facebook likes

Saturday, August 24, 2013

KOCHA PATRICK LEIWIG: SHOMARY KAPOMBE ANAPOTEZA MUDA AS CANNES - HASTAHILI KUICHEZEA TIMU YA DARAJA LA NNE

KIRAKA wa Tanzania, Shomari Kapombe ametambulishwa juzi Ahamisi kwenye mazoezi ya klabu ya AS Cannes ya Ufaransa, lakini Kocha Mfaransa aliyetimuliwa Simba, Patrick Liewig amesema timu hiyo haina hadhi ya Kapombe.
SOMA ZAIDI...........

ANUSURIKA KUFA BAADA YA GARI LAKE KUGEUKA KUWA BRAKE YA BASI LILILOACHA NJIA NA KUGONGA HAPO JANA TEMEKE SUDAN

 Umati wa watu uliojitokeza ghafla baada ya ajali hiyo kutokea hapo jana maeneo ya Temeke Sudani
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.........

Wakala Wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) Yakamata Shehena ya Madini Yenye Thamani ya Zaidi ya Sh Bilioni 13 Katika Kipindi Cha Miezi 10 iliyokuwa ikitoroshwa Nchini Kinyume Cha Utaratibu.

  Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa TMAA Bruno Mteta, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu madini yaliyokamatwa. wa pili kushoto ni Ofisa habari wa TMAA, Mhandisi, Yisambi Shiwa na kulia ni Mkurugenzi wa Uthamini Madini na Huduma za Maabara, Mhandisi, Rwekaza Dominic.

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI........

ANGALIA PICHA:::MSANII HEMED APATA AJALI YA GARI JANA USIKU

Yalikuwa ni majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ndipo ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani.

SOMA ZAIDI..........

PENZI LA KWELI HALIFI::WATAZAME WASANII LINAH NA AMINI WALICHOFANYA KWENYE TAMASHA LA FIESTA

Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani katika show ya Serengeti fiesta 2013 Tabora ndani ya uwanja wa Aly Hassan mwinyi.

Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani...(picha kwa hisani ya bongo5)

Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. 

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

Angelo opens up on his rumored GF,having s*x with Beverly & his plans for her

Angelo opened up about all that happened in the BBA house, also denied having a girlfriend before and his plans for Beverly.

Ini Edo and husband take a 'second honeymoon'


The actress shared this photo of herself and her husband aboard a flight to London and called it a 'second honeymoon'. They will be visiting the UK, France and Spain for shopping and relaxing. Another pic after the cut...

HATIMAYE MTOTO WA KIM NA KANYE AONEKANA

Ukitaja Kim Kardashian na Kanye west lazima 
watamjumuisha na Jina la mtoto wao North west,
Ingawa apo mwanzo apakuwa na taswira ya
 mtoto huyo muonekana wake ukoje. 
Ilitegemewa picha za mtoto North ndizo zingeuzwa 
ghali zaidi kwakuwa magazeti tofauti yalifika 
dau ya kupata picha za mtoto huyu 
ambae hadi sasa ana miezi 2. 
Lakini chakushangaza mwanadada Kim aliachia
 picha ya mwanaye huyo wa kike kwenye 
mtandao wake wa Twitter na kufanya ndoto za 
majarida nguli duniani kuishia kwenye hewa 
pasipo kuwa na mafanikio...
itazame picha hiyo hapa mtoto North West 
ni mwenye Afya tele....Na kwa kumuangalia 
abda sema wewe anafanana na nani........???
Angalia picha zote alafu,tiririka na maoni yako hapo chini.....

Khloe and Lamar's marriage in crisis because of his drug abuse?


We have been hearing that Khloe Kardashian and Lamar Odom's marriage is in crisis but the core reason behind this according to TMZ is Lamar's 'hardcore drug abuse' and not the infidelities.

HAWA NDIO MASTA 40 AMBAO NI MASHOGA WACHEKI HAPA

Wentworth Miller, Maarufu zaidi kama Michael Scofield
ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA..........

TRAFIKI FEKI AWAKWEPA MAPAPARAZI, ACHEMSHA

JAMES Hussein, mkazi wa Kimara, Dar alikuwa na wakati mgumu wa kukwepa kamera za mapaparazi zilizotua Mahakama ya Wilaya Ilala, jijini Dar juzi baada ya kufikishwa kwa kosa la kujifanya trafiki.

...Akijificha Waandishi wasimpige picha (picha kwa hisani ya GPL)
SOMA NA ANGALIA PICHA HAPA......

TAZAMA PICHA ZA VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ "NUMBER 1" AIYOFANYA AFRIKA KUSINI

Diamond anatarajia kutengeneza tena vichwa vya habari pale atakapoachia video ya wimbo mpya ‘Number 1′ aliyoshoot mwezi huu nchini Afrika Kusini. Video hiyo ambayo Diamond anasemekana kutumia zaidi ya shilingi milioni 50 kuikamilisha, imetengenezwa na kampuni ya Ogopa Videos ya nchini Kenya. Hizi ni screenshots exclusive tulizozipata.

Screenshot (08h 17m 55s)
(picha zote kwa hisani ya Bongo5)
ANGALIA PICHA HAPA..........

NEY WA MITEGO ALIHANGAIKA KWA MIAKA MIWILI MPAKA KUJA KUWA MPENZI WAKE "NISHA"

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema hata kama msanii Nay wa Mitego akiwa na mpenzi mwigine kwa sasa lakini anajivunia kupendwa na kijana huyo kwani alihangaika sana kumpata.

SOMA ZAIDI........

This picture made Kanye fall inlove with Kim Kardashian

Ha! Is this one love or obsession? Can’t believe this is gangsta Kanye oh! Whatever Kim has done to tie him down, I need it too..lol

TAZAMA YALIYOJIRI TABORA KWENYE SERENGETI FIESTA 2013:


Abdul Kiba,msanii wa muziki wa bongofleva akiimba mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi  kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

ENJOY VIDEO MPYA YA JOKATE "KAKA DADA" HAPA

 
Video ya Jokate na Lucci “Kaka dada” imetoka leo na hapa unakuwa moja kati ya watu wa kwanza kabisa kuiona. 
Video imefanyika ndani ya masaa 24 chini ya production ya Ogopa.
 Enjoy the video HERE AFTER THE CUT.......

TUHUMA NZITO:MAGUFULI, MWAKYEMBE, LUKUVI KUFIKISHWA KWENYE KAMATI YA MAADILI YA BUNGE


Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesema itawafikisha kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiwatuhumu kwa kulidanganya Bunge.
SOMA ZAIDI..............

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...