facebook likes

Saturday, August 31, 2013

KUWA WA WA KWANZA KUANGALIA Number One VIDEO Behind the scene (VIDEO MAKING BY Diamond Platnumz!! SALUTE KWAKE


CHELSEA YAPIGWA NA BAYERN KWA MATUTA

BAYERN Munich imetwaa Super Cup ya Ulaya baada ya kuifuna Chelsea kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 na Jose Mourinho ameshindwa kutwaa taji la kwanza baada ya kurejea darajani mbele ya Pep Guardiola.
Loss: Lukaku looks on after his decisive penalty miss in Prague
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI............

HII NDO JEURI YA PESA TOKA KWA JOSE CHAMELEONE..ATENGENEZEWA SIMU AINA YA I-PHONE 5 YENYE PICHA YAKE .ANGALIA HAPA

5790e2d6118111e3ac5422000ab5ba5d_7
Ukiwa na hela, unaweza kufanya lolote. Kila mwenye nazo anaweza kumiliki iPhone 5 lakini Jose Chameleone angependa kuwa na yake mwenyewe, ndio maana ameamua kuingia zaidi mfukoni kutengenezewa yake mwenyewe. 

WAASI WA M23 WAANZA KUSALIMU AMRI BAADA YA KUPEWA KICHAPO KIKALI NA JWTZ ( MONUSCO)

Waasi wa M23 Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa watasitisha mapigano, kufuatia makabiliano makali na wanajeshi wa serikali wanaoungwa mkono na wanajeshi wa Umoja wa Mataifa ikiwemo  JWTZ.
 SOMA ZAIDI..............

WABUNGE WATAKA MBIO ZA MWENGE ZIFUTWE



MBIO za Mwenge wa Uhuru nusura ziahirishe shughuli za Bunge baada ya baadhi ya wabunge kutaka zifutwe na hoja hiyo ijadiliwe bungeni.
  SOMA ZAIDI..............

AIBU KWA TANZANIA.....MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIAI INSPEKTA JENERALI SAIDI MWEMA AIBIWA UPANGA WENYE THAMANI YA SH600 MILIONI JIJINI DAR ES SALAAM.

 
JESHI la Polisi limeingia katika kashfa nzito baada ya mkuu wake, Inspekta Jenerali Said Mwema, kuibiwa upanga wa dhahabu ambao ni mali ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO).
SOMA ZAIDI..............

TASWIRA YA FRANCIS CHEKA ALIVYOMGALAGAZA MMAREKANI NA KUCHUKUA UBINGWA WA DUNIA

 Mgeni Rasmi katika Mpambano wa Kimataifa wa kuwania Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU,kati ya Mabondia Francis Cheka wa Tanzania na Phil Williams wa Marekani,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangala (mwenye koti jeupe) akimvisha Mkanda wa Ubingwa huo, Bondia Francis Cheka baada ya kumshinda kwa Point Mpinzani wake, katika Mchezo uliomalizika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,Jijini Dar es Salaam. 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

Beverly Apologises To Nigerians, Says She Didn’t Have Sex In BBA House

beverly-osuBeverly Osu, one of Nigeria’s representatives at the just concluded Big Brother The Chase, has said that contrary to the general assumption about what happened between her and fellow housemate, Angelo, while in the house, she never had sex both in the bathtub and under the duvet.

TFF, AZAM MEDIA ZASAINI MKATABA WA SH. BILIONI 5.5/-



Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kampuni ya Azam Media leo (Agosti 30 mwaka huu) wamesaini mkataba wa haki za kipekee za televisheni (exclusive rights) utakaoiwezesha Azam TV kuonesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL).
SOMA ZAIDI............

PRESIDENT JAKAYA KIKWETE AT THE HIGH-LEVEL RETRAT ON 'NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALIZATION IN ALPABCH

President Jakaya Mrisho Kikwete in a group photo with hosts and participants in the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013. 

UPDATE:NYUMBANI KWA LIYUMBA KWAWAKA MOTO

                                                  Amatus Joackim Liyumba.
NYUMBANI kwa aliyekuwa kigogo wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Mbezi-Afrikana, jijini Dar, Amatus Joackim Liyumba kumewaka moto baada ya kigogo huyo kuibuka na askari na kumtoa kwa nguvu mkewe, Aurelia Paul Ngowi na wanae wawili. 
SOMA ZAIDI.......

PICHA 40 ZA UZINDUZI MOVIE MPYA YA LULU 'FOOLISH AGE ' MLIMANI CITY JANA USIKU.

 Elizabeth Michael Aka Lulu akitoa Shukrani kwaWadau wote waliojitokeza katika Usiku wake wa uzinduzi wa Filamu yake Mpya iitwayo Foolish Age uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia Leo
ANGALIA PICHA ZAIDI............

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...