facebook likes

Tuesday, September 10, 2013

PLEASE VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG


PLEASE VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG

IN THE CATEGORY "The Best Newcomer Blog"

TO VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG CLICK LINK BELOW

http://tanzanianblogawards.blogspot.com/2013/09/vote-for-best-newcomer-blog-now.html

Pikipiki aina ya JINYEE yasababisha kichapo kikali kwa mfanyabiashara

Na Jumanne  Nzagamba, Chunya.Nipo  kijijini  Kanga, wilaya  ya  Chunya  ambapo  kwa  macho  yangu  nimemshuhudia  mfanyabiashara  mmoja  akipewa kichapo  kikali  na  vijana  watatu  wa  kisukuma  ambao  alikuwa  akifanya  nao  biashara ya  pikipiki...
SOMA ZAIDI....

PICHA YA MWANAMKE MREMBO KULIKO WOTE DUNIANI,

the most beautiful woman in the world saudi arabia
ANGALIA PICHA ZAIDI....

VIHOJA!!!! UTAJIRI WA MAREHEMU ASKOFU KULOLA WAZUA UTATA!!!! FUATILIA VIHOJA HIVI

NI maswali tata yameibuka baada ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evengelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Dk. Moses Samuel Kulola (85) kwamba, ameacha utajiri wa kiasi gani wakati wa uhai wake, Uwazi limechimba.



















SOMA ZAIDI...

AZAM TV, 'FUNIKA BOVU' CHEKI MITAMBO YAO HAPA


Madishi...
(picha zote kwa hisani ya binzubeiry)
ANGALIA PICHA ZAIDI...

Wanaswa na dawa za kulevya Ethiopia


Kamishna wa Kupambana na Madawa ya Kulevya nchini, Godfrey Nzowa akizihesabu kete 43 za dawa za kulevya aina ya Heroin jana, zilizokamatwa katika  Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, juzi usiku ambapo zilikuwa zikisafirishwa kwenda nchini Japan. 
 Dar es Salaam. Mshambuliaji wa nyota wa zamani wa timu ya soka ya Simba na Taifa, Joseph Kaniki ‘Golota’ na bondia Mkwanda Matumla wanashikiliwa huku Addis Ababa, Ethiopia wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya.
SOMA ZAIDI....

PLEASE VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG

PLEASE VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG

IN THE CATEGORY "The Best Newcomer Blog"

TO VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG CLICK LINK BELOW

http://tanzanianblogawards.blogspot.com/2013/09/vote-for-best-newcomer-blog-now.html

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...