facebook likes

Tuesday, August 20, 2013

'MWAKYEMBE ALINDWE'


 Mwenyekiti wa baraza la viongozi wa dini la kupambana na dawa za kulevya nchini shekhe wa mkoa wa dar es salaam Alhad Mussa Salum
SOMA ZAIDI......

WATU 54 KUJARIBIWA CHANJO MPYA YA MALARIA....


Majaribio ya chanjo mpya ya malaria ijulikanayo kama PfPZ ambayo mtu akipatiwa hataugua tena ugonjwa wa malaria maisha yake yote, yataanza kutolewa nchini mwezi ujao. 
SOMA ZAIDI.....

EPL Week 2 Fixtures: Players Who Need to Make an Impact

Hi-res-176694475_crop_north
Just one game into the new Premier League season and teams, managers and players are already under pressure to improve—and fast.

MTANDAO WA KAGAME WADAI KUWA MAMA SALMA KIKWETE NI MNYARWANDA...!!

 

 Mtandao  wa  News  of  Rwanda  umeendelea  kutuchokonoa  watanzania  ili  kuupima  msimamo  wetu.....
SOMA ZAIDI.....

MAJANGA: WANAOSAFIRISHA SEMBE WATAJA MABOSI ZAO.

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akionesha picha ya kijana Leonard Jeremiah Monyo aliyekamatwa na kete 86 za madawa ya kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.


SOMA ZAIDI........

HABARI NJEMA: WAZAZI WA MTOTO MANKA ALIYEOKOTWA JANA UPANGA WAPATIKANA


Globu ya Jamii ina furaha na fahari kutangaza kwamba hatimaye wazazi wa mtoto wa kike Manka wamepatikana na tayari wamemchukua binti yao tokea jana usiku.
SOMA ZAIDI......

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...