facebook likes

Monday, August 26, 2013

MCHAWI AANGUKA AKIWA KWENYE HARAKATI ZA KULOGA,ZIMBABWE

Mchawi hivi karibuni kaleta kizaa zaa huko Dzivarasekwa  alipokutwa na 'birthday suit' yake(uchi) 
SOMA ZAIDI..........

List Nzima Ya Nominees Wa BET Hip Hop Awards 2013

SOMA ZAIDI..........

CHAZ BABA AFUNGA NDOA, ATINGA UKUMBI WA ‘TWANGA’ KUJINAFASI AKIWA PEKE YAKE


 Rehema akikubali kuolewa na Chaz.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI........

WEMA SEPETU ADAIWA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA.KILICHOWAPONZA YEYE NA DIAMOND NI HIKI HAPA....

Skendo ya mastaa mbalimbali Bongo kutajwa katika biashara na usafirishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’ linazidi kuchukua sura mpya ambapo tayari majina ya wasanii wawili wakubwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ yametajwa huku kinachowaponza kikijulikana.
SOMA ZAIDI...........

CRAZY!! MMOJA WA WATU WENYE TATOO NYINGI DUNIANI,AJITATOO NA JICHO...!!

Matthew Whelan
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI..............

MAN CITY YAFUMULIWA 3-2 NA CARDIFF...DOGO WA OLD TRAFFORD AWAPIGA MABAO MAWILI HATARI YA KICHWA

Unlikely victory: Frazier Campbell scored twice in Cardiff's shock win over title contenders Manchester City
Dogo noma: Frazier Campbell amefunga mabao mawili Cardiff ikiibwaga Manchester City
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI..........

Meek Mill wa MMG amualika Ice Prince wa Nigeria ku-perform pamoja naye ndani ya U.S.A


Baada ya kushinda tuzo ya Best African act kwenye BET awards, kumefungua njia nyingi za Ice Prince ambaye anawakilisha Nigeria. 
SOMA ZAIDI..........

MOURINHO AMFUNGULIA 'BAKULI' MOYES...ATAKA KUMTIBUA KABLA YA MECHI YA MAN UNITED NA CHELSEA USIKU WA LEO

KOCHA Jose Mourinho amemmuambia David Moyes: Sikumvurugia Wayne Rooney, umefanya wewe.
Mourinho anapeleka timu yake kuvaana na Manchester United leo na anataka kumvurua Moyes kuelekea mchezo huo wa kwanza wa ushindani kwake tangu arithi mikoba ya Sir Alex Ferguson.
Chelsea jana imethibitisha kumsaini Willian, na Samuel Eto’o yupo kwenye orodha pia kutoka Anzhi Makhachkala, lakini wameendelea komalia pia na saini ya Rooney na wanajiandaa kurejea na ofa iliyoboreshwa ya Pauni Milioni 30.
Blame game: Jose Mourinho claims David Moyes unsettled Wayne Rooney (right)
Mchezo wa lawama: Jose Mourinho amemsukumia lawama David Moyes kumvuruga Wayne Rooney (kulia)
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI..........

NEW Video: YOUNG DEE - KIJUKUU (Official Music Video)

WATCH AND DOWNLOAD HERE.........

Balozi wa Kenya Amkabidhi Rais Kikwete Kamusi ya Istilahi za Kidiplomasia

8E9U6723

Balozi wa Kenya nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Mutinda Mutiso akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Kamusi ya Istilahi za Kidiplomasia(Diplomatic Terminologies Dictionary) wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini Tanzania mwishoni mwa wiki.

#BBATheChase Dillish And Her $300,000 cheque

Dillish and her Boyfriend…Biggg congrats to her.
She deserved it.
Awwwww, she’s in tears.
And her man comes on stage with a tiara for his queen.
More pics below......

Ofisa usalama Kigoma alindwa.

kigomaAIRPORT_82b58.jpg
JESHI la Polisi na Idara ya Madini, mkoani Kigoma, limemnasua kiaina ofisa usalama wa uwanja wa ndege, Cleophace Lukindo, aliyedakwa na maofisa wenzake akivusha madini ya dhahabu bila kuwa na vibali.
SOMA ZAIDI...............

‘Nyufa’ zajitokeza Bunge la Afrika Mashariki

bungeEA_a075b.jpg

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), wameingia katika mpasuko, kutokana na baadhi ya wabunge hao kupinga kutumia ukumbi wa kisasa wa Bunge hilo uliopo Arusha kwa vikao vyote, na badala yake baadhi wanataka kuendelea na utaratibu wa kufanya vikao vya Bunge katika kila nchi wanachama.
SOMA ZAIDI.............

matapeli waigusa ikulu

IKULU a4b39


MTANDAO hatari wa matapeli unaotumia mbinu mbalimbali, ikiwemo za kujipachika vyeo vya maofisa usalama wa Taifa, sasa umefanikiwa kupenya na kuanza kutumia viunga vya Ikulu iliyopo Magogoni, Jijini Dar es Salaam, kufanikisha hujuma zao. 
SOMA ZAIDI..........

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA POLISI KWA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA

polisi_bf73d.jpg

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa majina na ratiba ya usahili kwa vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2012 na waliomaliza kidato cha sita mwaka 2013 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya kujiunga na Jeshi la Polisi.
SOMA ZAIDI.........

Lovers Re-Unite As Big Brother Africa CHASE Comes To A Dramatic Close

The Finale stage was chockfull of moments that would melt the coldest of hearts.
As soon as Beverly's heels touched the Live Eviction Stage, her man Angelo stood waiting, arms wide open.

BALOTELLI TENA, AZOMEWA AC MILAN IKILALA 2-1

balo 7f4ac
BAADA ya Meya wa Verona kusema Ijumaa kwamba Mario Balotelli anajitakia mwenyewe matatizo ya kuzomewa, mshambuliaji huyo wa AC Milan alifanya kituko kingine baada ya timu yake kuchapwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza wa Serie A.
SOMA ZAIDI.............

BBA THE CHASE: Namibia’s Dillish Has Won $300,000

dillish wins 91Finally Namibia’s Dillish has entered history as one of the winners of the Big Brother Africa game, she has managed to beat all her fellow housemates that made it to the final with her.

tREAD MORE......

MAGAZETI YA LEO TAR 26.08.2013

DSC 0063 d67d6SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI............

BILA MESSI, BARCA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA LA LIGA, ILA NEYMAR ADHIHIRISHA

Youngster: £50million man Neymar came on in the second-half an upped the tempo for Barcelona

Nyota kinda: Mchezaji mwenye thamani ya Pauni Milioni 50, Neymar aliingia kipindi cha pili na kufanya vizuri
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

2013 MTV Video Music Awards Red Carpet Arrivals

The wildest and most watercooler-worthy fashions in music are always on display at the MTV Video Music Awards! Who really rocked the red carpet this year? Let's find out.

CLICK HERE TO VIEW MORE PICS..........

Picha: Tazama picha (20) za Utengenezaji wa filamu mpya wa wastara na Hemedy.

(picha kwa hisani ya bongo movies)
ANGALIA PICHA ZAIDI.............

Hatimaye filamu ya Foolish Age ya Lulu yapewa kibali rasmi cha kuoneshwa

Hatimaye filamu ya Foolish Age ya Lulu yapewa kibali rasmi cha kuoneshwa

  • Hatimaye filamu ya Foolish Age ya Lulu yapewa kibali rasmi cha kuoneshwa 1




SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI..........

Hemedy azungumza baada ya Ajali aliyoipata jana, hichi ndicho alichokisema

Hemedy azungumza baada ya Ajali aliyoipata jana, hichi ndicho alichokisema

SOMA ZAIDI.............

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...