facebook likes

Wednesday, August 7, 2013

BAADA YA KAKA YAKE KUITIKISA DUNIA KWENYE SOKA - DADA WA CRISTIANO RONALDO AANZA KUFANYA VIZURI KWENYE MUZIKI WA KIMATAIFA - HUU NDIO WIMBO WAKE





Dada wa damu wa mwanasoka ghali zaidi duniani Cristiano Ronaldo amesaini mkataba mnono wa kutengeneza albam yake ya kwanza ya muziki na kampuni ya utayarishaji ambayo hufanya kazi na wasanii wakubwa kama Lady Gaga na J-LO.

...SOMA ZAIDI...

BBA UPDATES: Housemates Talk About AIDS

Inspired by today’s Task and this week’s ONE Campaign theme, the Chasers took to talking about the AIDS pandemic and how it affects not just Africa but the world as a whole.

They all shared stories of how AIDS has affected them in their communities and the experiences they have come to know surrounding poverty and the spread of AIDS. Beverly told them about how the people in her country are nonchalant about AIDS.

Dillish said she was fortunate because she works with AIDS orphans in her country and she often sees and hears about how ignorant and irresponsible the young boys and girls are. “They sometimes even don’t know how they get infected and that is a huge problem,” the Namibian beauty said. She also expressed how dangerous the adverts were that told people to get test kits from pharmacies at any time of the day.

Dillish said that sex should be a pleasurable thing where both partners feel comfortable discussing and using condoms. “People should not feel that using a condom is a duty, they should feel that it’s a necessity to get the job done,” she explained. It was really pleasant to hear that all our Chasers have in-depth knowledge about AIDS and how to conduct yourself as a person in order to be safe. Kudos to the Chasers.

LUIS SUAREZ: "TULIKUBALIANA NA LIVERPOOL IKIWA TUTASHINDWA KUFUZU CHAMPIONS LEAGUE WATANIUZA - SASA NATAKA WAHESHIMU AHADI YAO NA KUNIUZA"


Luis Suarez ameiambia klabu yake ya Liverpool kuheshimu makubaliano yao ya kumruhusu kuondoka endapo klabu hiyo isingeweza kufuzu kucheza klabu bingwa ya ulaya msimu huu unaokuja.
..SOMA ZAIDI...

MUUZA KAHAWA ASHINDA MILIONI 1 ZA WAZO BORA LA KUTWEETS NA MENGI


Hongera kwa kushika nafasi ya kwanza.
....SOMA ZAIDI.....

MOYES: "SIHITAJI KUMSHAWISHI WAYNE ROONEY AU MCHEZAJI YEYOTE KUICHEZEA MANCHESTER UNITED"

Huku tetesi mpya zikizuka kila siku juu ya hatma ya mshambuliaji  Wayne Rooney, kocha wa Manchester United David Moyes amesema jana Jumanne kwamba hahitaji kumshawishi mshambuliaji aendelee kubaki Old Trafford.
...SOMA ZAIDI...

DIAMOND AKWAMA KENYA BAADA YA KUZUKA MOTO, ALIKUA ANATOKA AFRIKA KUSINI

Tukio la moto lililotokea leo alfajiri kwenye uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi Kenya, limemsababisha Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz kushindwa kurejea nchini katika muda aliokuwa amepanga.
IMG-20130807-WA0002 
....soma zaidi.....

OMMY NAYE AKWAMA KUFANYA SHOW BUJUMBURA SABABU YA KUUNGUA KWA KIWANJA CHA NDEGE CHA KENYA...!!


 Ommy Dimpoz ameshindwa kuingia leo mjini Bunjumbura kwasababu ya kuungua kwa kiwanja cha ndege cha Jomo Kenyata,.....
...soma zaidi....

FLORA MVUNGI: MTOTO WANGU ATAITWA TANZANITE...


 MSANII wa filamu na muziki Bongo, Flora Mvungi amekubaliana na uamuzi wa mumewe ambaye ni msanii wa muziki na filamu, Hamisi Ramadhani Baba ‘H. Baba’ kwamba  mtoto wao mtarajiwa atapewa jina la Tanzanite....
..soma zaidi...

FUTARI KWA AUNT, PAKA AZUA SHESHE MASTAA WATOKA NDUKI



PAKA mwenye rangi nyeupe amezua sheshe nyumbani kwa msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel Jumapili iliyopita alipokuwa akiwafuturisha mastaa wenzake na watu wengine
....soma zaidi...

EXCLUSIVE[Video] - Nay feat Diamond - Muziki Gani Part2




.......tazama part 1 pia hapa......

HATARII....HUYU NDO MWANAUME MLEMAVU ANAYE FANYA KILA MBINU ILI AWE MWANAMKE

Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika uti wake wa mgongo na miguu.
Mwanaume huyo anatamani na anapenda kuwa mwanamke aliwaambia wazazi wake kuwa anapenda kuwa wa kike.

Piyah kwa kusisitiza hilo pindi alipotimiza miaka 15 alianza kununua nguo za kike na kuzivaa na sasa anafanyiwa mpango wa kuanza tiba ya kuwekewa homoni za kike ili awe mwanamke kamili




HATARII....HUYU NDO MWANAUME MLEMAVU ANAYE FANYA KILA MBINU ILI AWE MWANAMKE

 Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika uti wake wa mgongo na miguu.

Mwanaume huyo anatamani na anapenda kuwa mwanamke aliwaambia wazazi wake kuwa anapenda kuwa wa kike.


Piyah kwa kusisitiza hilo pindi alipotimiza miaka 15 alianza kununua nguo za kike na kuzivaa na sasa anafanyiwa mpango wa kuanza tiba ya kuwekewa homoni za kike ili awe mwanamke kamili



- See more at: http://www.thechoicetz.com/2013/08/hatariihuyu-ndo-mwanaume-mlemavu-anaye.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FGDSbw+%28TheCHOICE%29#sthash.LOh86JN0.dpuf

DUDU BAYA "STRESS ZA GAME ZINATUFANYA TUNYWE POMBE, TUVUTE BANGI NA MADAWA YA KULEVYA"



  “Mimi sina stress na game, kwanza mimi nina jina kubwa sana nina makampuni ya mbao Mambas Timber, huko mwanza, Mambas Entertainment na hii Mambas Pub nasonga mbele na maisha. Kwahiyo ningekuwa na stress ningekuwa kama hawa wasanii wenye stress ambao wanakunywa pombe, bangi na mwishowe wanakula madawa, unatakiwa uongee na Mungu akupe matumaini,” alisema.
Amesema pia kuwa yeye ni professional kwenye uchoraji ramani za majengo na fundi.
“Nimejenga majumba mengi kwhaiyo nafanya mengi naweza kuwaajili baadhi ya wasanii ambao wamechoka na maisha.”

source:bongo5

WEMA, KAJALA... WATINGA GEREZANI,WAMLIZA PAPII KOCHA.



Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu.
 MASTAA wawili wanaotamba katika filamu za Kibongo, Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu hivi karibuni walifunga safari hadi Gereza la Ukonga jijini Dar kwa ajili ya kumuona Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ anayetumikia kifungo cha maisha gerezani humo.
...SOMA ZAIDI...

HUU NDO WIMBO MPYA WA KALA JEREMIAH UITWAO---JARIBU KUJIUZA






MASHABIKI WANGU WA UKWELI NA WADAU WOTE WA MUZIKI NA VYOMBO VYOTE VYA HABARI..........

HII TECHNOLOJIA SASA KIBOKO...SIMU KUTUMIKA KUFUNGUA MLANGO BADALA YA KUTUMIA FUNGUO




HII NI APPLICATION YA SIMU IITWAYO KWIKSET...........

Hatarii....HUYU NDIYE MCHUNGAJI ALIEWADANGANYA WAUMINI WAKE KUWA UUME WAKEE UNATOA MAZIWA YENYE BARAKA NA KUNYONYWA UUME WAKE..!!




Valdeci Sobrino Picanto ni mchungaji wa Brazil........

HII KALI...HIZI NDIZO AINA MBALI MBALI ZA VITAMBI



 











AINA ZA VITAMBI
1. Kitambi Mvurugo -- hiki.......

Cristiano Ronaldo Hangs With Shaquille O’Neal & Jennifer Lopez (Photos)


Cristiano Ronaldo Hangs With Shaquille O’Neal & Jennifer Lopez (Photos)
Cristiano Ronaldo may be well on his way to becoming the next David Beckham...

New JOINT: D'Prince ft Don Jazzy and Wande Coal - Journey of a Thousand Miles...AUDIO AND VIDEO

listen audio and watch video here...

NEW JOINT :Wizkid – Outro (Love Music)



360Hawt: Wizkid – Outro (Love Music)
Wizkid prepares us for his next album with yet another hot single drop...

2 brothers strangled in their sleep by python that entered their room through a vent



Two brothers, age five and seven, (pictured above) have been tragically strangled to death in their sleep by a massive 16-foot python that escaped from a pet store below the apartment where the children were staying...

MTANZANIA ADAKWA NA MADAWA YA KULEVYA THAILAND




SIKU chache baada ya serikali za Tanzania na Thailand kutiliana saini mkataba wa kubadilishana wafungwa na kutekeleza sheria ya vifungo, raia wa Tanzania amebambwa na dawa za kulevya nchini humo...

Aww, all the talk is getting to him. Chris Brown wants to quit music



He can't be serious about quitting music...

TV SHOW YA IRENE UWOYA! KUMBE NA MASTAA WAKUBWA WA BONGO WANAHUSIKA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA
“Nafurahi kuona jinsi  kioo cha jamii hivi sasa kimeigusa familia kabisa,..

Yay, finally! Peter Okoye and Lola Omotayo get engaged



P-Square's Peter Okoye has finally put a ring on it...

Wizkid not planning to marry for another ten years



Dear Tania, your boo ain't planning to marry for another ten years. Just thought to let you know. #runsaway! :-) 

Photos from Nollywood celebrates Omotola



Actors' Guild of Nigeria headed by Ibinabo Fiberesima celebrated Nollywood actress Omotola Jalade Ekeinde on Sunday August 4th for being named one of the most influential people in the world by Time magazine. Among the guests were Fred Amata, Olisa Adibua, Rita Dominic, Ini Edo and husband, Chidi Mokeme, Keppy Epkeong Bassy and wife, Zeb Ejiro and wife, Emeka Ossai and wife, Kelechi Amadi Obi, Dimeji Alara and many others. More photos AFTER THE CUT,...

Usher's 5 year old son hospitalized after nearly drowning in the pool


Usher and Tameka Raymond's 5-year-old son, Usher Raymond V, was rushed to the hospital after almost drowning in the family pool...

DIAMOND NOMA SANA: ONA ALICHOKIFANYA SOUTH AFRICA ALAFU MSEME DIAMOND ANALOGA-HARD WORK PAYS BWANA


Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.....TAZAMA PICHA ZAIDI..
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.

0b54d01efdd411e2bd3c22000ae90db5_7
Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri
0f7a71cefdef11e2999e22000a1f8afc_7
dd5ff8c8fdce11e2aa0322000a1fa408_7
Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda international zaidi.
Picha: Babutale (Instagram)
Source:Bongo5

MKENYA ALIYEDAIWA KUMTEKA DR. ULIMBOKA AFUTIWA KESI YAKE

MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amefuta kesi ya kuteka na kujaribu kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, iliyokuwa ikimkabili raia wa Kenya, Joshua Mulundi, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.

SOMA ZAIDI....

VIDEO:SALAMA ACHOKONOA, JOKATE AFUNGUKA BILA WOGA



TAZAMA ZAIDI....

TAZAMA PICHA ZA TUKIO LA KUUNGUA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATA

PICHA ZAIDI....

HAWA NDIO WACHEZAJI WA BARCELONA WALIOFUNGWA PINGU ZA KUTOKUGUSWA

81197d48-6b61-41f4-bff9-44dacab97125

RONALDO AJITIA KITANZI REAL MADRID,SASA AMSOGELEA ETO'O KWA KULIPWA ZAIDI DUNIANI



Ronaldo

REAL MADRID YAICHAPA BARCELONA 9 KWA TANO

Legends: Can you name the ten former Barcelona and Real Madrid legends?NYOTA wa zamani wa Real Madrid na Barcelona....SOMA ZAIDI...

WABUNGE WA VITI MAALUMU WAMVAA SAMWEL SITTA




Akizungumza jana kwenye mkutano wa Chama cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG),....SOMA ZAIDI...

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...