moyes  August 11 2013 ameanza rasmi kazi yake kama kocha wa timu hiyo kwenye mechi ya ushindani baada ya kuiongoza timu hiyo kupata ushindi wa mbili bila kwenye mechi ya kuwania ngao ya jamii dhidi ya Wigan Athletic.
...ANGALIA PICHA NA MAGOLI...... HAPA

Kenyan man found hanging on a tree in New Jersey, US


In Summary
  • “Police arrived at scene and discovered a Kenyan man in his 60s suspended from the tree on the west side of the park,” Rubino said. “He was taken to Jersey City Medical Center where he was pronounced dead on arrival,” added Rubino.

Hivi ndiyo Wema Sepetu alivyosherekea sikukuu ya Eid

mdada1
























 
 Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake,
....SOMA ZAIDI....

VIDEO: Mombasa fans throw bottles at other artists as they demand TZs Diamond when he was late


BBA UPDATES: Tanzania’s Feza evicted from BBA house. The EAC is officially out of the contest

 Farewell Feza 
WATCH THE VIDEO HERE:
 
......READ MORE.......

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo August 12 2013

.
credits:the TZA
.....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

Francois Bozize: Nitarejea madarakani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati


Francois Bozize - Africanarguments.org
Rais aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi ya mwezi machi mwaka huu nchini Jamuhuri ya Afrika ya kati, Francois Bozize amesema yupo tayari kurejea madarakani na kuiondoa serikali ya mpito inayoongozwa na kundi la waasi wa Seleka.
...SOMA ZAIDI.....

Chelsea waibamiza Roma bao 2 - 1 kwenye mechi ya kirafiki

Burudani ya mchezo wa timu mbili ziliminyana vikali  kwenye mchezo wa kirafiki mjini  Washington D.C nchini Marekani na kushuhudia timu ya Chelsea kushinda mabao 2-1 dhidi ya Rome,


Blunder: Roma's Erik Lamela opened the scoring, taking advantage of a mistake from Mark Schwarzer
Bao la kwanza: Mshambuliaji hatari wa Rome Erik Lamela alipofunga goli la kujishtukizia. Photo Credits: dailymail.co.uk
.......SOMA ZAIDI NA ANGALIA VIDEO....

How Bill Clinton inspires ordinary Rwandans

There is something more inspiring and uplifting about Bill Clinton’s visits to Rwanda than just thinking about nearly $300 million that his Clinton Global Initiative (CGI) has injected in several projects to improve the country’s health sector.
The Clintons drinking water after purifying it. This was part of CGI and Procter and Gamble’s Commitment to Save One Life Every Hour – a campaign dedicated to providing clean drinking water to areas in need. Sunday Times

ARSENAL WANAVYOMTIA 'QIBLI' SUAREZ, AGOMA KUOMBA RADHI LIVERPOOL NA YUKO TAYARI KUFANYA MAZOEZI PEKE YAKE MILELE

UHUSIANO wa Luis Suarez na Liverpool utaingia katika hatua nyingine wiki hii, baada ya mshambuliaji huyo kukataa kuiomba radhi klabu kwa kauli zake kwamba alikubaliana na kocha ataondoka, kulazimisha kutimkia Arsenal.Luis Suarez

BBA UPDATES:FEZA from Tanzania Evicted; How Africa Voted

image

Here is how Africa voted this week (11 August 2013) – We say goodbye to Feza (Tanzania).
......READ MORE.....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...