facebook likes

Friday, September 20, 2013

Exclusive Kutoka East Africa Radio, Kipindi Cha Tv Cha Maisha Ya Wema Sepetu 'In My Shoes' Kitaonekana Eatv Kuanzia October

Tunayo furaha kumkaribisha malkia wa  na ulimbwende Tanzania Wema Sepetu na reality show yake  itakayoanza Oktoba hii

SOMA ZAIDI...

HATIMAYE WEZI WA MTANDAO WAKAMATWA KATIKA OFISI ZA TIGO BUGURUNI ...CHEKI PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA

mrembo huyu ni mmoja wa watuhumiwa wa kesi hii ya wizi wa mtandao baada ya kutumia kitambulisho chake na kutaka kuja kurudisha line ambaye sio yake kwa kuahidiwa kupewa pesa kidogo kama ujira wake na katika melezo yake akasema hawatambui wahusika wenzake kwani amekutana nao tu sinza na wakampa dili hilo na kuamua kuchukua bajaji ambao iliwaleta mpaka ofisi za tigo buguruni rozana
SOMA ZAIDI.....

PICHA YA HALI YA SASA YA HAKIMU ALIYECHOMWA KISU WAKATI AKITOA HUKUMU HUKO MKOANI SHINYANGA...!!

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la Nguzo Nane, Kata ya Kambarage Mjini Shinyanga, Satto Nyangoha amejeruhiwa kwa kuchomwa kisu katika shavu lake la kushoto baada ya kutoa hukumu ya kesi ya wizi wa baiskeli. 
SOMA ZAIDI......

OMMY DIMPOZ ATEMBELEA STUDIO ZA SAUTI YA AMERICA (VOICE OF AMERICA "VOA") ASEMA JUMAMOSI WASHINGTON DC WATEGEMEE MAMBO !

MTANGAZAJI MASHUHULI SUNDAY SHOMARI  AKIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

PICHA ZA AGNESS MASOGANGE AKIWA URAIANI BAADA YA KUACHIWA HURU KUTOKA MAHABUSU..!!


Picha  hizi  zinatosha  kuthibitisha  kwamba  Agness  Masogange  ambaye  siku  hizi  anajiita  Agness FINEASS yuko  huru  mtaani.....
SOMA ZAIDI....

Uingereza yapunguza muda wa kupata viza

Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose
Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini, imetangaza huduma mpya ya haraka ya utoaji viza inayoitwa ‘huduma ya upendeleo ya utoaji visa kwa haraka’ ili kuwawezesha Watanzania kupata viza hizo ndani ya siku tano.
SOMA ZAIDI.....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...