facebook likes

Wednesday, September 11, 2013

OBAMA KUENDELEZA SHINIKIZO KWA SYRIA

 Wafuasi wa serikali ya Bashar Al Assad

Rais wa Marekani Barack Obama, amesema kuwa atafanya juhudi zaidi za kidiplomasia kuangamiza zana za kemikali za Syria ingawa pia ameliambia jeshi lake kuwa tayari kuchukua hatua ikiwa juhudi zake zitafeli.
soma zaidi....

Alex Massawe afikishwa mahakamani huko Dubai

Mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe amefikishwa mahakamani Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa tuhuma za mauaji baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), kuiomba Serikali ya nchi hiyo kumkamata. 
SOMA ZAIDI.....

GARI LA KUBEBEA WAGONJWA LAKAMATWA LIKITUMIKA KATIKA WIZI NDANI YA MGODI GEITA.

Mwandishi wa habari Denice Stephano anaripoti kwamba gari la kubebea wagonjwa  limekamatwa likitumika katika wizi ndani ya mgodi wa Geita na kufanya wapatikane watuhumiwa tisa wa kesi ya wizi wa mafuta katika mgodi huo wa Dhahabu ( GEITA GOLD MINE ). 
 SOMA ZAIDI....

ROSE NDAUKA, BATULI, RICHIE NA SLIM OMAR WALAMBA DEAL LA KUWA MABALOZI WA SOKO LA HISA DAR ES SALAAM(DSE).

Mastaa wa filamu Swahiliwood Rose Ndauka, Yobnesh Yusuph(Batuli), Rich na Slim Omar wamechaguliwa rasmi kuwa mabalozi wa soko la hisa la Dar es salaam/Dar es salaam Stock Exchange(DSE). 

SOMA ZAIDI....

DAR FILAMU FESTIVAL 2013 NI TAREHE 24 - 26 SEPTEMBER.

Kampuni ya Haak Neel Production kwa kushirikiana na mtandao wa habari za filamu wa filamucentral inapenda kutambulisha kwenu Tamasha la filamu linaloitwa Dar Filamu Festival (DFF) 2013 litalofanyika katika uwanja wa CoICT- UDSM- Posta Kijitonyama, kuanzia tarehe 24- hadi 26, September,2013.
SOMA ZAIDI..........

ACTRESS/ SINGER BABY MADAHA ASAINISHWA MKATABA WA MIL.5O NA LABEL YA KENYA, APEWA NYUMBA NA GARI LA KUTEMBELEA.

Baby Madaha ambaye ni staa wa filamu Swahiliwood na mwanamuziki wa Bongofleva amesainishwa mkataba na kampuni ya Candy n' Candy records Label iliyopo Nairobi, Kenya. 

SOMA ZAIDI....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...