facebook likes

Friday, October 4, 2013

MWANZA: WAJAWAZITO WANYWESHWA MAJI YA MBWA ALIYEJIFUNGUA PAMOJA JASHO LA WAUME ZAO ILI KUONDOA MIKOSI WAKATI WA KUJIFUNGUA..!!

Imani za kimila wilayani Misungwi mkoani Mwanza zinadaiwa kusababisha baadhi ya wajawazito kunyweshwa maji machafu yakiwemo yaliyofuliwa shati la mume husika anayetuhumiwa kufanya ngono wakati mke akiwa mjamzito, kwa kile kinachodaiwa ni kuondoa mkosi ili mjamzito husika ajifungue salama.
SOMA ZAIDI....

PICHA MBALIMBALI ZA VURUGU ZILIZOTOKEA MBAGALA BAADA YA KUGONGWA KWA MWANAFUNZI NA KUFA

 
Askari kanzu katika jitihada za kuwatawanya waandamanaji.

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

Pumu yamtesa Jokate Mwegelo, aomba watanzania wamuombee

“Naumwa jamani, pumu inanisumbua inanitesa sana. Inaponitokea huwa nashindwa kufanya kabisa kazi zangu za kila siku na vitu vyote huwa vinalala hadi nitakapopata nafuu,” alisema Jokate kwa tabu.
SOM zaidi....

HATIMAYE MSANII 20 PERCENT AAMUA KUMALIZA BIFU LAKE NA MAN WATER


Hakika Nyumbani ni Nyumbani tu ...Mwanamuziki 20 Percent ambayo miaka kama miwili iliyopita alikuwa ni tishio katika muziki wa Bongo Flava Hatimae ameamua kujirudi na kuondoa Beef walilo kuwa nalo na Producer wake ambaye ndio alikuwa anamtoa Man Water ...
SOMA ZAIDI...

MR BLUE AAMUA KUFUNGUKA "INANIUMA SANA NAPOSIKIA WATU WANASEMA NIMEPOTEA KATIKA GAME"


Hatimae yule Nguli wa Music wa Bongo Flava Mr Blue Amefunguka na Kuongelea kupotea kwake kwenye Game , Mr blue Amesema kwa sasa game limechange inabidi kusoma kwanza mchezo ndio kuingia uwanjani ....ila ana umia sana anaposikia watu wakisema kuwa  hana mpya katika game hilo la music wa
kibongo ......

Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya.

Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…!

  • Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…! 1
  • Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…! 2
  • Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…! 3
  • Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…! 4
  • Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…! 5




Picha za mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Baby Madaha akiwa nchini Kenya na gari yake aina ya audi aliyopewa na Record Label ya Candy n’ Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba na kampuni hiyo.

Uwoya ampa maneno ya busara fan wake, ni aliyemshauri kuhusu tattoo yake ya mkono

Mwanadada Irene Uwoya ammepa maneno ya busara fan wake kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii hivi karibuni.

SOMA ZAIDI.............

EXCLUSIVE:TAZAMA PICHA ZAIDI YA 40 ZA KILICHOJIRI KWENYE BIRTHDAY YA DIAMOND PLATNUMZ

ANGALIA PICHA ZAIDI................

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...