facebook likes

Wednesday, September 4, 2013

RAY C GETTING READY TO GET BACK IN THE GAME

SOMA ZAIDI.........

RAIS PUTIN AIONYA MAREKANI KUHUSU SYRIA

 Rais wa Urusi Vladimir Putin, ameonya Marekani na nchi za Magharibi dhidi ya kushambulia Syria ambapo alisema kuwa hatua zozote za kijeshi dhidi ya Syria itakuwa ni uvamizi. 
SOMA ZAIDI.............

HATIMAYE iPHONE 5S KUZINDULIWA RASM WIKI IJAYO


Kampuni ya Apple ambayo ndiyo watengenezaji wa simu za iPhone wametangaza tarehe 10 mwezi huu kuwa ndiyo siku ambayo wataitambulisha simu mpya ya iPhone 5s rasmi.
SOMA ZAIDI........

Mr Blue kuachia wimbo mpya leo

Mr Blue ambaye mwaka huu ameshatoa ngoma kama “Nipende”, leo mchana anatarajia kutoa ngoma yake mpya inaitwa Pesa.
SOMA ZAIDI..........

HAWA NDO WALIO VAA NGUO ZA AJABU KATIKA RED CARPET KATIKA UZINDUZI WA MUVI YA LULU



ANGALIA PICHA ZAIDI............

BAADA YA MSHINDI WA BIG BROTHER KUTANGAZA KUWA HAMJUI BABA YAKE, MKENYA AJITOKEZA NA KUDAI NI BABA YAKE

Dillish Mathews & Abdi Guyo
Wiki iliyopita wakati mshindi wa $ 300,000 za Big Brother The Chase Dillish Mathews kutoka Namibia akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa Namibia, alisema anahamu ya kukutana na baba yake mzazi ambaye hawajawahi kuonana.
SOMA ZAIDI................

SAMSUNG IMEZINDUA TV INAYOWEZA KUTAMBUA UWEPO WAKO,

Hii ni technologia mpya kabisa kutoka Samsung, inayotarajiwa kutoka ndani ya mwaka huu.

Tecknologia hii imerahisisha zaidi kupuguza Matumizi ya Rimoti. TV Hizi zinaweza kutambua kila uhachokifanya kwa wakati husika pia zina Kamera unaweza zipa amri bila kutumia Rimoti au Kibonyezo. Hii inaonyesha ni namna gani wenzetu wavyozidi piga Hatua za kiteknologia katika nchi zao.
SOMA NA ANGALIA VIDEO HAPA...

Muziki unavyowatajirisha Nigeria, hili ni gari jingine kaagiza Davido

Davido 2Pamoja na kwamba wengine wanasema utajiri wa baba yake umechangia huyu staa wa muziki wa Nigeria kuwa na magari na nyumba ya kifahari, imefahamika kwamba hata muziki wake pia umeripotiwa kumpa mkwanja mrefu ambao kwa asilimia kubwa unatokana na mauzo ya nyimbo kwenye makampuni ya simu pamoja na shows.
SOMA ZAIDI............

HUYU NDO MBAKAJI ALIYECHANGANYIKIWA KUAMBIWA MWANAMKE ALIYEMBAKA ANA VIRUSI VYA UKIMWI


KUSHOTO: Richard Thomas. KULIA: Mahakama Kuu ya Liverpool.
Mbakaji ambaye alifungwa jana anasubiria vipimo kubaini kama ameathirika na virusi vya ukimwi kutoka kwa muathirika wake.
SOMA ZAIDI.......

HAWA NDIYO WASANII WA KIKE NA WAKIUME WENYE MUONEKANO MZURI POPOTE UWAONAPO


Hemed PHD ambae longtime amewahi kusema yeye ni bishoo sana na anazingatia sana muonekano wake kila sehemu anayotokea pamoja na mwigizaji Jackline Wolper ndio wamechaguliwa kuwa wasanii wenye best star look kwenye bongo movie kupitia show ya Take One ya Clouds TV.
SOMA ZAIDI..........

HILI NDO TANGAZO KUBWA LA FLAVIAN MATATA LILILOPO MAREKANI


HII LAANA SASA..!! KIJANA AMPA MIMBA YA PILI MAMA YAKE MZAZI BAADA YA KWANZA KUITOA...!!

Kijana mmoja nchini zimbabwe katika kijiji cha pote amekimbia kijiji hicho baada ya kujikuta katika matatizo makubwa kufuatia kumtia mimba mama yake mzazi kwa mara ya pili.
SOMA ZAIDI............

THE BOSS ITAPATIKANA SOKONI KUANZIA LEO JUMATATU YA TAREHE 2 SEPTEMBER 2013.USIKOSE NAKALA YAKO

JWTZ yakamata wanajeshi wanne wa Rwanda waliokuwa Kongo

ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini Kongo (Monusco), wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamedai kuwakamata maofisa wanne wa jeshi la Rwanda, katika mapigano ya wiki iliyopita nchini Kongo.
SOMA ZAIDI.........

SERIKALI YAJIBU MAPIGO KWA MTANDAO WA KENYA ULIOANZA KUICHOKONOA TANZANIA

 Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari- (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza  na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam  kuhusu  mtandao wa kijamii wa nchini Kenya ulioituhumu  Serikali ya Tanzania.
 SOMA ZAIDI...........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...