facebook likes

Friday, February 15, 2013

HII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA RIHANNA| STAY featuring MIKKY Ekko


CHRIS MARTIN AWAGUSA WASWAHILI, KUMBE JAMAA ANAJUA KISWAHILI .

Chris Martin amedhihirisha kukolewa kwake na Afrika Mashariki na hii pengine ni kutokana na show zake kubwa ambazo amezipiga katika nchi za Uganda na Kenya kwa wakati tofauti na hii ni kutokana na mshkaji huyu kudhihirisha kuwa lugha 'hadhimu' ya Kiswahili haimpigi chenga.

Christopher Martin
Investigation ya www.jovinbachwa.blogspot.com imelithibitisha hili pia na kugundua kuwa ni kweli msanii huyu wa miondoko ya reggae ana-feel Kiswahili, na hiki ndicho tulicho kutana nacho kwenye twitter timeline yake...
                       
Kama bado huamini, #FACT iis.. Yeah, for real, Jamaa Kiswahili kinapanda kimtindo.
 
 Ni mkali mwenye hits kibao kutoka Jamaica, Chris Martin, Hits zake kama vile Cheaters Prayer na Paper Loving ndio zime-establish jina lake vizuri kabisa Afrika Mashariki.

SKILIZA WIMBO WA AIKA NA NAHREEL WALIOKUWA PAH 1`USINIBWAGE' UMETOKA JANA.

NEW VIDEO: 50 CENT - FINANCIAL FREEDOM

David Beckham to have pie and mash shipped to France

David Beckham to have pie and mash shipped to France

 



















David Beckham is having pie and mashed potato shipped out to France.
The 37-year-old soccer star has signed a five-month contract with Paris Saint-Germain but won't be missing out on his favourite hearty meal as Tony Lane - whose shop in Waltham Abbey, Essex, East England, is a regular haunt of the sportsman when he is in the UK - has promised to package out the food to his new home, repeating the habit he established when he lived in Spain and played for Real Madrid for four years from 2003.
Tony told the Daily Star newspaper: ''No way will David survive on rich French food. An Englishman can't live on frogs' legs.
''We've already been told to send our pies over to France - and it's not unusual. We did the same when he was at Madrid and even deliver them when he stays at the Savoy [hotel] in London.
''And if he wants me to come and cook for him there, my door is open.''
David - who has 19-month-old daughter Harper and sons Brooklyn, 13, Romeo, 10, and seven-year-old Cruz with wife Victoria - always orders the same meal consisting of double pie, double mash, parsley liquor and jellied eels on the side.
Tony believes his traditional food is what keeps David ''fit'' and looking youthful.
He added: ''My pie and mash has made David the fit man he is. He'd be showing his age a lot more if he hadn't been eating our recipe regularly.
''Once he's settled in Paris and knows where he is, he'll be back in my shop.''

John Legend's girlfriend: Marry me or I'm out

John Legend's girlfriend: Marry me or I'm out

 



















Chrissy Teigen has given John Legend until the end of the year to marry her. 
The 27-year-old model - who has been dating the 'Ordinary People' people singer for seven years and became engaged to him in December 2011 - has given her fiancé an ultimatum that they either tie the knot by the end of 2013 or she's ''out''.
She said: ''We keep pushing the date.''
Quizzed when they might marry, she revealed: ''Definitely this year, but this year just started. If it's not this year, I'm out.''
The Sports Illustrated cover girl admitted that she and John, 34, got engaged after constant pressure from their friends and family about when they would settle down but bemoaned that she is constantly being hassled about their impending nuptials.
Speaking to the New York Daily News newspaper, she said: ''We were sick of people saying, 'When are you getting engaged?', so we did. And now everyone's asking when we're getting married.''
And Chrissy also claimed she now plans to start a family before walking down the aisle.
She added: ''You know. I'm doing it backwards. I'm going to get de-engaged, then have a baby, then get married.''


Ben Affleck, Jessica Chastain and Jennifer Lawrence to present at Oscars

 
Ben Affleck, Jessica Chastain and Jennifer Lawrence to present at OscarsNominees Ben Affleck, Jessica Chastain and Jennifer Lawrence will present at the Academy Awards.
Ben - who received a producer nod for 'Argo' which is also up for Best Picture - showed he is not upset over his Best Director snub by agreeing to take to the stage at the Dolby Theatre in Los Angeles on February 24.
Jessica and Jennifer will compete in the Best Actress category for their work in 'Zero Dark Thirty' and 'Silver Linings Playbook' respectively.
Previously confirmed presenters include Sandra Bullock, Nicole Kidman, Halle Berry and Reese Witherspoon, who have all won the coveted Best Actress award in the past.
Sandra earned her Best Actress award for 2009 drama, 'The Blind Side', while Reese won in 2005 for her role as June Carter Cash in Johnny Cash biopic, 'Walk the Line'. Nicole was crowned Best Actress for playing Virginia Woolf in 2002's 'The Hours' and Halle earned her Oscar for 2001's 'Monster's Ball'.
Other stars confirmed to present at the awards include fellow Best Actress winner, Meryl Streep, who won her third award in the category for last year's 'The Iron Lady', Channing Tatum, Jean Dujardin, Octavia Spencer, the cast of 'The Avengers' and the cast of the 2003 Best Picture winner, 'Chicago'.
The producers of this year's Oscars telecast, Craig Zadan and Neil Meron, have revealed they want this year's ceremony to be more performance based than ever. Adele is expected to sing her hit song 'Skyfall' from the latest James Bond film, while Norah Jones, Shirley Bassey and Oscar winner Barbara Streisand will also take the stage.

Brad Pitt and Angelina Jolie launch wine label


Brad Pitt and Angelina Jolie launch wine labelBrad Pitt and Angelina Jolie are launching their own wine label.
The couple have joined forces with the Perrin family, wine makers and owners of Chateau Beaucastel in France's Chateauneuf-du-Pape region, to create a range of wines at their estate Chateau Miraval, with the first beverage set to be a 2012 vintage pink rose.
Brad said: ''We are intimately involved and quite enthused over the wine project with our friends the Perrin family.''
While the Perrin family will take most of the responsibility for the wine production, Brad and Angelina consulted on the new bottle and redesign, which will carry the names 'Jolie-Pitt and Perrin'.
Marc Perrin told business magazine Challenges: ''We talked a lot and did the first harvest together. They are very demanding in seeking excellence in the quality and character of their wine.''
This is not Brad and Angelina's first foray into wine production as it was previously revealed Brad wants to serve their own product Pink Floyd, at their upcoming wedding.
A source said: ''Guests shouldn't be disappointed in his taste.
''He's always had a keen interest in wine and after doing his wine steward's course earlier this year, he's pretty much a certified expert.
''Pink Floyd is one of their own wines from their Miraval estate.
''Brad's cellar boasts some incredibly rare wines and rivals those of some of the best connoisseurs in Europe.''

Unhappy Valentine's Day: Woman Dumps BF With Billboard!!

unhappy valentines day woman dumps bf with billboard































Ouch!
This is the oldest message we've seen since the Valentine's Day massacre!
A woman in England known only as Laura purchased space on a digital billboard for a special message for her BF on Valentine's day! GTFO! It reads:

"Dan,
I'm leaving you for Gary.
Your clothes are at your mum's & I've changed the locks.
Sorry to do this on Valentine's Day.
Laura"
Is she really sorry?
Because as we understand it, the ad is going to run for a month in a parking garage frequented by her soon-to-be ex.
Eesh! At least February only has 28 of the WORST DAYS OF YOUR LIFE!
We're sorry, Dan!

AH-Mazing Acoustic Cover Of Drake’s Started From The Bottom! Check It Out HERE!

We love good music, and we just love when good music is turned into more good music!And that’s just what Adam Jensen did to Drake’s Started From The Bottom.

The hot, eerie song gets transformed into a more soulful, emotional version by the musician.
Started From The Bottom feels completely new with Adam's acoustic makeover on it!
We LUV both, so you definitely have to check this cover out (above)!
PrrreEeessSsssS PlllaAaaayyyYYy!


HERE IS THE ORIGINAL DRAKE TRACK...........AMAZING TRANSFORMATION 

Dr Sid and Tiwa Savage cover Labrinth's 'See Beneath Your Beautiful'

 
Who knew Dr Sid could sing like this? Tiwa Savage and Dr Sid were in the studio and asked fans on Twitter to pick a song that they could make a cover of. Fans picked Labrinth ft Emeli Sande 'See Beneath Your Beautiful' They did a great job. Listen to it below...

HILI NDIO BASI JIPYA LILILONUNULIWA KWA AJILI YA KUWABEBA WACHEZAJI WA TAIFA STARS.


Ni basi aina ya Yutong lililonunuliwa na wadhamini wa Taifa Stars ambapo thamani yake ni zaidi ya Shilingi milioni 200, lina uwezo wa kubeba abiria 50, ndani kuna TV mbili za kisasa, muziki wa nguvu wenye spika nane, milango na mabuti ya kisasa, friji mbili na AC kama kawaida.

February 21 ndio litakabidhiwa kwa Taifa Stars.

.

ISIKILIZE HAPA SINGLE MPYA YA NIKKI WA II FT JOH MAKINI & G NAKO – NJE YA BOX

HILI NDIO TANGAZO LA TV LA DELTA LLOYD AMBALO WAZUNGU WAMEONGEA KISWAHILI NDANI

#BREAKING TAARIFA KUHUSU KIFO CHA MNIGERIA GOLDIE WA PREZZO


Goldie na Prezzo.
Ni taarifa ambayo kila aliekua karibu na Goldie kwenye page zake za facebook na twitter inakua ngumu kuamini, taarifa rasmi zimeripoti kwamba Goldie ambae ni mwakilishi wa Nigeria kwenye BBA 2012 AMEFARIKI muda mfupi tu baada ya kuwasili Lagos Nigeria akitokea Marekani ambapo bado chanzo cha kifo chake hakijajulikana.
Mmoja wa wasaidizi wake amethibitisha kifo cha Goldie kupitia page ya twitter ya Goldi kwa kusema ni kweli msanii huyo amefariki dunia usiku wa february 14 2013 muda mfupi tu baada ya kuwasili Lagos Nigeria, hali yake ya afya ilibadilika ghafla ikabidi apelekwe hospitali ambako hakuchukua muda mrefu akafariki dunia.

Taarifa nyingine nilizozipata kutoka kwa mtu wake wa karibu wanaeshirikiana kimuziki zimeeleza kwamba mpenzi wake Goldie ambae ni Msanii wa Kenya CMB Prezzo ametua Nigeria usiku huu muda mfupi uliopita kwa ajili ya kuendeleza mipango aliyokua nayo na Goldie ikiwemo kutengeneza show ya TV.
Prezzo alitakiwa kushiriki katika TV show ambayo yeye na Goldie wangekua moja ya wahusika wakuu ambapo mpango ulikua baada ya mwezi mmoja Goldie na Prezzo wangekuja Tanzania, Uganda na Kenya kwa ajili ya kujitangaza na kuipromote single mpya ya Goldie ya ‘Skibobo’ aliyofanya na Ay.


.


Huyu Deji ni mtangazaji wa Radio huko Nigeria ambae Goldie ndio aliniunganisha nae, muda mfupi baada ya kupata taarifa za Goldie ilibini nimtumie msg ili kujua kama ni kweli, na majibu yake ndio hayo hapo juu.



Hizi ni tweet na picha alizopost akiwa Marekani juzi.


.

MOVIE ZINAZOTAZAMWA SANA KWENYE KUMBI ZA SINEMA

KWA WALE WENYE MAPENZI NA VIDEO ZA NAIJA

TAARIFA KUHUSU MWANARIADHA ALIEMUUA MPENZI WAKE SIKU YA VALENTINE


.
Polisi wa Afrika Kusini wamethibitisha kwamba mwanariadha raia wa nchi hiyo Oscar Pistorius (26) atafikishwa Mahakamani february 15 2013 baada ya mpenzi wake kupatikana nyumbani kwake akiwa amefariki kwa kupigwa risasi feb 14 2013.

Wengi wamemfahamu kupitia michuano ya Olympic 2012 ambayo aliiwakilisha nchi yake na kushinda medali ya dhahabu.


Oscar akiwa chini ya ulinzi wa polisi.
Polisi wanasema inaaminika mpenzi wake Oscar aitwae Reeva Steenkamp (30) ambae ni model alipigwa risasi mara nne katika sehemu mbalimbali za mwili wake nyumbani kwa Oscar.
Pia wamesema kuna taarifa za kifo hicho kusababishwa na suprise aliyoifanya Reeva katika siku hiyo ya wapendanao, inadaiwa alikwenda nyumbani kwa Oscar kwa kushtukiza hivyo Oscar bila kupata uhakika alianza kufyatua risasi akidhani kavamiwa na majambazi.
Mapenzi ya Oscar na Reeva yalianza November 2012 ambapo hata Reeva mwenyewe hakuficha upendo wake mkubwa alionao kwa Oscar alipohojiwa na Sunday Times wiki iliyopita, na  katika tweets zake za mwisho Reeva alionekana kuwa ameipania siku ya wapendanao huku akisisitiza kwamba ni siku ya upendo kwa kila mmoja.

NU JOINT/ VANESSA MDEE FT OMMY DIMPOZ,GOSBY ‘REMIX CLOSER’

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...