facebook likes

Saturday, September 14, 2013

WALIOMBAKA MWANAFUNZI NDANI YA BASI WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA...


Wanaume wanne jana wamehukumiwa kifo kwa kuhusika na shambulio la ubakaji na mauaji ya msichana kwenye basi mjini Delhi.


SOMA ZAIDI....

Aliko Dangote,Mike Adenuga,Femi Otedola make forbes List

forbes listAliko Dangote, Mike Adenuga, Femi Otedola and few others have made the Forbes list of the richest people in the world.

TAZAMA PICHA : BIRTHDAY YA OMMY DIMPOZ...J MARTINS AKIWEPO PIA


ANGALIA PICHA ZAIDI.......

Cash Money Wako Tayari Kumtoa Upya Msanii Huyu

Msaani mpya wa Cash Money aliye leta gumzo sana baada ya kupewa mkataba wa kurekodi ametangaza tarehe ya kutoka kwa wimbo wake wa kwanza kama msanii wa Cash Money. 
SOMA ZAIDI...

Tarehe Ya Kutoka Kwa Pirates of the Caribbean 5 'Dead Men Tell No Tales' Imesogezwa Mbele Tena

Mmoja ya Filamu inayopenda sana duniani Pirates of the Caribbean inazidi kushika headlines kwa kuwa na stori zinazovutia zaidi. Mtayarishaji wa filamu hii Jerry Bruckheimer amesema Mpaka mwaka 2015 utengenezwaji wa filamu ya 5 ya Pirates of the Caribbean 'Dead Men Tell No Tales'  utakuwa umeanza.
SOMA ZAIDI...

Mke Wa Swiz Beats Na Muonekano Wake Mpya

Rapper na Producer Swiz Beats ameweka wazi picha mpya za Mke wake Alicia Keys zinazo onyesha jinsi Mama huyo wa Mtoto moja alivyo pungua toka amejifungua mtoto wao wa kwanza.
ANGALIA PICHA ZAIDI...

Mpya Kutoka Kwa Lil Kim

UpDate- Rapper Lil Kim ametangaza kutoka kwa cd yake mpya iliyotakiwa kutoka mwaka jana nakusema itatoka mwaka huu mwezi wa kumi. 
SOMA ZAIDI...

OFFICIAL: MAROUNE FELLAINI ATAMBULISHWA RASMI MAN UNITED


ANGALIA PICHA ZAIDI.....

BAADA YA WORLD TRADE CENTER SASA NI ONE WORLD CENTER INAVYOONEKANA NEW YORK CITY

A rendering of what the new World Trade Center project site will look like when all buildings are complete. One World Trade Center (left) is near completion and is currently the tallest structure in the nation.

PICHA YA PADRI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR


Huyu ndiye Padre Anselmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar aliyemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanzibar.

BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA SERIKALI KUMJENGEA NYUMBA YA KISASA FRANCIS CHEKA

Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia mkuu wa mkoa wa Morogoro leo hii imemfanyia hafla fupi ya kumpongeza Bondia Francis Cheka aliyeiletea sifa kubwa nchi baada ya kushinda ubingwa wa dunia kwa kumtandika aliyekuwa bingwa wa dunia Phil Williams kutoka nchini Marekani.
SOMA ZAIDI......

BALAA GANI ARSENAL, OZIL HATIHATI KUCHEZA NA SUNDERLAND KESHO KWA SABABU MGONJWA

Sick for Sunderland? Ozil in training on Thursday before he was made to sit outKOCHA Arsene Wenger anaweza kulazimika kuchelewa kuanza kumtumia Mesut Ozil baada ya kumsaini kwa Pauni Milioni 42baada ya kushindwa kufanya mazoezi leo kwa sababu anaumwa.
SOMA ZAIDI......

MAYWEATHER APANDA ULINGONI LEO KUZIPIGA NA MKALI WA MEXICO

Time to shine: Floyd Mayweather and Canelo Alvarez face off after weighing in ahead of their Las Vegas fight


Kazi ipo leo: Bondia Floyd Mayweather kushoto akiwekeana mikwara na mpinzani wake, Canelo Alvarez baada ya kupima uzito jana tayari kwa pambano lao usiku wa leo mjini Las Vegas
SOMA ZAIDI....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...