facebook likes

Sunday, September 22, 2013

MASHINDANO YA SHIMIWI YAFUNGULIWA MKOANI DODOMA

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Lephy Gembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI) uliofanyika leo  katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma,ambapo Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Amos Makala alifungua rasmi michezo hiyo.
SOMA ZAIDI......

PESA NDO KILA KITU,DIAMOND ANUNUA CHENI YA GOLD GRAMU 87.97 NCHINI MALYSIA.

 
(picha kwa hisani ya sammisago)
ANGALIA PICHA ZAIDI....

JK ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU YA CHUO KIKUU CHA GUELPH JIMBONI ONTARIO, CANADA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Siku ya Ijumaa, Septemba 20, 2013, alitunukiwa Shahada ya Uzamivu (PHD) na Chuo Kikuu cha Guelph cha Canada kwa kutambua mchango na uongozi wake katika kuleta mageuzi ya kilimo katika Afrika.

SOMA ZAIDI....

Boxing: David Haye v Tyson Fury fight postponed

David Haye has been forced to postpone his eagerly-awaited heavyweight clash with Tyson Fury after suffering an injury.

HIZI NDO PICHA ZA MTUHUMIWA AJISAIDIA HAJA KUBWA MAHAKAMANI WAKATI AKISOMEWA HUKUMU JIJINI DAR...!!


KIOJA cha mwaka kilitokea Jumatano wiki hii katika Mahakama ya Jiji ya Sokoine Drive jijini Dar es Salaam, baada ya mkazi mmoja wa Buguruni, Hassan Omary kujisaidia haja kubwa kizimbani wakati akisomewa shtaka lake la uzururaji.
SOMA ZAIDI....

HIVI NDIVYO VYAMA VYA UPINZANI VILIVYONGURUMA JANA..MSWADA WA KATIBA WAPINGWA VIKALI

Vyama vya upinzani jana vilifanya mkutano mkubwa kuwashawishi wananchi kupinga kile walichokiita kuhujumiwa kwa mchakato wa Katiba Mpya, wakitangaza Oktoba 10 kuwa siku ya Watanzania wote kushiriki katika maandamano kushinikiza wapewe haki ya kuandaa Katiba yao.
soma zaidi.....

WACHUNGAJI WA DINI SASA KUCHUNGUZWA...MAOVU, UTAPELI KWA VIVULI VYA DINI VYATAWALA!!!....HABARI KAMILI HAPA!!!!



SERIKALI imesema itaanza kuchunguza madhehebu ya dini kutokana na migogoro na malalamiko ya waamini dhidi ya viongozi wao kuongezeka.

SOMA ZAIDI....

UPDATES ZAIDII!!!! HADI SASA JUMLA YA WATU 43 WAMEUAWA NA WENGINE KUTEKWA NYARA NDANI YA JENGO LA WASTGATE NAIROBI KENYA...FUATILIA KIUNDANI HAPA...


Shirika la Red Cross linasema kuwa watu 43 wameuawa na zaidi ya 50 kujeruhiwa huku wengine wakitekwa nyara katika mashambulizi la kigaidi Jumamosi mchana.
SOMA ZAIDI....

MMH..LAANA HIII!!!! VIJANA WAWILI WAKAMATWA NA KICHWA CHA MTOTO...TAZAMA PICHA HAPA




Two men were on Friday in Ibadan paraded by the police for possessing a decomposing human head. One of the men, Seyi Akinola, was arrested in an ambush operation by the police while Ajitoni Ogundeji was named by Akinola as his accomplice in the crime.

TAZAMA PICHA: MUONEKANO MPYA WA FEZA KESSY BAADA YA KUREJEA KUTOKA KWA MPENZIWE ONEAL--BOTSWANA

ANGALIA PICHA ZAIDI......

LIVERPOOL ILIPOFUNGWA NA SOUTHAMPTON 1-0 KWENYE LIGI KUU UINGEREZA:

Dejan Lovren akishangilia bao lake hapa na kupongezwa na wachezaji wenzie.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

HAPPINESS WATIMANYWA ASHINDA TAJI LA REDD'S MISS TANZANIA 2013 MLIMANI CITY

Mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa katikati akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi usiku huu kushoto ni pili Latifah Mohamed na kulia ni mshindi wa tatu Clara Bayo.

ANGALIA PICHA ZAIDI....

Manchester United's Jesse Lingard nets 14-minute hat-trick on way to four goal haul on Birmingham loan debut

Four play: Jesse Lingard, on loan from Manchester United, scored four goals on his Birmingham debutBirmingham 4 Sheffield Wednesday 1: Lingard does it all himself on Blues debut. Jesse Lingard scored all four Birmingham goals on his debut as the Blues hammered hapless Sheffield Wednesday 4-1.

HABARI PICHA: HALI ILIVYOKUWA KATIKA UVAMIZI WA KENYA

CHELSEA YAIFUNGA FULHAM 2-0, KWENYE ENGLISH PREMIER LEAGUE , OSCAR NA MIKEL WAIPANDISHA KILELENI KWA MUDA


 

John Mikel akiambatana na wenzake kushangilia ushindi walioupata!

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...