facebook likes

Monday, July 29, 2013

BREAKING NEWS: MONACO YATHIBITISHA MANCHESTER UNITED IMEWAPA OFA YA KUMSAJILI LUIS NANI


Matajiri wapya katika soko la usajili barani ulaya klabu ya AS Monaco imesema kwamba walipewa ofa ya kumnunua winga wa klabu ya Manchester United Nani. Winga huyo wa timu ya taifa ya Ureno amekuwa njia panda kujua hatma yake ndani ya Old Trafford kabla ya kustaafu kwa Sir Alex Ferguson mpaka sasa chini ya manager mpya David Moyes. 

Billionea anayemiliki klabu ya Monaco - Vadim Vasilyev amekiri kwamba United walimpa ofa ya kumsajili  Nani.
Alisema: “Nani tulipewa ofa kumnunua. Ni mchezaji mzuri, lakini hakujawahi kuwa na mazungumo mpaka sasa.”
Monaco wamekuwa na vurugu sana kwenye soko la usajili hivi karibuni, wakiwasajili wachezaji kama Falcao, James Rodriguez  Joao Moutinho kwa bei mbaya sana.

Tweets 13 alizoandika Mbunge Zitto Kabwe kuhusu dawa za kulevya baada ya kuisoma barua ya Mtanzania anaedai kafungwa gerezani Hongkong


Zitto Kabwe July 17 2013
1 2 3

MAN CITY YAENDELEA KUTAKATA, PELLEGRINI ATWAA TAJI LA KWANZA BAADA YA KUWAFUMUA SUNDERLAND 1-0 HONG KONG


BAO pekee la Edin Dzeko limeipa ushindi Manchester City dhidi ya Sundeland katika michuano ya Barclays Asia Trophy , huo ukiwa ushindi wa pili kwa kocha Manuel Pellegrini Hong Kong baada ya kufungwa mechi zote mbili Afrika Kusini.
Kikosi cha Pellegrini kimefanikiwa kumaliza juu ya wapinzani wao wa England, Sunderland na Tottenham na kutwaa Kombe la michuano hiyo ya timu za Ligi Kuu.
Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Pantilimon; Zabaleta, Kompany, Nastasic/Lescott dk75, Clichy/Kolarov dk62, Milner/Navas dk46, Toure/Fernandinho dk62, Garcia, Silva/Nasri dk46, Dzeko na Negredo/Barry dk79.
Sunderland: Mannone; Gardner, O’Shea, Brown, Colback; Johnson/Karlsson dk61, Larsson, Cabral/Ba dk46, Giaccherini/McClean dk76, Altidore/Wickham dk46 na Sessegnon/Mandron dk88.
Juu kuchukua Kombe: Vincent Kompany akiinua Kombe la Barclays Asia 

Edin kikosi cha kwanza: Edin Dzeko wa Man City alifunga bao pekee la ushindi

Mechi yao leo ilichezwa kwenye mvua na makipa walikuwa wana kibarua kizito cha kudaka, kwani mipira ilikuwa inateleza mikonon


NEYMAR AFANYIWA VIPIMO LEO BARCA TAYARI KUANZA KAZI CAMP NOU


MCHEZAJI aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 50, Neymar amefanyiwa vipimo vya afya mjini Barcelona tayari kwa mazoezi yake ya kwanza na klabu yake hiyo mpya.
Barcelona itawapokea tena wachezaji wote waliokuwa kwenye Kombe la Mabara leo mcha, na Neymar atakuwa miongoni mwao pamoja na akina Xavi, Andres Iniesta, Cesc Fabregas na Lionel Messi.
Itakuwa nafasi yake ya kwanza kujaribu kuwavutia wachezaji wenzake wapya baada ya kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili ghali katika klabu hiyo nyuma ya Zlatan Ibrahimovic aliyesajiliwa mwaka 2009 kwa Pauni Milioni 56.


Gerardo Martino alianza kazi ya kukinoa kikosi
Neymar alikwenda Barcelona Juni kwa ajili ya kutambulishwa tu

ZITTO, MBATIA NA MAKAMBA WATAJWA KWA URAIS 2015



Pia wamo Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Dk Hussein Mwinyi na  wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo.
Dar es Salaam. Ikiwa imebaki miaka miwili kufanyika ka uchaguzi mkuu nchini, Kamati ya Vijana wapenda Amani Tanzania, imetaja majina ya watu wanne wenye sifa za kuwania urais nchini, huku ikieleza kuwa uzoefu wa miaka mingi si kipimo kizuri cha uongozi bora.


Kamati hiyo imesema Watanzania wanatakiwa kuwaogopa watu wanaojitaja wazi kuutaka urais, huku wakitumia majukwaa ya kisiasa, kidini, kijamii, kiutamaduni na michezo kutoa misaada mbalimbali kwa maelezo kuwa watu hao wakipewa nchi, wataongoza kwa maslahi ya kundi fulani.


Waliotajwa katika orodha hiyo ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba.


Katika orodha hiyo, kamati hiyo haikuwataja viongozi waliowahi kujitangaza kutaka nafasi hiyo na ambao hawajajitangaza, lakini wanaonekana kuwa na dhamira ya kugombea urais mwaka 2015.


Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Chifu Msopa, alisema wakati umefika kujadili mahitaji ya nchi kiuongozi kwa manufaa ya siku zijazo,.


Katika maelezo yake, Msopa alitaja sifa za kila kiongozi aliyemtaja katika orodha hiyo na kwamba  kama ikitokea watu hao wakashindwa kusimamishwa na vyama vyao kuwania urais mwaka 2015,  kamati hiyo itamuunga mkono  yeyote ambaye atakuwa na sifa zinazofanana na watu hao wanne.


Sifa za waliotajwa


Kwa upande wa ZittoMsopa alisema ana uwezo mkubwa kiungozi, na kwamba mfano ni wa jinsi anavyosimamia Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma na kufichua madudu.


Kwa upande wa Mbatia, alisema kiongozi huyo ni mzalendo wa nchi yake, ametulia na ana hekima kubwa ya kiuongozi na kwamba busara zake zimedhihirika kwa jinsi anavyoongoza Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kama mwenyekiti.


“Amekuwa akipigania ubora wa elimu ya watoto wetu na kujali ujenzi wa taifa bora zaidi na ana uwezo wa kufanya kazi na viongozi kutoka vyama vyote vya siasa.


Akitaja sifa za Makamba alisema wakati akiwa mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini alikuwa msema kweli, jasiri kwa kuikosoa Serikali inayoongozwa na chama chake.
Alisema Makamba wakati akiwa Wizara ya Mambo ya Nje, alikuwa msaidizi wa Rais Jakaya Kikwete kwa miaka mitano na kufafanua kuwa hiyo ni sifa ya muhimu kwa kiongozi.
Akimzungumzia Dk Mwinyi, Msopa alisema ana busara na ndio sababu ya kuongoza vizuri wizara nyeti ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

WADHAMINI TAIFA STARS, TBL WATOA YAO YA MOYONI KUHUSU TIMU



LICHA ya Taifa Stars kushindwa kufuzu kucheza katika mashindano ya CHAN mwakani baada ya kufungwa na Uganda Cranes 3-1, wadhamini wa Stars, Kilimanjaro Premium Lager wamesema hawajakata tamaa na bado wana imani na timu nzima na kocha Kim Poulsen.
Akizungumza jijini Dar es Salaam baada ya Stars kuwasili, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe alisema licha ya habari hizi kutokuwa njema kwa watanzania, ni vizuri kukubali matokeo na kuangalia picha kubwa na malengo ya muda mrefu.
Wachezaji wa Taifa Stars wakiwasili jana usiku kutoka Uganda
“Ni vyema tukumbuke kuwa kwenye mpira kuna kushinda na kushindwa,” alisema Bw Kavishe na kuongeza, “Tunapenda kuwahakikishia watanzania kuwa sisi kama wadhamini hatujakata tama na bado tuna imani na timu hii na kocha Kim Poulsen kwa hivyo tunawaomba watanzania wasife moyo.” Alisema wakati  walipoanza kuidhamini Taifa Stars mwezi Mei mwaka jana na kuwekeza zaidi ya shilingi bilioni mbili kwa mwaka, kwa muda wa miaka mitano, walikuwa na malengo kadhaa ikiwemo kuinua hadhi ya Timu ya Taifa, kuhakikisha wanaingia kambini kwa muda unaotakiwa, wanalipwa vizuri, wanakula na kulala vizuri na kusafiri vizuri. “Tumejitahidi kufanya mambo haya kwani wachezaji sasa hivi wana DVD zenye maelezo yao, tumewapa suti mpya na za kisasa na pia tumewapa basi jipya la kisasa. Mambo haya yote pamoja na mambo wanayofundishwa na Mwalimu Kim Poulsen yamesaidia kuleta mabadiliko kwa timu ya Taifa,” alisema. Alisema kuna mafanikio mazuri ya timu ya taifa ambayo watanzania lazima wayakumbuke kama kuzifunga timu kama Zambia, Cameroon, Morocco na Kenya. Kwa mujibu wa Meneja huyo walipoanza udhamini  Tanzania ilikuwa katika nafasi ya 145 kwa mujibu wa FIFA lakini sasa imesogea hadi 109. “Haya ni mafanikio makubwa kwani tumesogea hatua zaidi ya 40,” alisema. Alisema safari ya mafanikio katika mpira ni ndefu na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu na kuongeza kuwa Kocha Kim Poulsen anafanya kazi nzuri ya kuibua vijana. “Kocha anahitaji kuungwa mkono na sisi sote kuanzia kwa TFF, sisi wadhamini na watanzania wote. Tunahitaji kuangalia picha kubwa,” alisema na kuongeza,”Nawaomba watanzania tuwe wazalendo wakati huu hii ni timu yetu na tunatakiwa kujivunia. Vyombo vya habari pia viwe mstari wa mbele kuonesha uzalendo.” Alisema mechi  dhidi ya Gambia itakayochezwa mwezi wa 9 ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia ni muhimu hata kama Tanzania haisongi mbele kwani itasaidia katika ngazi za FIFA.

source bin zubeiry

MANJI AUNGURUMA KUHUSU MKATABA WA AZAM TV LIGI KUU, ASEMA YANGA...


YAH: URUSHWAJI KATIKA TELEVISHENI MICHEZO YA YANGA.
“HIVI karibuni, Tanzania Football Federation (TFF)  iliunda Tanzania Premier League chini ya Bodi yampitoBodi ya TPL ambayo ni msimamizi mpaka hapo Bodi itakayokuwa imechaguliwa kidemokrasia. Bodi hii imeamua peke yake kuingia katika mkataba wa miaka 3 (mitatu) na kampuni inayoitwa Azam Television (ambayo ina  mapromota wale wale wanaomiliki Azam Football Club). Makubaliano ambayo Bodi ya TPL inatarajia kuingia na Azam Television, Kamati ya Utendaji ya YANGA inalipinga kwa nguvu zote katika misingi ifuatayo:
Watata; Viongozi wa Yanga SC, kutoka kulia Balozi Ammy Mpungwe, Mjumbe Baraza la Wadhamini, Mwenyekiti wa klabu, Yussuf Manji, Waziri George Mkuchika, Mwenyekiti Baraza la Wadhamini, Francis Kifukwe, Mjumbe Baraza la Wadhamini na Clement Sanga, Makamu Mwenyekiti wa klabu . 

1. BODI YA TPL
1.1 Bodi iliyoko sasa hivi ni ya mpito ambayo ilitakiwa kutenguliwa na Bodi iliyochaguliwa kidemokrasia kwa kupitia uchaguzi wa tarehe  ……….. mwaka huu na haitakiwi kuingia katika mikataba a miaka mingi wakati inakaribia kuondoka katika ofisi.
1.2 Bodi ya TPL iliyoko sasa hivi haikuchaguliwa kidemokrasia.
1.3 Bodi ya TPL iliyoko sasa hivi haina mjumbe hata mmoja aliyeteuliwa kutoka YANGA.

2. UTARATIBU WA DUNIA NZIMA
2.1 Haijawahi kutokea katika ligi ya mpira wa miguu ya kisasa kulazimishwa kwa Klabu inayoshindana katika ligi kuachia haki zake za urushwaji wa michezo zichukuliwe na chombo cha habari cha Klabu ya upinzani. 
2.2 Mfumo (undertaking) ambao TPL inataka kuanzisha kwa njia ya kulazimisha mkataba kwa YANGA iachie  urushwaji wa michezo yake ya soka yarushwe na Azam TV unatishia sana uwepo wa msingi wa ushindani katika soka ya Tanzania.
2.3 Makubalianokati ya TPL na Azam Television kuhusu utaratibu wa malipo yanasemakwamba Klabu ya YANGA na Klabu zingine zitakazoshiriki katika Ligi Kuu ya Tanzania  watapata mgao sawa wa mapato ya urushwaji wa michezo hii, ambayo YANGA inapinga kwa sababu kama inavyofanyika duniani kote kwenye ligi zilizofanikiwa (angalau) kutofautisha mgawanyo wa mapato kati ya timu kufuatana na matokeo ya mwisho wa ligi.
2.4 Kamati ya Utendaji ya YANGA siyo tu haikubaliani na mgawanyo sawa wa mapato ambao hautofautishi kati ya timu ya kwanza katika ligi na timu ya mwisho katika ligi, lakini pia ukosefu wa viwango (premiums) vitakavyolipwa: 
2.4.1 Vilabu vya mpira vyenye ufuasi wa washabiki wengi; 
2.4.2 Vilabu vya mpira vinavyoendeshwa na Wanachama; 
2.4.3 Vilabu vya mpira visivyopata ruzuku kutoka Serikalini n.k.

3. MIGOGORO YA MASLAHI
3.1 Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mpito ya TPL ni Mkurugenzi mwandamizi wa Makampuni ya Azam na  kwa hivyo mazungumzo ya siri kati ya Bodi ya TPL na Azam ni ya kutiliwa mashaka.
3.2 Makampuni ya Azam yana yanashindana kibiashara na makapuni mengi yakiwemo ya utengenezaji wa vinywaji baridi na imeonyesha huko awali inaweka “matakwa maalum” muhimu zaidi kuliko mprira  wa miguu, kama vile Azam F.C. hawashiriki katika Kombe la Tusker na kwa hiyo YANGA inakuwa na msimamo kwamba kwa Azam Television kupewa leseni ya kurusha matangazo ya mpira wa miguu inatishia biashara za washiriki wa sasa na wa baadaye wa YANGA.
3.3 Azam na YANGA wana uadui wa kimichezo. Kumbuka, wakati MRISHO NGASSA alipotaka kwenda YANGA, Azam F.C. walimkopesha kwa nguvu kwa Klabu ya Simba! Kwa hiyo YANGA itahatarika kwa matangazo yenye upendeleo kama Azam Television itarusha hewani michezo yake n.k.

4. KUTOKUWA NA UWAZI
4.1 Mkataba wa utangazaji wa miaka mingi unaotaka kuingiwa kati ya TPL na ambao badohaujarushwa Television ya Azam haukushindanishwa na vyombo vingi vya habari,  na vyombo ambayo wako tayari kwenye soka havikujulishwa kuhusu fursa hii au walizuiliwa kufikisha mapendekezo yao ya maombi ya haki za kurusha matangazo katika Ligi Kuu (Tanzania Premier League).
4.2 Ukosefu wa uwazi wa TPL unanonyesha kuwa MoU iliyokusudiwa kuwekewa saini na TPL haikufikishwa YANGA kwa ajili ya mapitio ya kisheria, licha ya YANGA kufanya ombi hilo kwaTPL.

5. MAZINGATIO YA KIBIASHARA 
5.1 Mamlaka ya kuamua mzozo wowote wa mkataba wa leseni ya utangazaji wa Ligi Kuu (Tanzania Premier Leagu) itakuwa ni Mahakama ya kisheria na siyo FIFA. TPL inasingizia  kwamba leseni ya matangazo ambayo inakusudia kufanya kuwa ni maagizo ya FIFA na kwa hiyo YANGA inapaswa kuukubali "lock, stock and barrel."
5.2 TPL inaelezea kimakosa makubaliano ya leseni ya urushaji  wa mchezo ya mpira inayotarajia kuingia na Television ya Azam kama "makubaliano ya udhamini" (“sponsorship agreement”) ambayo siyo sahihi, kwa sababu urushaji wa michezo ya mpira wa miguu ni biashara inayotokana na maslahi ya uhusiano na hivyo 
wahusika wote ni lazima wazingatie maslahi yao ya kifedha.
Kwa mfano, moja ya vyanzo muhimu vya mapato ya YANGA ni mapato ya kiingilio ya mlangoni yatokanayo na michezo ya mpira wa miguu ambayo urushwaji wa michezo hii itapunguza mapato haya. Kwa wastani michezo ya YANGA  Dar es Salaam huingiza makusanyo ya mlangoni shilingi milioni 50 kwa kila mchezo na hata kushuka kidogo kwa 25% katika mahudhurio ya mechi za YANGA zinafikia mara mbili ya mapendekezo ya mapato takribani Sh milioni 8.3 kwa mwezi kupokelewa na YANGA kutoka mradi wa kibiashara kati ya TPL na Azam Television. Kwa kuzingatia haya, kwamba hata siku za nyuma kama kulikutokea fursa ya kurusha mchuano wa mpira unapochezwa, wadau wote (Timu za mpira wa miguu, TFF na Mtangazaji)  walikuwa wanaafikiana kwanza kwa pamoja kuhusu mapato na mgawanyo wake.
Kamati ya Utendaji ya YANGA ina maoni kwamba makubaliano yoyote ya kibiashara yanayoihusu ni lazima iyalinde maslahi kifendha ya Klabu yake ambapo makubaliano ya TPL / Azam Television hayaangalii na kwa hiyo, Kamati ya Utendaji ya YANGA haitaki mchezo wake urushwe hewani na Azam Television.
Msisitizo wa TPL kuwa lazima Azam Television irushe hewani michezo ya YANGA linasikitisha. Kamati ya Utendaji ya YANGA haina tatizo na Vilabu vingine vya mpira wa miguu zikiruhusu michezo yao kurushwa na Azam Television ila haifurahii kuwa TPL inalazimisha YANGA kuonyesha mchezo wake wa Vodacom Premier League katika Azam Television.

(YUSUF MANJI)
MWENYEKITI
YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB
29 JULAI, 2013
 
source:binzubeiry

BBA UPDATES: Over all Nomination Results: Oneaza In Danger!

oneal and feza 64

oneaza 

 Angelo Nominates;
1. Elikem because he’s arrogant and insensitive to peoples’ feelings.
2. Feza because she gossips a lot and keeps people in groups.

Oneal Nominates;
1. Cleo because she’s responsible for Nando’s disqualification, her attitude towards alcohol is also not good.
2. Dillish because she fails to clean up.

Beverly Nominates;
1. Oneal because he doesn’t mix with people.
2. Feza because she pretends a lot.

Elikem Nominates;
1. Oneal because he’s competition.
2. Feza because she’s a pretender.

Cleo Nominates;
1. Feza because she’s competition.
2. Elikem because he can save himself.

Melvin Nominates;
1. Elikem because he’s HOH and can save himself.
2. Oneal because he doesn’t converse with him that much.

Feza Nominates;
1. Cleo because she could be the one who would keeps her away from the money.
2. Dillish because she’s a threat.

Bimp Nominates;
1. Melvin because he’s a threat to his game.
2. Elikem because he’s unreal.

Dillish Nominates;
1. Oneal because he has an attitude towards others that he’s untouchable.
2. Feza because she has attitude issues and has changed a lot.
.............................
After today’s nominations, it’s quite clear that the Oneaza couple is in danger and is wanted out by the Chasemates. Feza gunned 5 nomination nods while her boo Oneal got 4. Most Chasemates who nominated the duo reasoned that they have attitude issues and that they were so full of themselves. This week, three may go up and of course Elikem being the HOH, he’ll most probably save himself but who will be thrown under the bus in his place?
Here is how each of the nine remaining Chasemates scored during the early afternoon Nomination Diaries.
Feza – 5
Oneal – 4
Elikem – 4
Dillish – 2
Cleo – 2
Melvin – 1
Angelo – 0
Beverly – 0
Bimp – 0

Feza and Oneal are in danger, do you think the couple will survive this week?


AL AHLY YAOMBA MCHEZO WAO DHIDI YA PIRATES KUSOGEZWA MBELE KWA AJILI YA RAMADHAN.


KLABU ya Al Ahly ya Misri imeliomba Shirikisho la Soka barani Afrika-CAF kusogeza mbele mchezo wao dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini mpaka Agosti 9 mwaka huu. Mkurugenzi wa michezo wa Al Ahly Sayed Abdul Hafez alithibitisha timu hiyo kuandika barua rasmi kwa CAF ya kusogeza mbele mchezo huo mpaka Agosti 9 badala ya Agosti kama ulivyopangwa kwasababu ya mfungo wa mwezi wa Ranadhan ambapo wacheza wengi wa timu hiyo wanakuwa wamefunga. Hafez pia aliongeza kuwa Wizara ya mambo ya Ndani ya nchi hiyo imekataa kuwawekea ulinzi kwa ajili ya mchezo huo jijini Cairo au Alexandria hivyo wanatarajia mechi hiyo kuchezwa katika mji wa El Gouna au Aswan. Hafez amesema wamefikia hatua hiyo baada ya timu hiyo kucheza dhidi ya Zamalek mchana na wachezaji kukataa kufungulia ambapo wote waliathirika mpaka hivi sasa kutokana na kucheza kwenye jua kali huku wakiwa wamefunga. Naye kocha wa Pirates Roger De Sa ameonyesha wasiwasi wake wa kucheza na Al Ahly jijini Cairo kutokana na vurugu zinazoendelea lakini anaamini kuwa CAF itatoa uamuzi sahihi kuhusiana na mahali patakapochezwa mchezo huo.

SEMENYA ASHINDWA KUFUZU MASHINDANO YA DUNIA.


MWANARIADHA nyota wa kike kutoka Afrika Kusini, Caster Semenya atashindwa kushiriki mashindano ya riadha ya dunia mwezi ujao baada ya kushindwa kufuzu katika mbio za mchujo zilizofanyika nchini Ubelgiji. Semenya alifanikiwa kushinda mbio za mita 800 katika mashindano hayo ya mchujo yaliyofanyika jijini Nivone kwa kutumia muda wa dakika 2 sekunde 01.86 lakini muda huo haukutosha kumfanya kufikia kiwango kilichohitajika ambacho ni dakika 2 sekunde 01.50. Katika mbio hizo Sanne Verstegen wa Uholanzi alimaliza katika nafasi ya pili akitumia muda wa dakika 2 sekunde 02.09. Hiyo ni mara ya kwanza kwa Semenya kushindana toka katika michuano ya olimpiki iliyofanyika jijini London mwaka jana baada ya kipindi kirefu kukaa kando kutokana na maumivu ya goti.

WACHEZAJI WAGENI WANAHATARISHA SOKA LA UJERUMANI - BIERHOFF.


MCHEZAJI wa zamani wa kimataifa wa Ujerumani, Oliver Bierhoff anaamini kuwa uchache wa wachezaji katika vilabu vya Bayern Munich na Borussia Dortmund ambao wanacheza katika timu ya taifa ya nchi hiyo unaweza kuwanyima nafasi ya kufanya vizuri katika michuano ya Kombe la Dunia mwakani. Pamoja na mafanikio makubwa ambayo timu hizo mbili imeyapata katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya msimu uliopita, Bierhoff ameonyesha wasiwasi wake kwa mwenendo wa timu ya taifa. Badala yake nguli huyo mwenye miaka 45 ametaka hatua za makusudi kwa vilabu vikubwa kuthamini vipaji vya vijana ili kuokoa soka la nchi hiyo lisije kuporomoka. Bierhoff amesema pamoja na Ujerumani kujivunia wachezaji nyota kama Mario Gotze, Mesut Ozil, Thomas Muller na Toni Kroos lakini nchi hiyo bado inakabiliwa na changamoto ya kukosa washambuliaji pamoja na mabeki wa daraja la juu. Nguli huyo amesema kwasasa wanatakiwa kujipanga ili kuhakikisha wanaziba mapengo yaliyopo na kuendelea kubakia katika ushindani.

Boko Haram Shoot Dead 20 Civilians After Failed Vigilante Ambush In Northeast Nigeria

Suspected members of Nigeria's Islamist group Boko Haram shot dead more than 20 civilians when a vigilante group attacked them in the northern Borno state, a military spokesman said Sunday.
"The suspected sect members came armed and fired sporadic shots that killed over twenty innocent civilians," Haruna Mohammed Sani, spokesman for the Multinational Joint Task Force (MNJTF) said.

The violence took place on Saturday in Dawashe village, the army lieutenant said in a statement.

He said men from the Civilian Joint Task Force, a vigilante group formed in Boko Haram's bastion Maiduguri to combat the Islamist gunmen who have been terrorising the region for years, entered Dawashe to search for suspects.

Suspected Boko Haram members subsequently opened fire in the village, the spokesman said, adding that the 20 victims were mostly fishermen and traders.

 Sani said a dozen other civilians sustained gunshot wounds during the incident but provided no information on casualties among the belligerents.

The toll and circumstances of the incident could not immediately be verified independently.

The MNJTF, a joint military force set up in 1998 to combat border crimes, consists of troops from Nigeria, Chad and Niger.

Its mandate was recently expanded to fight Boko Haram, whose insurgency is estimated to have cost 3,600 lives since 2009, including killings by security forces.

Actor Brad Pitt Buys Private Jet For Fiance Angelina Jolie {PICTURED}

Brad Pitt and Angelina Jolie landed in Japan, Sunday after taking a break from filming to have a little fun with their children Pax, 9, and 5-year old twins Knox and Vivienne on World War Z promotion.
The couple landed in the Haneda International Airport Japan on a private jet that Brad reportedly bought for his wife-to-be, Angelina.

According to Heat magazine, the 49-year-old actor bought the aircraft for his fiance, who has held a pilot’s license since 2004, so that the couple could see each other more often, while they film movies on opposite sides of the world.

Brad is in London shooting World War II drama Fury, as Jolie directs her own war flick called Unbroken in Hawaii.

Many Nigerians Confirmed Dead As Migrant Boat Capsized Off Libya Coast

More than half the people aboard a rubber boat carrying 53 African migrants died when it capsized off Libya, Italy's Ansa news agency says.
Thirty-one people drowned in the accident that occurred late Friday, and the rest were rescued by a freighter and brought on Sunday to the southern Italian island of Lampedusa, Ansa reported, citing the survivors.

Most of the migrants came from Nigeria, Gambia, Benin and Senegal, and the survivors were suffering from shock and hypothermia.

Italian authorities say more than 470 migrants have reached Italy in a 24-hour period.

Italian TV on Sunday showed a wrecked motorised rubber dinghy that the Africans told authorities had capsized after setting off from Libya's coast.

Each year, thousands of migrants pay smugglers in hope of slipping ashore in Italy. Many attempt the Mediterranean crossing during periods of calm warm seas, as in recent days.

Media reports said the camp where the migrants are housed on Lampedusa, which lies between Tunisia and Sicily, is overcrowded with 1000 people staying there although the camp has space for only 350 people.

Under international law, Italian authorities have to check whether people they rescue at sea have grounds to seek asylum. If not, they repatriate them although the border police struggles to enforce the policy strictly.

BBA CHASE Update - Zambian Sulu And Kenya's Annabel Booted Out In Emotional Circumstance

Zambian Housemate, Sulu and Kenyan counterpart Annabel have been Evicted from Big Brother The Chase tonight.
Just a short while after Head of House Bimp confirmed the Housemates' suspicions by revealing that he had saved Cleo and replaced her with Sulu on the list of Eviction Nominees, the bubbly Zambian dude then learnt that his stay in the House has come to an end.

Sulu then hugged his fellow Housemates and made his way to the Big Brother Live Show stage to join Presenter IK and Annabel who also got Evicted tonight.

The Zambian did not take his Eviction personally, he was his usual bubbly self evening singing: "Ruby, Ruby, Ruby," with to the crowd.

It has been an entertaining and sometimes tumultuous nine weeks that the young fellow has had in the Big Brother House. There was his doomed relationship with Selly that even resulted in the Zambian being handed a Strike and a stern warning by Biggie.

But there were also good times and he has often been described by his fellow Housemates as a funny-man and a loving guy.

This was the first time that Sulu had been up for Eviction and sadly for him it was his last time too as his Big Brother journey has come to an end. Before this Sulu had only been Nominated once by his fellow Housemates but luckily for him the then HoH Feza saved him and put Pokello in his place.

What will you miss most about having Sulu in the Big Brother House?

"TANZANIA SI MALI YA CCM WALA CHADEMA"......MSIGWA


Picture

Mheshimiwa Peter Msigwa akifunguka katika kipindi cha Makutano na Fina Mango


Picture


Fina Mango akimsikiliza Mchungaji Peter Msigwa wakati akijibu moja ya maswali katika kipindi cha Makutano.


Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Tanzania sio mali ya chama chochote cha siasa wala kundi lolote la watu wakati akihojiwa katika kipindi cha Makutano na Fina Mango. 

Mheshimiwa Peter Msigwa alitoa kauli hiyo alipoulizwa anaonaje mwamko wa kufanya mabadiliko unaoendelea ikiwemo mchakato wa katiba mpya. 

Aliwalaumu watu wa kipato cha kati kwa kusema wao ndio kikwazo cha maendeleo kwa sababu ya kuridhika na vitu vidogo walivyovipata, "Kila mtu aingie acheze huu mchezo kwamba ni wakati uliofika wa kuibadilisha Tanzania, tuibadilishe kifikra. 

Watu wengi mmekaa maofisini na kompyuta zenu na vijumba vidogo mmejenga na vigari vidogo mmeweka nje mnaogopa, lakini kama tutaendelea kuruhusu akili ndogo iendelee kutawala hatutaenda popote" alisema Mheshimiwa Msigwa. 

Hata hivyo aliipongeza tume ya katiba kwa kusema ameridhishwa na ilivyofanya kazi yake kutokana na hofu waliyokuwa nayo baada ya mchakato wa kuandaa katbiba mpya ambao ulianzishwa na CHADEMA kuchukukuliwa na kugeuzwa agenda ya chama tawala na hivyo kuleta wasiwasi wa haki isingetendeka hasa ile ya uwakilishi katika utoaji maoni ya katiba.

HATIMAYE MBOWE AWASILISHA USHAHIDI POLISI KUHUSU MLIPUAJI WA BOMU ARUSHA

HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, jana amewasilisha kwa maandishi ushahidi wake makao makuu ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam. Maelezo ya Mbowe ambayo jana yaliwasilishwa, yamekuwa siri nzito, kwani yanatokana na msimamo wa CHADEMA kudai wana ushahidi na tukio la mauaji ya mlipuko wa bomu lililotokea Juni 15, mwaka huu mkoani Arusha.

Wakili wa Mbowe, Peter Kibatala alilithibitishia MTANZANIA mjini Dar es Salaam jana, kuwa aliwasilisha saa 5 asubuhi ambapo alipokelewa na Mkuu wa Idara ya Operesheni za Upelelezi Tanzania (CID), Kamishna Advocate Nyombi.

Baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Wakili Kibatala alikataa katakata kuzungumzia kilichomo ndani ya maandishi hayo, kwa madai kuwa ni siri yao na polisi.

“Nathibitisha bila shaka, nimewasilisha majibu kwa niaba ya Mbowe leo (jana), makao makuu ya polisi kama tulivyokubaliana, lakini yaliyoandikwa humo ni siri…siwezi kuzijadili tusubiri kutoka kwao,” alisema Kibatala.

Hatua ya kuwasilisha majibu hayo kimaandishi, ilifikiwa Jumatano wiki hii katika mahojiano baina ya Polisi na Mbowe.

Siku hiyo, Mbowe aligoma kuwasilisha ushahidi wake polisi kama alivyotakiwa kwenye barua aliyoandikiwa na jeshi hilo Julai 17, mwaka huu, kwa kile alichosema hadi Rais Jakaya Kikwete atakapounda tume ya kijaji kuchunguza tukio hilo.

Katika barua hiyo, Mbowe alitakiwa kufika bila kukosa akiwa na ushahidi wa mauaji ya mlipuko wa bomu hilo.

Hata hivyo, Mbowe aliripoti kuitikia wito wa barua hiyo, lakini aliendelea kushikilia msimamo wake wa kutowasilisha ushahidi huo kwa polisi.

Jeshi la Polisi, limekuwa katika mvutano na Mbowe likimtaka kuwasilisha ushahidi kuhusu mlipuko wa bomu hilo, katika Uwanja wa Soweto wakati wa mkutano wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata nne na kuua watu wanne na kujeruhi wengine 70, katika uwanja huo ushahidi ambao alidai anao.

Endapo Mbowe atakutwa na hatia ya kutokuwa na ushahidi huo, atakumbwa na adhabu ya miaka mitatu jela au faini ya Sh 500,000.

Hii ni kwa mujibu wa Jeshi la Polisi katika barua yake kwa Mbowe, ikunukuu kifungu cha sheria ya kifungu cha 10(2) na (2A) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai nchini, sura ya 20, kama ilivyorekebishwa mwaka 2002.

HUYU NDO MBUNGE WA CCM (IDD IZAN) NA WENGINE WAHUSISHWA KATIKA TUHUMA NZITO ZA MADAWA YA KULEVYA



Ni jambo la wazi  wamba biashara ya madawa ya kuleya   ni biashara ambayo mara nyingi hubebwa na watu wenye nazo au wenye madaraka fulani makubwa.Ni biashara ambayo ina faida kubwa na ya haraka pengine kupita aina nyingine yeyote ya biashara (halali na haramu). 
Na kutokana na nguvu ya vyombo mbalimbali vya dola ulimwenguni katika kupambana na biashara hii, ni wazi kwamba bila kuwepo na connection za hali ya juu,utekelezaji wa biashara hii ungekuwa mgumu sana…
Ndio maana vita dhidi ya biashara hii haramu ni ngumu na ambayo inahitaji umakini wa hali ya juu zaidi katika kukabiliana nayo endapo kuna nia ya dhati ya kuitokomeza au japo kuipunguza. 
 
Hivyo basi,haishangazi sana (japokuwa hizi ni tuhuma tu) kusikia yale yaliyotajwa katika “barua kutoka Hong Kong” kwa miongoni mwa watanzania wanaosemekana kufikia hata 200 wanaosota katika jela za nchini humo  kusikia majina ya watu waliotajwa katika waraka huo ambao bila shaka utapamba vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania wiki kadhaa zijazo. 
 
Kutajwa kwa wazi wazi kwa majina ya baadhi ya wanaotuhumiwa kuhusika na huku mwandishi wa barua hiyo akionya kwamba majina mengine zaidi yapo, kunaifanya barua hiyo kuwa tofauti kabisa na barua za kawaida au hata zile tambo za kisiasa kwamba “wanaohusika na biashara hii nawajua” 
 
Miongoni mwa majina hayo, limo jina la Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM,Iddi Azan. 
 
Barua hiyo (ambayo utaisoma hapa chini) inahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kina. Lakini kutokana na ukweli kwamba imeainisha watu wanaosadikiwa kuhusika, bila shaka imelipa jeshi la polisi mahali pazuri pa kuanzia. Je,wanaotajwa kipato chao kinatokana na biashara gani zilizo halali? Ukaguzi wa vitabu vyao vya fedha unasemaje? 

Jambo moja ambalo linasikitisha sana (endapo tuhuma hizi zitathibitishwa hususani kumhusu Iddi Azan) ni kwamba Jimbo au Wilaya ya Kinondoni ni miongoni mwa maeneo ambayo yanaongoza kwa vijana kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya.Je,ina maana Mbunge wake anahusika katika kuangamiza vijana au wapiga kura wa jimbo lake mwenyewe?

SOMA BARUA YENYEWE HAPA CHINI… baruamadawa(01)
baruamadawa(02)
baruamadawa(03)
baruamadawa(04)
baruamadawa(05)
  -Bongo celebrity

T.I.D AFANYWA KITU MBAYA NA WAHUNI..MWENYEWE AFUNGUKA NA KUAHIDI ZAWADI NONO YA LAKI MBILI KWA ATAKAYE MTONYA HAO WAHUNI..ATOA NAMBA YAKE YA SIMU










Music Video Director, Aswad Ayinde, Gets 90 Years In Jail For Impregnating His Own Daughters




Award-winning music director Aswad Ayinde, 55, has been sentenced to 90 years in prison after being found guilty of repeatedly raping his six daughters, resulting in them having six kids for him.

Mr. Ayinde was found guilty in a second trial of having intercourse with one of his daughters when she was as young as eight-years-old. This second sentence, for which he got 50 years, adds to the 40 year sentence Mr Ayinde received in a 2011 trial for sexually assaulting a separate daughter. Mr. Ayinde is known for directing the music video for the Fugees 1996 smash hit ‘Killing Me Softly.’

In disturbing disclosures during his trials, Mr. Ayinde’s former wife said he was trying to create a ‘pure family bloodline’ by impregnating his daughters. He even claimed that 'the world was going to end, and it was just going to be him and his offspring and that he was chosen.'

In this latest trial, it was revealed that Mr. Ayinde began having intercourse with his second daughter from the time she was eight-years-old, impregnating her four times.
The sexual assaults happened for almost 30 years until Mr. Ayinde and his wife separated.
They occurred in numerous homes across northern New Jersey, even while the family was under watch of state child welfare officials, according to NBC New York.
Some of the rapes even took place in an abandoned funeral home.


Ayinde’s tortured daughters were home schooled and isolated from other children, so as to keep the family secrets hidden.
The depraved father also beat and starved the girls using wooden boards and steel-toed boots for even ‘minor transgressions'


Mr. Ayinde also fathered 12 additional children with an additional three women, according to court records.

With his wife too afraid to confront him, Mr. Ayinde carried out his evil plan without hindrance even while directing the music video for the Fugees 1996 breakout hit ‘Killing Me Softly, for which he won  ‘Best R&B Video' at the 1996 MTV Music Video Awards. The Fugees are also originally from Northern New Jersey.

Mr. Ayinde faces three more trials over the alleged assaults.

PICHA ZA OPRAH ZIKIONYESHA JINSI ALIVYOIFURAHIA SAFARI YAKE YA SERENGETI TANZANIA


oprah
A group of giraffe is called a “journey” There were 16 of them couldn’t fit in one shot #SerengetiSafari
oprah-0
Ready for my closeup I love this one Another shot by Alf I need his camera #SerengetiSafari
oprah-2
Great shot at the watering hole Picture taken by Alf my safari guide armed with shotgun and Canon
oprah-6
Look at how Perfect nature is How male and female exactly match the grass cover #serengetisafari
oprah-5
Let sleeping lions sleep Driver wanted to get closer “No thank you I said
oprah-3
My first time seeing a real ostrich #SerengetiSafari
oprah-1
Ostrich Eggs #SerengetiSafari
oprah-8
Here’s the guy we searched 2 days for..photo by my shotgun toting guide Alf No gun necessary just a Canon
oprah-9
He’s looking directly at me..gorgeous and disconcerting #serengetisafari

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...