facebook likes

Monday, September 16, 2013

Floyd Mayweather Made At least Sh3.5 Billion From His Saturday Fight

LAS VEGAS, Nev. – Canelo Alvarez proved nothing more than easy money for Floyd Mayweather Jr.

BAADA YA MANENO MANENO KUHUSU LUCCI NA JOKATE, HATIMAYE LUCCI AVALISHA PETE MWANAMKE AMPENDAE

lucci2
Hivi sasa producer wa wimbo wa kaka dada ameamua kumvisha pete mpenzi wake ambaye amekuwa mchumba wake rasmi.Cheki picha hapa na Lucci akiongea alisema, 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

LOWASSA ATOBOA SIRI..BARAZA LA MAWAZIRI LILIMPINGA


WAZIRI Mkuu mstaafu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Baraza la Mawaziri, lilimpinga asisafirishe maji kutoka Ziwa Victoria hadi wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
SOMA ZAIDI....

KWELI HUYU MDADA FLAVIAN MATATA ANAJITUMA SANA..MCHEKI AKIWA KWENYE BANGO AKITANGAZA NGUO KATIKA DUKA MAARUFU MAREKANI



SOMA ZAIDI......

MTUNISY NA JACKLINE WOLPER WAJA NA FILAMU MPYA YA JIKE DUME

Waigizaji maarufu Swahiliwood Jackline Wolper na Nice Mohamed(Mtunisy) wanakuja pamoja na filamu ya Jike Dume ambayo wanaishuti kwasasa.
SOMA ZAIDI.....

MR.NICE KATIKA MZOZO MWINGINE!

nice
Nguli wa muziki aina ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda ameingia katika mzozo mzito na meneja wake mpya baada ya kutokukubaliana baadhi ya mambo aliyokuwa akishauriwa na lebo hiyo mpya.
SOMA ZAIDI...

KAMA ULIKUWA HUJUI BASI HUYU NDO DEMU WA OMMY DIMPOZ KWA POZI


Mashaallah Mashaallah Omary vishimo umejua kuchagua, mtoto mkali sana miaka yote.. mnaotaka kujua habari zake zaidi mfateni
sweden mtapata habari kamili mimi nimewawekea tu habari katika picha #okbaiii
ANGALIA PICHA ZAIDI....

MBUNGE WA MASWA MAGHARIBI JOHN SHIBUDA ASEMA SIASA SI MATUSI BALI NI KUKOSOANA KWA HOJA

1

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mbunge wa CHADEMA jimbo la Maswa Magharibi Mh. John Shibuda wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Meatu mjini Meatu, 
SOMA ZAIDI....

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI NA CANADA


MALKIA WA ZOUK NCHINI HAFSA KAZINJA AIBUKA NA WIMBO WA "NIMUOKOE NANI" KUMUENZI MUHIDIN MAALIM GURUMO ALIYESTAFU


Msanii Hafsa Kazinja akiimba wimbo wa Muhidin Maalim Gurumo wa "NIMUOKOE NANI" enzi hizo akiwa na NUTA jazz ikiwa ni mchango wake kumuenzi mwanamuziki huyo nguli ambaye amestaafu rasmi muziki baada ya kudumu katika fani tangu mwaka 1960. 
SOMA ZAIDI...

AFRO WEST COLLECTION LOOKBOOK BY SHERIA NGOWI

This Saturday,Sheria Ngowi launched his Afro West collection in a showcase that took place in New York. Some of the pieces that make this collection are the below...

CHUCHU HANS, KING MAJUTO AND RICHIE IN A NEW MOVIE (PHOTOS)

and expect new movie from the three film stars !

ACTOR DR.CHENI ALAMBA DEAL LA KUWA BALOZI WA SIMU MPYA ZA PANTECH.


Dr. Cheni
Muigizaji maarufu wa filamu Swahiliwood Muhsin Awadh(Dr.Cheni) ameteuliwa kuwa balozi wa simu mpya aina ya Pantech ambazo zimeanza kuingia nchini. 
SOMA ZAIDI.....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...