facebook likes

Tuesday, October 15, 2013

WAPINZANI KUTINGA IKULU LEO

  *Lipumba: Tunaamini hoja zetu ni za msingi
*JK sasa amkumbuka Nyerere Katiba Mpya
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kukutana na viongozi wa muungano wa vyama vya upinzani, Ikulu jijini Dar es Salaam. Hatua ya Rais Kikwete kukutana na wapinzani hao, imekuja baada ya wabunge wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kususia muswada uliowasilishwa na Serikali kuhusu sheria ya mabadiliko ya Katiba.
SOMA ZAIDI.............

MAMA WA MTOTO ALIYEKUFA NA KUFUFUKA AVAMIWA NA MAJAMBAZI NA KUMJERUHI VIBAYA

Siku tatu baada ya mtoto Shaban Maulid (15) aliyedaiwa kufariki kisha kuonekana akiwa hai mwishoni mwa mwezi jana, kuruhusiwa hospitalini alikokuwa amelazwa,watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia nyumbani kwao mtaa wa 14 Kambarage mjini hapa na kumjeruhi mama wa mtoto huyo baada ya kumpora fedha aliyokuwa amechangiwa na wasamaria wema wakati akimtibisha mwanaye.

Picha: Bi.Aziza Ramadhani akiwa na jeraha baada ya kuvamiwa na majambazi
 SOMA ZAIDI.....

JOVINBACHWA BLOG NA TIMU NZIMA TUNAWATAKIA WAISLAM WOTE ULIMWENGUNI " EID MUBARAK"

MASANJA MKANDAMIZAJI AKIKANDAMIZA USA,( NAANZA KUSAHAU KISWAHILI I DONT KNOW WHY.)...ASEMA MASANJA.....


ANGALIA PICHA ZAIDI....

VIDEO;DIAMOND AKI PERFOM WIMBO WA P SQUARE KWENYE PROJECT YA COKE STUDIO AFRICA


diamond1
 hii ndio video ambayo Diamond ame-perform kwa kutumia wimbo wa Temptation wa P Square kwenye project ya Coke Studio Africa. Diamond ameimba sehemu kubwa ya wimbo huu akiwa na live band pamoja na back ya msanii HHP.Chukua time yako kuiangalia hapa.....

HII NDIO VIDEO MPYA YA LUCCI -SUMU


Kutana na tatoo mpya ya Young D yenye maneno ya kifaransa na ijue maana yake.

d 
Young D msanii ambaye kwa mara ya kwanza alipewa nafasi ya kusikika kwenye radio kupitia Clouds FM na Adam Mchomvu long time ago Young D akiwa young kweli, leo hii ni mmoja kati ya wasanii maarufu kwenye muziki wa kizazi kipya. 
SOMA ZAIDI.....

HII NDIO NYIMBO MPYA YA JUSTIN BIEBER - ALL THE MATTER




OMMY DIMPOZ AMEONDOKA LEO MAREKANI KUJA TANZANIA NA BUSINESS CLASS YA EMIRATE....

OMMY DIMPOZ AKIWA NDANI YA EMIRATE BUSINESS CLASS AKIELEKEA TANZANIA
Mwanamuziki wa Bongo Flava aliyemaliza Tour yake ya kwanza nchini marekani Ommy Dimpoz ameondoka leo kuelekea Tanzania ambapo ana show inamsubiri kesho usiku......
SOMA ZAIDI.........

"MI NAFANYA KAZI NZURI,HAKUNA WA KUNIRUDISHA NYUMA,LOGENI NIWINDENI KWA VYOVYOTE MTAFELI TU"....NEY WA MITEGO

 Mpaka sasa ney hajasema ni nani na nini kimepelekea yeye kuandika hivi kuhusu maisha yake ya muziki. Ila inaonyesha hapa kati amekutana na misuko suko kwenye ,mishe zake, kuchukiwa na kutokukubalika kunaweza pelekea mtu kusema yote haya.
Bonyeza Read More Kuona Ujumbe Huo.......

RAILA ODINGA AELEZA NYERERE ALIVYOMSAIDIA KUSOMA NJE

Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga ameeleza kuwa bila ya Pasipoti ya Tanzania aliyopewa kwa msaada na Mwalimu Julius Nyerere asingeweza kwenda Ujerumani kusoma baada ya Idara ya Uhamiaji ya Kenya kumnyima hati hiyo ya kusafiria.
SOMA ZAIDI........

KESI YA BABU SEYA KUUNGURUMA OKTOBA 30 SWALI JE BABU SEYA ATAKUWA HURU TUMUOMBE

MAHAKAMA ya Rufaa Oktoba 30 mwaka huu inatarajiwa kusikiliza marejeo ya hukumu iliyotolewa na mahakama hiyo katika kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viki maarufu kama Babu seya na wanawe.
SOMA ZAIDI............

Mrs. Marlaw (Besta) asema yupo na atarudi Kimuziki, atoa ushauri kwa wasanii wanaotumia Madawa ya Kulevya

DK SLAA AREJEA TANZANIA BAADA YA KUMALIZA ZIARA NCHINI MAREKANI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Dk Wilbrod Slaa leo Jumapili 13 Oktoba amesafiri kurudi Tanzania baada ya ziara yake iliyomchukua wiki tatu nchini Marekani.
SOMA ZAIDI...

TANZANIA YAANZA VIBAYA MASHINDANO YA TUSKER PROJECT FAME

Tanzania leo imeanza vibaya kwenye shindano la Tusker Project Fame msimu wa sita, baada ya washiriki wawili wanaoiwakilisha kutoka.
SOMA ZAIDI............

PICHA ZA WAHAMIAJI HARAMU WALIO KAMATWA JANA MKOANI MOROGORO WAKIWA KWENYE GARI LILIBEBA CHOKAA

Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani morogoro mara baada ya kukamatwajana wakisafirishwaSOMA ZAIDI....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...