facebook likes

Sunday, September 8, 2013

WASHIRIKI WA TUSKER PROJECT FAME MSIMU WA SITA WAWASILI DAR KWA USAILI.


Baadhi ya washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita wakijaza fomu maalumu kabla ya kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam mapema hii leo.

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

NARIETHA BONIFACE ATWAA TAJI LA REDD’S MISS TANZANIA TOP MODEL

Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 29. 

ANGALIA PICHA ZAIDI.....

AIBU!! MWANAMKE AVUA NGUO HADHARANI ILI APIGANE NA BOYFRIEND WAKE ALIYESIKIA ANATEMBEA NA DADA YAKE....!!

Msichana huyu pichani alishuka kwenye kimin bus na kuanza kupigana na boyfriend wake.
SOMA ZAIDI....

Iyanya Photographed With R.Kelly Last Night In Atlanta

      They met at a club last night. Dreams come true

new Joint_ Cassidy - "Catch A Body" (Meek Mill Diss)(music audio)


MELI YA TANZANIA YENYE MADAWA YA KULEVYA YA THAMANI YA SH. BILIONI 123 YAKAMATWA, WAHUSIKA WAIPIGA MOTO KUONDOA USHAHIDI..!!!

This is the dramatic moment when drug smugglers set fire to a ship carrying more than £50 million worth of hashish after being spotted by customs officials.

Fally avunja rekodi!!

Mwanamuziki wa kizazi cha tano cha muziki wa Congo Fally Ipupa kwa sasa ndiye Mwanamuziki anayeongoza kwa kuwa na Show nyingi kuliko wote.

 SOMA ZAIDI..........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...