facebook likes

Sunday, October 20, 2013

UFOO SARO..."NIKIPONA NITAWEKA KILA KITU WAZI"

Mtangazaji wa Kituo cha televisheni cha ITV, Ufoo Saro, ambaye alijeruhiwa kwa kupigwa risasi na mzazi mwenzake Jumapili iliyopita, ameahidi kutoa ya moyoni atakapopona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.Ufoo ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kitengo cha moyo tangu wiki iliyopita kutokana na majeraha ya risasi, afya yake inazidi kuimarika na sasa ameanza kula mwenyewe na kufanya mazoezi ya kutembea.
SOMA ZAIDI..........

Nicki Minaj Na Gari Yake Ya Pink Anayoipenda Zaidi.

 
Nicki Minaj ni msanii asiye na aibu ya kusema mambo gani anapenda kwenye maisha yake na yupo tayari kufanya nini kuyapata. Hivi karibuni alikuwa kwenye duka la K Mart akizindua nguo zake na aliwasili na gari yake mpya iliyo tengenezwa  na kuboreshwa kwa matakwa yake, Yes ndio hio Pink lamborghini Custom made for Minaj. 
Picha Zaidi Ziko Hapa.....

SIMANZII!! .....AUAWA KWA KUKATWA KICHWA NA KISHA KUTUPWA MITA CHACHE KUTOKA NYUMBANI KWAKE...SOMA ZAIDI!!!


Baadhi ya majirani wakiwa jirani na mwili wa marehemu Seba wakisubiri polisi kuja kuuchukua mwili huo

SOMA ZAIDI....

REPOST YA WEMA SEPETU INSTAGRAM KUHUSU DIAMOND ILITENGENEZWA NA HUYU DADA

 
I
ICHEKI HIYO PICHA HAPA CHINI.....

YOUNG DEE AKANUSHA SKENDO YA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA...!!SOMA ZAIDI HAPA

Msanii Young Dee amekanusha uvumi ulioenea mitaani kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya na kusema kuwa pamoja na story hizo kuwa kubwa lakini hali hiyo haijamuathiri sana kwasababu hazina ukweli wowote.

DownLoad Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Nikki Mbishi - Yote Sawa

Ni Moja ya joints kutoka kwenye kanda mseto yake mpya Malcom XI. Wimbo unaitwa yote sawa na Beat imetengenezwa na Nikki Mbishi. 
SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA....

Matokeo Ya Game Za Premier League Za Tarehe 19/10/2014

 
BOFYA "READ MORE" KUYACHEKI.............

CCECC YA CHINA YAONYESHA NIA KUJENGA RELI YA KATI


reli f5ba2
KAMPUNI ya ujenzi na uhandisi wa majengo ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) imesema iko tayari kuja Tanzania na kujenga upya reli ya kati ili iwe ya kisasa zaidi endapo wataombwa wafanye hivyo.
SOMA ZAIDI....

ANKO J... JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIA....


Kaimu Meneja wa Abood Media Abeid Dogoli amethibitishia  kwamba ni kweli mtangazaji wa siku nyingi Tanzania Julius Nyaisanga amefariki dunia leo asubuhi.

Amesema Nyaisanga alipelekwa hospitali ya Mazimbu Morogoro jana saa nane mchana kutokana na kusumbuliwa na Kisukari pamoja na presha ambapo asubuhi ya leo October 20 2013 ndio akafariki dunia.

Mara yake ya mwisho kuingia ofisini ilikua juzi japo alikua ameanza likizo toka October 12 ambapo huu ulikua ni mwaka wake wa tatu toka ameanza kufanya kazi na Abood Media ya Morogoro kama Meneja wa kituo.

2.  AMEACHA MJANE NA WATOTO 3

3. MWILI UNAELEKEA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI HOSPITALI YA MOROGORO...

4. AWALI ALIKUA MTANGAZAJI WA RADIO ONE...KIPINDI CHA MAMBO MSETO ALMAARUFU KAMA BABU WA KIMANZICHANA..UNCLE JJ

ENDELEA KUTEMBELE JOVINBACHWA  BLOG KUPATA UPDATES ZAIDI....

MTANDAO HUU UNAWAPA POLE NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA MASHABIKI WA MAREHEMU....AAAMIIIN...

CHANZO: ITV TANZANIA...

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...