THIS BLOG HAS BEEN CHANGED TO www.darsports.com PLEASE CLICK LINK TO VISIT.
BLOGU HII IMEBADILISHWA KUWA www.darsports.com TAFADHALI BOFYA KUTEMBELEA.
News, Events, Entertainment, Sports, Lifestyle, Fashion,politics, Beauty, Inspiration and yes... Gossip!
facebook likes
Showing posts with label TECHNOLOGY. Show all posts
Showing posts with label TECHNOLOGY. Show all posts
Tuesday, April 22, 2014
Sunday, October 20, 2013
CCECC YA CHINA YAONYESHA NIA KUJENGA RELI YA KATI

KAMPUNI ya ujenzi na uhandisi wa
majengo ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC)
imesema iko tayari kuja Tanzania na kujenga upya reli ya kati ili iwe ya
kisasa zaidi endapo wataombwa wafanye hivyo.
SOMA ZAIDI....
Saturday, October 19, 2013
SERIKALI YATANGAZA KUANZA KUTUMIA NDEGE ZA KIVITA ZISIZO NA MARUBANI ILI KUTOKOMEZA MAJANGILI...
TATIZO la ujangili ambalo limekuwa sugu nchini kwa muda mrefu sasa
linaanza kupata dawa, baada ya Serikali kutangaza ‘Operesheni Tokomeza’
itakayotumia mbinu za kijeshi.SOMA ZAIDI..........
WAZIRI MKUU AFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA CHINA...SOMA ZAIDI HAPA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama
vifaru na silaha nyingine za kivita wakati alipotembelea banda la kunadi
silaha mbalimbali za kivita zinazotengenezwa na kampuni ya NORINCO nje
kidogo ya Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 18,
2013.SOMA ZAIDI........
MAAJABU:ROCK RESTAURANT MGAHAWA ULIOJENGWA JUU YA MWAMBA BAHARINI VISIWANI ZANZIBAR..TAZAMA MAPICHA HAPA
Duniani
kuna maajabu mengi,kati ya maajabu hayo ni huu mgahawa uitwao Rock
uliopo visiwani Zanzibar uliojengwa juu ya mwamba mkubwa katika bahari
ya Hindi.ANGALIA PICHA ZAIDI.........
Bosi wa facebook anunua nyumba 4 zilizozunguka nyumba yake

Uamuzi
wa hivi karibuni wa kampuni ya Facebook wa kulegeza sera ya kutoingilia
uhuru wa wateja ulisababisha gumzo lakini katika taarifa nyingine,
imeripotiwa kwamba aliyegundua kampuni hiyo ambaye pia ndio bosi wake,
Mark Zuckerberg ametumia dola za Kimarekani milioni 30 kununua nyumba
nne za jirani kwake kulinda uhuru wake.
SOMA ZAIDI........
Picha,:Wale Wanaopenda Sneaker Za Kweli, Nike Mpya 'Nike Air Trainer 1' Ndio Hizi
Wale wanaopenda sneaker za kweli Nike wanasema hii Sneaker ni mjumuisho
wa raba zote kali unazo zifahamu kutoka Nike na yenye kila aina ya
rangi bora. Pia unaruhusiwa kuvalia raba hii na nguo tofauti za michezo
na mtoko pia. Sneaker hii inaitwa Nike Air Trainer 1.
ANGALIA PICHA ZAIDI.....
Tuesday, October 15, 2013
Saturday, October 12, 2013
MELI KUBWA ZAIDI YATIA NANGA BANDARINI DAR NA MAKONTENA 4,500.
| Meli hiyo ya Maersk Line. |
Biashara katika bandari ya Dar es Salaam imeanza kushika kasi huku Watanzania wakitarajia kunufaika na punguzo la bei ya bidhaa kutoka nje baada ya meli kubwa yenye urefu wa meta 249 kuanza kutia nanga katika bandari hiyo.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa propaganda kuwa bandari hiyo haina uwezo wa meli zenye ukubwa huo wenye kubeba makontena 4,500 kutia nanga, lakini jana Tanzania iliandika historia kwa meli hiyo kutia nanga asubuhi.
SOMA ZAIDI........
Friday, October 11, 2013
Wakaguzi Syria washinda tuzo ya amani ya Nobel

Wakaguzi wa silaha za kemikali Syria
Tuzo ya amani ya Nobel, mwaka huu imekwenda kwa shirika la kudhibiti silaha za kemikali duniani OPCW.
SOMA ZAIDI.........
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Atembelea Shirika la Anga la Marekani NASA huko Huntsville
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Atembelea Shirika la Anga la Marekani NASA huko Huntsville
Makaribisho ya kipekee
ANGALIA PICHA ZAIDI...........
TAZARA YAPATA VICHWA SITA VYA TRENI,
Thursday, October 10, 2013
KAMPUNI ZA SIMU ZAUNGANA NA WANANCHI KUPINGA SEREKALI
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), na kuzikubalia kampuni tano za simu nchini kujiunga katika kesi ya kupinga tozo ya kodi za simu ya Sh 1,000 kwa kila laini kwa mwezi.
SOMA ZAIDI.......
SOMA ZAIDI.......
Wednesday, October 9, 2013
GARI YA BILIONEA ANAYEMILIKI MANCHESTER CITY YAONEKANA DAR, ANAIMILIKI YUSSUF BAKHRESA
Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.
ANGALIA PICHA ZAIDI......
Tuesday, October 8, 2013
VIWANJA VYA BEI NAFUU KIGAMBONI. ELFU 19 KWA SQUARE METER.#0713651858.#
Viwanja vinauzwa vipo kigamboni, Mikwambe. Kuna viwanja nyenye square meter 887, sqm 850, sqm 846, sqm 843, sqm 849, sqm 842, sqm 853, sqm 845, sqm 842, sqm 841, sqm 804, sqm 800. Viwanja vinauzwa million kumi na sita.
SOMA ZAIDI MAELEZO HAPA CHINI................
Monday, October 7, 2013
Lewis Hamilton Claims Sebastian Vettel Is Putting Formula 1 Fans to Sleep

British racing driver Lewis Hamilton believes fans are losing out amid Sebastian Vettel's dominance, claiming a lot of viewers will have fallen asleep during Sunday's Korean Grand Prix, per the Mirror's Byron Young.
Subscribe to:
Posts (Atom)













SOMA ZAIDI....