facebook likes

Thursday, February 7, 2013

MKUU WA IDARA YA VIPINDI CLOUDS AFUNGUKA KWA WATENGENEZA MATANGAZO YA BIASHARA YA REDIO


 Masaa kadhaa yaliyopita, kupitia ukurusa wake wa facebook, mkuu wa idara ya vipindi kutoka Clouds Fm, bwana Sebastian maganga, aliandika ujumbe mahsusi kwa wahusika wa matangazo ya biashara hasa hasa matangazo ya redio, ikiwa ni muendelezo wa tabia yake ya kujuza na kuelimisha kupitia ukurasa wake huo wa facebook, pale anapoona kuwa na uelewa wa jambo flani, na kwa namna moja ama nyingine akijaribu kutoa elimu aliyonayo juu ya jambo hilo
UJUMBE KWA WATENGENEZAJI WA MATANGAZO YA BIASHARA YA REDIO:"SIO SWALA LA UJIKO, NI SWALA LA KUTOA SULUHISHO"

MFANO WA UJIKO: sisi ni kampuni bora ya kutengeneza gesi kwa kutumia maganda ya ndizi kwa zaidi ya miaka 15.

MFANO WA KUTOA SULUHISHO: gesi bora kwa ajili ya matumizi yako ya kila siku nyumbani, kwa gharama nafuu, hiyo ndio ahadi yetu kwako.

UJIKO AU UZOWEFU WA KAMPUNI HAUMHUSU MTEJA, SULUHISHO LA BIDHAA AU HUDUMA YA KAMPUNI HUSIKA NA NAMNA INAVYOATHIRI MAISHA YA MTEJA NDIO JAMBO MUHIMU, SIJUI MMENIPATA HAPO

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA FILAMU MPYA YA "WORLD OF BENEFITS"..............NDANI YUPO TIMBULO NA ROSE NDAUKA

CAN U DANCE LIKE THIS????????????? CHECK THIS OUT FOR ALL DANCERS IN AFRICA

KWA WAPENZI WA MOVIE, HII NDO MOVIE MPYA KUTOKA KWA MAMA KANUMBA, INAITWA "WITHOUT DADDY."



MAMA Mzazi wa msanii nyota Tanzania marehemu Steven Kanumba ‘Kanumba’ Frola Mtegoa ameigiza filamu katika muendelezo wa kipaji cha mwanaye baada ya kuigiza katika filamu ya Without Daddy akishirikiana na watoto waliokuwa wakiigiza na marehemu Kanumba kama Patrick na Jamila, katika filamu hiyo mama Kanumba kaigiza katika kiwango cha juu.
.
Abdul Ahmed JamilaBen Blanco akiwa na wasanii wakali Jamila na mwenzake.
Akiongea na FC mkurugenzi wa kampuni ya Big Daddy Production Irene Kaungwa amesema kuwa filamu ya Without Daddy ni kazi mwendelezo wa kazi ya marehemu Kanumba iliyotoka siku za nyuma ya Big Daddy na ni kazi ambayo imetentengezwa kwa ubora wa kimataifa ikiwa sambamba na kumtambulisha mama Kanumba katika tasnia ya filamu Swahiliwood.

“Kampuni ya Big Daddy Production imekusudia kuleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu Tanzania, na katika kumuenzi marehemu tumemchukua mama Kanumba kushiriki katika filamu hiyo na mama ameonyesha uwezo mkubwa katika uigizaji na filamu yake ya kwanza
ndio hii,”
anasema mkurugenzi.

.
JamilaMmoja kati ya wasanii walioshiriki katika Filamu ya Without Daddy.
Frola MtegeoMama Kanumba mwigizaji.
 Filamu ya Without Daddy imeshirikisha wasanii nyota wengi kama vile Abdalah Mkumbilah ‘Muhogo mchungu’, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ Cathy Rupia, Mayasa Mrisho, ‘Maya’, Othuman Njaidi ‘Patrick’ Wastara Juma ‘Stara’ Abdul Ahmed ‘Ben Blanco’ na wasanii mahiri wengineo.

UINGEREZA YAFUTA UTEJA WA MIAKA 23 KWA BRAZIL


ROO BEAUTY ... Wayne Rooney celebrates his goal
UINGEREZA jana usiku ilifanikiwa kupata ushindi wa kwanza dhidi ya Brazil tangu mwaka 1990 kufuatia ushindi wa mabao 2-1 ndani ya dimba la Wembley yaliyofungwa na Wayne Rooney na Frank Lampard.
Ikiwa ni mechi maalum ya kusherehekea miaka 150 ya chama cha soka Uingereza (FA), iliwachukua wenyeji dakika 26 kupata bao la kuongoza kupitia kwa Wayne Rooney baada ya kipa Julio Cesar kuutema mkwaju wa chini wa Theo Walcott.
WAYNE TO GO ... Wayne Rooney scores the opener for England
Rooney akipiga bao la kwanza
Brazil wangeweza kuongoza mapema baada ya refa Pedro Proenca wa Ureno kuwazawadia penalti dakika ya 19 kufuatia kiungo Jack Wilshere kuunawa mpiria wa krosi ya Ronaldinho.
Lakini Ronaldinho, Supa staa wa zamani wa Barcelona, alishuhudia mkwaju wake wa penalti ukiokolewa na kipa Joe Hart.
HART STOPPER ... Joe Hart saves Ronaldinho's penalty
Ronaldinho akikosa penalti
Kocha Hudgson wa Uingereza alifanya mabadiliko mawili wakati wa mapumziko kwa kuwatoa Tom Cleverley aliyempisha Lampard na Ashley Cole aliyepokelewa na Leighton Baines.
Lakini ni mabadiliko ya Brazil ndio yaliyoanza kuzaa matunda baada ya mcheaji aliyetokea benchi, Fred kuwasawazishia wageni dakika ya 49 kufuatia uzembe wa beki Gary Cahill aliyeshindwa kuumiliki vizuri mpira mbele ya Luis Fabiano.
Frank Lampard akaibuka shujaa kwa bao lake la dakika ya 60 kufuatia pasi ya Wayne Rooney.
Hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa England kupata mabao mawili dhidi ya Brazil tangu mwaka 1984 iliyoshuhudia bao la kukumbukwa la John Barnes.
Katika mechi ya jana, Ronaldinho alizawadiwa jezi maalum ya kutimiza kwake mechi 100 katika timu ya taifa huku Steven Gerrard naye akikabidhiwa tuzo ya dhahabu na kipa wa zamani Peter Shilton kwa kutimiza mechi 101.
RON IN A MILLION ... Ronaldinho receives a special shirt to mark his 100th cap
Ronaldinho akipokea zawadi ya kutimiza mechi 100
STEVIE GLEE ... Steven Gerrard receives his 100th England cap from Peter Shilton
Gerrard  akipokea zawadi ya kutimiza mechi 100
Katika mechi nyingine kubwa za kirafiki zilizochezwa jana, Ujerumani iliichapa Ufaransa 2-1, Argentina ikashinda 3-2 dhidi ya Sweden, Uholanzi wakatoka 1-1 na Italia huku Hispania ikiichabanga Uruguay 3-1.

MTOTO WA MIAKA 8 APATA MIMBA, AJIFUNGUA SALAMA


Pregnant ... girl, 9, gives birth to baby
BINTI mmoja nchini Mexico alijikuta akipata ujauzito akiwa katika umri wa miaka 8. Linaandika gazeti la The Sun la Uingereza.
Binti huyo ambaye sasa ana miaka 9 aliyetajwa kwa jina moja tu la Dafne amejifungua mtoto wa kike katika jimbo la Jalisco, Mexico.
Baba wa mtoto huyo aliyezaliwa, ametajwa kuwa ni kijana mwenye umri wa miaka 17 ambaye amekimbia na hadi sasa hajulikani alipo.
Mama wa binti huyo, Jorge Villasenor amesema wanaendelea kumtafuta kijana huyo ili kupata maelezo ya kina kwa vile binti amesema haelewi ni nini kilichotendeka.
Mama huyo amsema hii ni kesi ya ubakaji au ya unyanyasaji watoto.

Justin Bieber is 'responsible'

Justin Bieber is 'responsible'Justin Bieber thinks he is a ''responsible'' young adult.

The 18-year-old 'As Long As You Love Me' singer - who was recently accused of being out of control after being pulled over by police and amid rumours he regularly smokes marijuana - claims that although he is enjoying himself, he hasn't done anything wrong.
The Canadian star told the 'Late Night with Jimmy Fallon' show on Tuesday (05.02.13): ''I don't do anything. I promise. It looks bad. You see pictures of me getting pulled over, but really the tints are really dark ... I need dark tints because I don't want to cause accidents because people want to take pictures. I just thought it would be more safe for everyone else if I had dark tints. I'm thinking about other people. I'm having fun being 18 and enjoying my life and being responsible.''
Meanwhile, Justin has laughed off rumours he cheated on Selena Gomez with Rihanna before their split in December.
According to Life & Style magazine, a source claimed the ''real'' reason behind the on/off couple's break-up was that she ''heard the shocking news that Justin had cheated on her'' repeatedly with the 'Diamonds' singer.
Justin's new album 'Believe Acoustic' has hit number one in the US, making him the first artist to achieve five number one albums under the age of 19.
He thinks the record will prove his real talent to critics.
He said: ''It's just good music. It just shows that I wasn't made, I was found on YouTube and it shows people music is music. That's what you need to focus on - listening to the music. I'm an artist. I'm not - I'm a singer and I want to show people what I love to do.''

Kim Kardashian wants a 'full life'

Kim Kardashian wants a 'full life'

Kim Kardashian has begged a judge to help her get back to leading a ''full life''.
The 'Kourtney & Kim Take Miami' star - who is expecting her first child in June with her boyfriend Kanye West, 35, - is hoping to finalise her divorce from Kris Humphries before the baby's arrival. 

In a newly filed legal declaration, obtained by gossip website TMZ.com, the 32-year-old beauty complained that her estranged husband is standing in the way of her happiness and also threatening ''the health and well-being of my unborn child.'' 

She explained that she wants a divorce as quickly as possible because it ''will help create a new, full life for me,'' and said, ''the same should hold true for (Kris).''
The former couple's divorce has been dragging on since November 2011, despite their marriage lasting a mere 72 days because the basketball player wants an annulment on the grounds of fraud. Kim denies that she married him to boost the ratings of her reality show and wants a divorce.
Kim also said that Kanye is eager to sign a Voluntary Declaration of Paternity when their child is born, but he won't be able to if she's still married to Kris. 

Meanwhile, Kim's half-sisters Kendall, 17, and Kylie, 15, have revealed they are excited to become aunts again.
The designer duo already have a niece Penelope, eight months, and a nephew Mason, three, whose mother is Kourtney Kardashian, 33.
Kylie told E! News: ''I feel like Mason is my brother. I love having nieces and nephews running around because I'm the youngest out of everyone.''
She also thinks that Kim shouldn't call her baby a name beginning with the letter K like the rest of their family.
She said: ''I feel like they should retire it.''
However, Kendall is a fan of the idea, calling it a ''family tradition.''

Beyonce offers cheaper tickets

Beyonce offers cheaper tickets

Beyonce plans to make her concert tickets cheaper.
The 'Love on Top' singer - who stunned with her 14-minute Super Bowl performance in New Orleans last Sunday (03.02.13) - doesn't want any of her fans to miss out on attending her upcoming Mrs. Carter Show world tour and has made sure that her ticket prices are as low as possible.
A source told USMagazine.com that tickets in the US will start at approximately £30, adding: ''There are plenty of tickets at low prices in every city so Beyonce can make sure all of her fans can see the show. And there are similarly low-priced tickets in every worldwide city.
''She takes care of all her fans so that every one of them can see her.''
Pre-sale tickets will go on sale on Friday (08.02.13) from Ticketmaster and general tickets will go on sale on February 11 for the tour, which will begin on April 15 in Belgrade, Serbia and cover most of Europe.
The singer - who is married to rapper Jay-Z and has a one-year-old daughter Blue Ivy Carter - will then travel to over twenty cities throughout North America this summer and she is confirmed to headline at the world's largest music festival Rock in Rio on September 13 in Brazil before the second wave of the tour starts in Latin America, before moving on to Australia and Asia.
The Rolling Stones came under fire last year when they announced tickets for their '50 and Counting' shows would cost between £95 and £375 per ticket in the UK, and guitarist Keith Richards was forced to defend the prices.
He said: ''We do it for ourselves. And I don't mean money-wise - of course you don't mind getting paid - but that is not the driving force behind this band. You can sit at home, do a bit of painting or writing or whatever. But there's a certain magnetic thing that says what I really want to do is play with Charlie Watts and Mick and Ronnie. That's the force that's indescribable. You put this bunch into a room with a bunch of microphones and some instruments and something is going to come out.''

TANZANIA YAICHAPA CAMEROON 1-0


 Kikosi cha timu ya Tanzania.  (Picha na Dande Junior wa Habari Mseto blog)
 Wachezaji wa Taifa Stars wakisalimiana na wenzao wa Cameroon.
 Kikosi cha timu ya Cameroon kikiwa katika picha ya pamoja.
Nahoodha wa Taifa Stars, Juma kaseja (wa pili kushoto), nahodha wa Cameroon , Pierre Wome (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo wao uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
 Beki wa timu ya taifa ya Tanzania, Erasto Nyoni akijaribu kumzuia kiungo wa pembeni wa Cameroon, Bedimo Henri wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samata akimtoka beki wa kushoto wa timu ya Cameroon, Benoitte Assou-Ekotto  wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Tanzania imeshinda 1-0.

HAYA NI MATOKEO YA MECHI YA MALI VS NIGERIA FEB 6 2013.

HAYA NI MAGAZETI 17 YA LEO FEB 7 2013, KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO



1
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...