facebook likes

Tuesday, October 1, 2013

Track by track review: Drake - Nothing Was The Same

Can the Canadian star live up to the huge hype with his new album?

Easily the year’s most anticipated rap release, Nothing Was The Same is Drake’s middle finger to the critics.

HAYA NDIYO MANENO ALIYOANDIKA WEMA SEPETU BAADA YA KUCHAFULIWA NA GAZETI LA FILAMU


C.E.O wa kampuni ya Endless Fame Film maarufu kma Wema Sepetu ameonekana kuchukizwa na kitendo cha kuchafuliwa kwa jina lake katika moja ya magazeti ya udaku ya hapa nchini.
SOMA ZAIDI.....

ANGALIA PICHA ZA SHEIKH PONDA ALIVYOFIKISWA MAHAKAMANI MOROGORO LEO

 Sheikh Issa Ponda akishuka kwenye basi la Magereza tayari KuingiaMahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo ambapo leo Mahakama Ilikuwa inatoa Maamuzi kuhusu Kufutiwa shitaka moja kati ya matatu yanayomkabili Sheikh Ponda katika Mahamama hiyo.
SOMA ZAIDI....

DAVIDO Shows Off His Bodyguard

Here is what he said when he posted a picture of himself and his bodyguard; lifeofdavido: En route ph!! Say hi to my bodyguard TJ!

50cent blasts Ray J for sleeping with one of Floyd Mayweather’s side chicks

Floyd is repossessing all the loubs and diamonds he bought her. Lol. The last pic (right) is a response from Floyd Mayweather himself. #grownmen!

Ice prince to drop second album “Fire Of Zamani” this October, see featured artiste here

ice prince zamani
Ice prince reveals the artiste he featured on his upcoming album “FIRE OF ZAMANI”, he posted on his instagram page this today..
The Second Album ‘Fire of Zamani’ drops this oct! Ft Sunny Neji, Wale, Sound Sultan, MI, Jesse Jagz, WizKid, Chip, Ruby, French Montana, Jeremiah Gyang… Pologies for the delay :-) Chopstix, Don Jazzy, Sammy Gyang, Sarz, E Kelly, Jay sleek! MI approved!

UJENZI WA BARABARA ZA JUU (FLYOVERS) KUANZA 2014

MRADI wa Ujenzi wa barabara za juu unaotekelezwa na Serikali ya Japan, unatarajiwa kuanza mwanzoni mwa 2014. Hayo yalibainika jana baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kufanya majadiliano na Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada na kukubaliana kuanza mchakato wa ujenzi wa barabara za juu na upanuzi wa barabara eneo la Bendera Tatu hadi Kamata.
SOMA ZAIDI,,,

MAAJABU!! MTOTO WA MIAKA MIWILI ABEBA MIMBA....!!

article-2439498-1869504E00000578-235_634x416

Mtoto wa miaka miwili wa Huaxi nchini China, amefanyiwa upasuaji wa kujifungua baada ya madaktari kugundua kuwa alikuwa na mimba.
SOMA ZAIDI...

HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA MWANADADA NISHA WA BONGO MUVI...NI MOTO WA KUOTEA MBALI....!!


Huu ndio muonekano mpya wa C.E.O wa Nisha's Film Salma Jabu (NISHA) 
ANGALIA PICHA ZAIDI....

Tumeona Mara Kwa Mara Dada Zetu Wakibadilisha Nywele Kumuiga Rihanna, Sijui Watafanya Na Hii

 Rihanna's New Look iliyoteka headlines kwenye blogs na website tofauti Duniani. Hapa alikuwa akifanya shooting ya video yake mpya ya Pour It Up.
 Bonyeza Read More Kuona Picha Zaidi.....

Baada Ya Kupiga Tizi Sana, Alicia Keys Amependeza Tena Kwenye Jukwa, Picha Ziko Hapa

 Alicia Keys amefanya kazi kubwa ya kurudisha umbo lake baada ya kujifungua. Hii Ndio Moja ya show zake za kwanza alizo fanya baada ya kurudisha Shapu yake. 
Bonyeza Read More Kuona Picha Zaidi......

Ndoto Zake Zimeanza kutimia, Rapper Jon Connor Amepata Mkataba Mkubwa Kwa Dr Dre, Fuatilia Hapa

Rapper Jon Connor amepata mkataba mkubwa chini ya lebel ya Producer Dr Dre, Aftermath Records. Rapper huyu amekuwa Undergroud kwa muda mrefu sana na amekuwa akisaidiwa kwenye game na rappers kama Big Sean na Nas. 
SOMA ZAIDI...

NIKKI MBISHI:AACHIA MIXTAPE XI KIWAENZI MANGWEA NA LANGA NA HII NDIO LIST YA NYIMBO ZITAKAZO KUWAMO

 
SOMA ZAIDI....

HIZI NDIO PICHA ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA SUMA MNAZARETI CAPE TOWN AFRIA KUSINI

Rapper summer mnazareti ameshoot video ya nyimbo yake mpya capetown africa kusini akiwa na director kutoka burundi aliyefahamia kwa jina la keshy na hizi ni baadhi ya picha ya video hiyoSONY DSC ANGALIA PICHA ZAIDI.....

SIKILIA NA DOWNLOAD NEW TRACK YA LORD EYES ~ ROHO ZINAWAUMA


Lord
LISTEN AND DOWNLOAD HERE AFTER THE CUT....

SIKILIZA NA DOWNOAD NEW TRACK YA JOSE CHAMELEONE-TUBONGE

Tubonge 

Msanii kutoka Uganda Dr Jose Chameleone kesho anatarajia kuachia ngoma yake
mpya inayokwenda kwa jina la Tubonge bonyeza Hapa kusikiliza

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...