News, Events, Entertainment, Sports, Lifestyle, Fashion,politics, Beauty, Inspiration and yes... Gossip!
facebook likes
Thursday, September 19, 2013
Iran yasisitiza kuwa haina mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia
Rais mpya wa Iran Hassan Rowhani amesisitiza kuwa nchi yake kamwe haitakua na mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na Marekani na nchi za magharibi.
Rais mpya wa Iran Hassan Rowhani
SOMA ZAIDI.........
SHEREHE YA KUSAINI MABALOZI WA HESHIMA NCHINI MAREKANI
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea machache kuwashukuru Mabalozi wa Heshima kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini Marekani na kusema sio kazi rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia kila la kheri ya kuwa na nia thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani.
SOMA ZAIDI....
HATIMAYE RAY C ANUNUA GARI JIPYA...LITIZAME HAPA
ANGALIA PICHA ZAIDI...
TANZANIA YAMKATAA BALOZI MPYA WA UJERUMANI
SOMA ZAIDI,.....
VIGOGO WA SERIKALI,MBUNGE WATUHUMIWA WIZI WA MAFUTA TPA...
BAADA ya siku chache wavuti hii kuripoti juu ya tamko la Waziri Mwakyembe kutaka uongozi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) kutaja majina ya wezi wa mafuta toka bomba kuu la serikali, imebainika kuwa vigogo wa serikali akiwemo mbunge mmoja wa CCM wanadaiwa kumiliki vituo vya mafuta, kando kando ya Bahari ya Hindi wametajwa kuwa vinara wa hujuma na wizi wa mafuta kwenye bomba kubwa la TPA.
Akizungumza na mwandishi wetu jana kwa sharti la kutotajwa jina lake, mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha mafuta kilichoko kandokando ya Bahari ya Hindi alikiri kuwepo kwa hujuma hiyo hasa kwa vituo vya mafuta.
SOMA ZAIDI......
SOMA ZAIDI......
Agness Masogange ameachiwa kutoka kwenye mikono ya polisi huko South Africa.
Video model Agness Gerald maarufu kama “Agness Masogange” ambaye ililipotiwa kwamba yeye pamoja na mdogo wake wamekamatwa nchini South Africa wakiwa na mzigo wa dawa za kulevya.
SOMA ZAIDI...
Van Vicker aingia Tanzania kuigiza bongomovie, Hashimu Kambi aelezea kuhusu movie hiyo
Van Vicker muigizaji kutoka Ghana ambaye anafanya vizuri hadi nchini Nigeria ameingia Tanzania jumapili iliyopita na anaondoka leo tarehe 19/9 kurudi kwao Ghana.
SOMA ZAIDI.....
Angalia video ya model Ally Daxx alivyoshiriki kwenye TV show ya “The Link” huko South Africa.
Mwanamitindo wa Tanzania ambaye anafanya kazi South Africa ameshirikishwa kwenye moja ya show maarufu huko bondeni inaitwa The Link. Show hii ina kipengele ambacho kinahusisha models wa kiume, kipengele hicho kinaitwa “Hunk of the week”.Kwenye episode ya 24 ndiyo Ally Daxx amehusika. Unaweza kuangalia hapa.....
Hatimaye BBM application kupatikana kwenye Android na iOS weekend hii
NEWZ# BABA AFIKISHWA MAHAKAMANI BAADA YA KUMBAKA MWANAE
MKAZI wa Kijiji cha Njoro wilayani Kiteto mkoani Manyara, Mohamed Ally (42) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kufikia.
SOMA ZAIDI.....
LAANA: BABU WA MIAKA 95 AMUOA BABU MWENZIE WA MIAKA 65 HUKO NCHINI MAREKANI..!!
Wanaume wawili wazee ambao ni maaskari wakongwe walioshiriki vita ya pili ya dunia, ijumaa iliyopita (September 13) walifunga ndoa ya jinsia moja (mashoga) baada ya kuwa katika uhusiano kwa miaka 20 kabla ya kufikia uamuzi wa kuoana.
SOMA ZAIDI.....
Subscribe to:
Posts (Atom)