facebook likes

Saturday, August 10, 2013

SIMBA SC YAUA 4-1 TAIFA, STRAIKA WA MAREKANI AZIDI KUTISHA AKIWATUNGUA SC VILLA MARA MBILI PEKE YAKE


SIMBA SC imeshinda mabao 4-1 dhidi ya SC Villa ya Uganda jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo uliohitimisha sherehe za siku ya klabu hiyo, maarufu kama Simba Day, huku mshambuliaji mpya, Betram Mombeki aliyesajiliwa kutoka Marekani, akiendelea kutisha, baada ya kupachika mabao mawili nyavuni. 
Mombeki ambaye kabla ya kwenda Marekani alicheza Pamba SC ya Mwanza, sasa anatimiza mabao manne katika mechi tano za kujiandaa na msimu alizocheza tangu ajiunge na Wekundu hao wa Msimbazi.
Huyu anatisha; Mombeki amefunga mara mbili leo, Simba ikiua 4-1(picha kwa hisani ya binzubeiry)

....SOMA ZAIDI....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...