facebook likes

Thursday, June 27, 2013

HAWA NDIO WABUNGE WATANO WANAOCHANGIA SANA BUNGENI NA WASIOCHANGIA



Uchambuzi umeonyesha kwamba Wabunge wanaotoka katika vyama vidogovidogo na vyenye viti vichache huwa na wastani wa juu zaidi wa ushiriki. Tathamini hii inazingatia ushiriki uliofanywa na Wabunge katika miaka miwili ya kipindi cha ubunge cha 2010 – 2015. Wabunge wanaweza
kushiriki kwa namna tatu: kwa kuuliza maswali ya msingi, maswali ya

nyongeza na kutoa michango. Katika namna zote hizi, TLP ambacho kina mbunge mmoja na NCCR-MAGEUZI watano, , vilikuwa na kiwango kikubwa zaidi chaa ushiriki kwa Mbunge. Hata hivyo, ukiondoa vyama vidogovidogo vyenye chini ya asilimia 5 ya uwakilishi Bungeni, Chadema kinafanya vema zaidi, kikifuatiwa na CUF na CCM.

HIKI NDICHO KIASI CHA PESA ALICHOINGIZA MSANII DIAMOND MWEZI JUNE NA JULY

Staa wa Kesho, Diamond ameendelea kupiga hela kwa show nyingi zinazomfuata kila kukicha. Wingi wa show hizi unazidi kumfanya kuwa miongoni mwa wasanii wachache wa Tanzania wenye pesa nyingi zaidi.


Tumejaribu kuangalia baadhi ya show alizofanya mwezi huu, atakazofanya mwishoni mwa mwezi huu na mwezi ujao ili kukadiria ni kiasi gani anaweza kuwa ameingiza. Baadhi ya show tunafahamu ni kiasi gani aliingiza huku zingine tukikadiria kutokana na jinsi anavyochaji.
Show ya nchini Comoro 22 June
Katika show hii alisema alilipwa si chini ya dola 25,000 za kimarekani ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 38.
Show za Usiku wa wasafi Tabora 28 na 29 June
Mara nyingi katika show za ndani Diamond hachukui si chini ya shilingi milioni 10 kwa show mbili huenda akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 15.
Show ya Tigo Mwanza 30 June
Katika show za makampuni kama hizi Diamond hulipwa si chini ya shilingi milioni 10.
Kili Music Tour 2013
Tulipata taarifa kuwa Diamond atafanya show kwenye mikoa minne na kwamba amelipwa shilingi milioni 50 kwa show zote.
Show ya Matumaini 7 July
 kwenye hii show diamond ana zaid ya mil.10

Show ya Kenya 27 July
Kwenye show hii Diamond atashare stage na mastaa wa Nigeria, Ice Prince na Davido na hapa kama alivyosema kuwa katika show za nje ya nchi huwa hachukui chini ya dola 15,000. Kuna uwezekano hapa akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 20.
Kama una calculator basi unaweza ukapiga hesabu mwenyewe ni kiasi gani ameingiza kwa show za June na July. Kumbuka pia kuwa show zote hata za July tayari ameshasaini mkataba na ameshalipwa chake tayari. Kitu kama milioni 140 na usheee!!

Pia kumbuka ni balozi wa Cocacola na hulipwa kila mwezi kwa shughuli zinazohusiana na deal hiyo. Katikati wa mwezi July pia kuna uwezekano akawa na show zingine kibao.

“Siku zote ishi ukikumbuka, Maisha ni Vita, vita ambayo mwisho wake ni siku ya wewe kuingia kaburini, hivyo haupaswi kuchoka wala kukata tamaa.Heshima, Juhudi na Maombi ndio nguzo pekee zitazokusaidia wewe kushinda Vita hii… tambua Mwenyezi Mungu ndiye Muweza na Mpaganga wa yote,” anasema Diamond.
 
from vitukovyamtaa blog.....

JOKE OF THE DAY

A newlywed couple moves into their new house. 

One day the husband comes home from work and his wife says, "Honey, you know, in the upstairs bathroom one of the pipes is leaking, could you fix it?" The husband says, "What do I look like, Mr. Plumber?" 

A few days go by, and he comes home from work and his wife says, "Honey, the car won't start. I think it needs a new battery. Could you change it for me?" He says: "What do I look like, Mr. Goodwrench?" 

Another few days go by, and it's raining pretty hard. The wife finds a leak in the roof. She says, "Honey, there's a leak on the roof! Can you please fix it?" He says, "What do I look like, Bob Vila?"

 The next day the husband comes home, and the roof is fixed. So is the plumbing. So is the car. He asks his wife what happened. "Oh, I had a handyman come in and fix them," she says.
 "Great! How much is that going to cost me?" he snarls. 

Wife says: "Nothing. He said he'd do it for free if I either baked him a cake or slept with him."
 "Uh, well, what kind of cake did you make?" asks the husband. "What do I look like," she says, "Betty Crocker?"

UCHAMBUZI HUU WA MAGAZETI NI KIBOKO


 Duh sasa hapa pamoja na umakini wetu wa hali ya juu hatuna la kusema.

 Inshu nyingine za ajabu sana sasa ndoa na kazi wapi na wapi?


 Nabii siri gani hizo? Unajua FBI wakikushika shauri zako we endelea kutoa siri za Rais wao mpendwa. Blog hii yenyewe inawaogopa FBI, we huogopi shauri zako
 Champini ndo gazeti gani tena. Halafu hii ishu ya kusema Michezo na Burudani inatuboa sana, kwani michezo sio burudani? Acheni hizo
 Tafsiri sentensi hii kwa Kiingereza utapata zawadi kutoka kwa nanihii, au unaweza hata ukatafsiri kikwenu

 Hahahahahaha si baada ya muda ukiwauliza, 'Mzee unafanya kazi wapi?' Watakuwa wanajibu "Hahuhuhu" Chezea Pinda wewe

 Mkong'oto kwa kikwetu ni uji wa ulezi, so mi ntawadai polisi na mimi wanipe kidogo kila asubuhi si eti ehh

Huyu housegelo kiboko anawapa watu ulaji Ulaya dah, lazima ni bonge ya mpishi, au kaanzisha mama ntilie Ulaya si unajua mtu lazima utumie opotyuniti
 
 
THANKS TO CHEKA NA KITIME

UCHAMBUZI FEKI WA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO


 JAMANI serikali iwage na huruma nyeee. Yaani huyu binti mdogo namna hii yenyewe inamkalia kooni si atashindwa kupumua? Kiukweli nawashauri wabunge ambao ni muhimili mwingine waitoe serikali shingoni kwa Aunt wetu, bado tunamhitaji kwanza kaolewa juzijuzi tu halafu nyie mnamkalia shingoni, Not fea washkaji not fea

Yanga kiboko, hii triki lazima na Man U na timu nyingine wajifunze, kamata fowadi wa timu pinzani halafu unamficha, unakuwa umekata kabisa jeuri yao. Mechi ikianza fowadi hayupo, au ili utamu uzidi unamficha na kipa, mechi pyeee timu haina kipa shenzi zao, hapo ni mabao utadhani unacheza na Tahiti. Hongera Yanga kwa ubunifu.

 Blog hii imeshalalamika sana kitendo cha nchi moja kuiuwa nyingine. Sasa hapa itakuwaje? Ningeshauri Tahiti ijitoe muhanga na kwenda kuamulia sekeseke hili, nchi ikifa wananchi wake wanaenda wapi? Wasije wakawa wakimbizi Bongo maana ndio kituo kikubwa cha wakimbizi. Umoja wa Mataifa amka mambo yanaharibika huku

 Tunapinga hiki kichwa kwa nguvu zote. Sisi huku Manzese na Tandale hatukubali kutekwa tutafait mpaka mwisho, hayo mambo ya hukohuko kwenu Maostabe, Ma sijui Masaki, sisi hatutekwi , wajumbe wetu wa serikali za mtaa watabaki walewale. Habari ndio hiyooo. HATEKWI MTU HAPA

Mmesikia nyie wakuja, tumejaa huku, msijeeee, atakaebisha amri halali si mnajua maelekezo yaliyotolewa wiki iliyopita? Tusije kulaumiana ohoo, Msiije mpaka Bosi aondoke


DUH Yanga ndio sisi mnuso sio ishu hatutakiiii, na wala hilo pilau hatuliii, kawapeni jamaa zetu sisi hatuna dhiki. Yanga Hoyeeee




thanks to JOHN KITIME

Scolari: Brazil are World Cup ready

Luiz Felipe Scolari has lauded Brazil's young guns following the 2-1 Confederations Cup semi-final win over Uruguay on Wednesday, claiming the result has his side prepared for next year's World Cup.

Brazil and Uruguay fans Confederations Cup semi-final
Julio Cesar is congratulated by his team-mates after saving Diego Forlan's penalty


Goals to Fred and Paulinho sent Brazil through to the final where they will face the winner of the second semi-final between Spain and Italy.
Scolari insists the Selecao have already achieved their main goal for the tournament and is confident the recent performances prove his youngsters are ready for matches of a World Cup magnitude.
"Our mission was to reach the final, and we have done it," Scolari said. "We needed to win games like that to learn how to win in the World Cup. Our team is very young and this kind of game helps us to grow.
"This is an amazing feeling. I'm so happy, I can't say more. I'm proud of all my players with no exception. The players did it for the fans and overcame adversity."
Brazil goalkeeper Julio Cesar was largely responsible for the victory after saving Diego Forlan's penalty in the first half.
"I am so happy and proud," Cesar said. "The way the fans received us was incredible and gave us extra."
Neymar admitted Brazil were placed under pressure during the early stages of the match, but expressed his delight at reaching the final.
"It was typical of a semi-final game," Neymar said. "We managed to control the game. We knew it would be hard but we got the win and that was the most important thing."

TEVEZ kama mfalme italia, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

tevez2 403cf
 Carlos Tevez kushoto akiwasili jijini Turin

 tevez4 7dfa1

tevez 2fa1b

tevvez3 90137


MSHAMBULIAJI Carlos Tevez amewasili Italia na kupata mapokezi makubwa kuelekea uhamisho wake wa Pauni Milioni 10 Juventus kutoka Manchester City.

Mpachika mabao huyo wa Kiargentina alitua katika Uwanja wa Ndege wa Malpensa mjini Milan na kupokewa na umati wa mashabiki ambao mara zote hupenda kuwalaki nyota wao wapya.
Tevez, mwenye umri wa miaka 29, anataraji kusaini mkataba wa miaka mitatu jijini Turin baada ya vipimo vya leo huku makubaliano yakiwa yamefikiwa. Chanzo: Sportmail

Exclusive: Wema sepetu na Rado ndani ya filamu mpya, ni moto wa kuotea mbali.

Exclusive: Wema sepetu na Rado ndani ya filamu mpya, ni moto wa kuotea mbali.

  • Exclusive: Wema sepetu na Rado ndani ya filamu mpya, ni moto wa kuotea mbali. 1
  • Exclusive: Wema sepetu na Rado ndani ya filamu mpya, ni moto wa kuotea mbali. 2
Baada ya kufanya vizuri na filamu yake ya maduhu, hatimaye mwigizaji Simon Mwapagata ameanza kutengeneza Filamu yake mpya aliyowashirikisha mastaa mbalimbali akiwemo mrembo kipenzi cha wengi Wema Abraham Sepetu.
Akizungumza katika utengenezaji wa Filamu hiyo unaoendelea maeneo mbalimbali ya jijini Dar es salaam, Rado (Simon Mwapagata) amesema kuwa Filamu hiyo itafanyika mjini Dar es Salaam na baadaye mkoani Tanga.
Ndani ya Filamu hiyo, yupo mwigizaji mwingine mkongwe Deogratious Shija na Sudi…
Tazama picha za utengenezaji wa Filamu hiyo hapo

Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume. Angalia picha

Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume. Angalia picha


  • Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume. Angalia picha 1
  • Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume. Angalia picha 2
Waigizaji waliopo orodha A kwenye kiwanda cha filamu nchini, Vincent Kigosi ama Ray na mrembo Jacqueline Wolper , wapo location wakishoot movie yao mpya ambayo bado hatujaweza kupata jina lake mpaka sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Katika picha picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za mtandao mmoja wa kijamii nchini inaonekana wanaigiza kama mke na mume.
“Siye tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,” ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.
Filamu hii inatengenezwa na kampuni ya RJ company iliyoshinda tuzo ya best production house kwenye tuzo zilizotolewa na kampuni ya usambazi wa filamu Tanzania Steps Entertainment Limited

Wakati huu ambapo mengi yanasemwa kuhusiana na Afya ya Nelson Mandela, Hiki ndicho kinachoendelea Afrika Kusini kwa sasa












Kwa Mujibu wa BBC, Mandela anaendelea kupokea matibabu hospitalini, na Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana mjini Cape Town, Afrika Kusini, Thabo Makgoba, amejitolea kufanya maombi kwa niaba ya rais mstaafu Nelson Mandela ambaye anaugua sana hospitalini. Kasisi huyo anamuombea Mandela aweze kupata nafuu na amewataka wananchi kumshukuru kwa yote aliyowafanyia.
Maombi hayo yalitolewa baada ya Askofuu huyo kumtembelea Mandela hospitalini ambako kiongozi huiyo wa zamani amekuwa akilazwa kwa wiki mbili na nusu zilizopita baada ya kuugua mapafu.

Habari inayoleta wasiwasi mkubwa juu ya Mustakabali wa Afya ya Mandela ni hatua ya wajukuu wa rais huyo wa zamani wa Afrika kusini wanakutana nyumbani kwake kijijini katika mkoa wa Eastern Cape province, ambako viongozi wa kitamaduni wamealikwa kujadili mambo ambayo bado hayajafahamika kwa uhakika, wakati pia ndugu zake wengine wamekutana nyumbani kwake huko Kunu, huku hali yake ya afya ikizidi kudorora hospitalini, Pretoria.

JUMA KASEJA HURU KUTAFUTA TIMU NYINGINE, SIMBA SC WAACHANA NAYE

Juma Kaseja.
  TIMU ya Simba SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma Kaseja. Simba SC kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Pop, umetangaza kuachana na kipa huyo ambaye ni nahodha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars. Kaseja ambaye ameipatia mafanikio mengi Simba amemaliza mkataba wake na timu yake hiyo ambayo imemwambia yupo huru kutafuta timu nyingine.

PREZZO ~ CELEBRATION OF LIFE (OFFICIAL VIDEO)

SUPERSTAR DIAMOND PLATNUMZ KUPIGA SHOW KENYA



Diamond Platnumz ni mmoja wa wasanii ambaye atahusika katika Boombaataa Festival inayafonyika kenya. Diamond Platnumz atapiga show pamoja na wasanii wengine kama Ice Prince, Victoria Kimani, Davido.
The event will be held on Saturday 27th July at Ng’ong Racecourse from 2pm until 1am. Siku chache zilizopita Diamond Plutnumz alielekea pande za Comoro kwa ajili ya kupiga show na sasa anaelekea Kenya kwaajili ya Boombaataa Festival.

JAY-Z AONJESHA UTAMU WA ALBAMU YAKE


Ikiwa zimebaki siku chache kwa mwanamuziki wa Marekani miondoko ya Hip Hop Jay Z kuiachia albamu yake iliyoipa jina la 'Magna Carta Holy Grail' ameanza kwa kutoa mashairi  yanayopatikana  katika albamu hiyo

Jay Z kwa kuanza ametoa mashahiri ya wimbo unaoitwa 'Holy Grail' aliomshirikisha Justin Timberlake ambapo pia utapatikana katika albamu hiyo

VAZI LA SUSPENDER NDANI YA FASHION

Video: Psquare wamekamilisha yao tena watupia style za Michael Jackson single mpya video mpya "personally"

Psquare wamefanya yao kwa mara nyingine tena, baada ya kuachia bonge la hit "Personally" huku video yake ikiwaonyesha kutupia styles za kudance tulizoachiwa urithi na King wa Pop (Michael Jackson). cheki na video pamoja na audio hapo chini

Exclusive Nu joint: Bila kukunja goti / AY & FA feat J Martins


  Jana  kupitia kipindi cha XXL cha Clouds Fm, AY ameachia single mpya akiwa na FA pamoja na J Martins kutoka Nigeria "Bila kukunja goti" , mkono ukiwa wa Producer Macochali studio za MJ.

akizungumza na Fetty pamoja na Adam mchomvu, AY alisema kuwa idea nyuma ya wimbo huo ilitoka kwa Macochali na wao kama wasanii ndio wakajazia lyrics na kuikamilisha ambapo nakupa nafasi ya kuisikiliza hapa.

Ommy Dimpoz asaini mkataba tour ya Canada na USA


Omary Fereji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, amesaini mkataba na kampuni ya DMK Global Promotion leo  hii kwa ajili ya tour atakayoifanya Canada na Marekani mwezi wa tisa mwaka huu.

"yaah nimesaini mkataba na nitaondoka kwenda kwenye tour hiyo mwanzoni mwa mwezi wa tisa, imekuwa hivyo kwasababu tunasubiri mwezi mtukufu upite si unajua tena, kampuni niliyosaini nayo inaitwa DMK global promotion ambayo ni ya mtanzania ambae anaishi marekani." amesema Dimpoz

nilipomuuliza kuhu mkwanja alioingiza kwa mkataba huo, Dimpoz aligoma kutaja kiasi na kusema 
"aaaah unajua tena kwa matatizo yaliyotokea nikitaja tena na mkwanja nilioingiza si ndio itakuwa matatizo kabisa? .

wajua kufikiri walisema haya(philosophical quotes)

Philosophers talked of so many things, the following are some of the philosophical quotes.


· Love is the master key that opens all the gates of happiness.
· You come to love not by finding a perfect person, but by seeing an imperfect person perfectly.
· You may only be the one to the world but you may also be the world to one person.
· Love is an act of endless forgiveness a tender look which becomes a habit.
· Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage.
· There is always some madness in love. But there is always some reason in madness.
· You don’t love a woman because she is beautiful; she is beautiful because you love her.
· If you would be loved, love and be lovable.
· True love cannot be found where it truly does not exist, nor can it be hidden where it truly does.
· A happy man marries the girl he loves; a happier man loves the girl he marries.
· Age does not protect you from love but in some extent love protects you age.
· We learn only from those we love.
· If women are expected to do the same work as men, we must teach them the same things
· Ignorance is the root and stem of every evil.
· No human thing is of serious importance.
· Thinking is the talking of the soul with itself.
· We can easily forgive a child who is afraid of the dark the real tragedy of life is when men are afraid of light.
· Wise men talk because they have something to say, fools because they have to say something.
· No evil can happen to a good man either in life or after death.
· A hero is born among hundred, a wise man is born among thousand, but accomplished one might not be found even en in hundred thousand men.
· All men are by nature equal, made of the same earth by one workman, and however we deceive our selves, as dear unto god is poor peasant as the might price.
· All the gold which is under or upon the earth is not enough to give in exchange for virtue.
· Any man may easily do harm, but not everyman can do good to another.
· At the touch of love every one becomes a poet.
· Democracy is the charming form of government, full of variety and disorder, and dispensing a sort of equality to equals and unequal alike.
· The heaviest penalty for declining is to rule is to be ruled by someone inferior to yourself.
· There is truth in wine and children.
· Education is teaching our children to desire the right things.
· You should not honor men more than truth.
· The road to success is not straight. There is curb called failure, a loop called confusion, speed bumps called friends, red lights called enemies, caution lights called family; you will have flats called jobs. But, if you have spare called determination, an engine called perseverance, insurance called faith, and driver called JEHOVA, you will make it to a place called success.
· All human action have one or more of these seven causes; chance, nature, complusion, habit, reason ,passion ,desire.
· Anybody can be angry, that’s easy, but to be angry with the right person and to the right degree and at the right time and for the right purpose, and in the right way, that is not within everybody’s power and not easy
· Wishing to be friend is quick but friendship is slow ripening fruit.
· I count him braver who overcomes his desires than him who conquers his enemies, for the hardest victory is over self.
· At the best, man is the noblest of all animals separated from the law and justice he is the worst.
· Men fear death as children fear to go in the dark and as that natural fear is increased with tales, and so is the other.
· The purpose of life is a life of purpose.
· Life is simple, it’s just not easy.
· To live remains an art which everyone must learn and no one can teach.
· Death is not the greatest loss in life. The greatest loss is what dies inside us while we live.
· Speak when you are angry and you’ll make the best speech ever regret.
· As for me………… all I know is that I know nothing.
· Be as you wish to be seemed.
· Employ your time in improving yourself by other men’s writings, so that you shall gain easily what others have labored hard for.
· Death maybe the greatest of all human blessings
Every moment waited is a moment wasted.

Nitoke vipi: Kituko jamaa ajibadirisha na kuwa na sura ya mbwa.

Mbrazili mmoja aliyekuwa na tamaa ya kuvunja rekodi kwa kujibadiri sura ili awe na sura ya mbwa, pamoja na nia yake hiyo alidiriki kulipa mapesa mengi ili kufanyiwa upasuaji iki kutimiza azma yake hiyo. Na nia kubwa kwake ni kuwa binadamu wa kwanza mtu+ mbwa duniani( Dogman).

Mtu mwenye sura nzuri ambayo haina shida yeyote ametamani kuwa mbwa!. Lakini haishangazi sana kwa dunia hii yenye kila vituko na vioja. Hebu angalia mchakato mzima wa upasuaji wake na vioja vyake.












COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...