facebook likes

Friday, August 23, 2013

TATIZO LA MAN UNITED KUTOFANYA USAJILI MPAKA SASA: MSAIDIZI WA FERGIE ASEMA TATIZO NI CEO MPYA WA KLABU KUTOJUA VIZURI NAMNA YA KUDILI NA MASUALA YA USAJILI

Kocha msaidizi wa zamani wa Manchester United Mike Phelan anaamini CEO mpya wa klabu hiyo Ed Woodward yupo katika wakati mgumu wa kudili na masuala ya usajili kwa sababu hana uzoefu huo. 
SOMA ZAIDI........

RATIBA YA LIGI KUU WIKIENDI HII - TIKETI ZA ELEKTRONIKI KUANZA MZUNGUKO WA NNE


TIKETI ZA ELEKTRONIKI KUANZA MZUNGUKO WA NNE
Tiketi za elektroniki zitaanza kutumika katika mzunguko wa nne wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) utakaoanza Septemba 18 mwaka huu. 
SOMA ZAIDI.....

Genevieve Nnaji Listed On ELLE’s Top 7 ‘International Superstars’

America might have created the blueprint for the modern world of entertainment, but our stars are far from the only ones in the galaxy.

PHOTO: You Won’t Believe What Banky W’s Girlfriend Wore To The Johnnie Walker Event

At the Johnnie Walker Gold Label Reserve launch on Friday 16th August 2013, Banky W‘s girlfriend, Ghanaian beauty Andrea Manuela Giaccaglia joined her beau at the event, rocking a very provocative outfit.

Check Kilichojili Mchana wa Leo Ndani ya Tabora,Diamond Platnum akiwa Front Line na Mrisho Mpoto.NI FURSA KWA WOTE


Picha ya pamoja, kiukumbusho zaidi, Msanii
 Mrisho Mpoto akiwa amepozi na Diamond.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.......

Yes, This Man Is Set To Play Batman In Upcoming Superman Movie

Only five men have ever played Batman in a motion picture — so far. But for the still-untitled Man of Steel sequel, Warner Brothers has now announced Dark Knight number six: the 41-year-old Ben Affleck.

MADAM RITA KASEMA.. NAY WA MITEGO HANA PESA ZA KUNILIPA HATA NIKIMFUNGULIA KESI:

Madam Rita
Mratibu wa shindano la Epic Bongo Star Search(EBSS) Rita Paulsen (Madam Rita ) ameshangazwa na taarifa zilizoenea katika vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii ,kuhusiana na yeye kutaka kumfungulia mashtaka msanii Nay Wa Mitego ambaye anadaiwa kumchafua (defamation) katika wimbo wake mpya unaotamba sasa (Salamu Zao).
SOMA ZAIDI......

Jada Pinkett-Smith gives divorce advice


Jada, who often uses her Facebook page to give advice and share her thoughts on different issues, yesterday advised an unnamed friend on how to deal with her divorce. 

Mercy Johnson, Nse Ikpe-Etim & Clarion Chukwura star in Hustlers.....watch video here


Ace movie producer Elvis Chuks is back with a new production titled Hustlers, starring Mercy Johnson, Nse Ikpe-Etim, Clarion Chukwura, IK Ogbonna, and Chelse Eze.

Video: Kanye West tells Kris 'Kim is my joy'


In an exclusive interview with his girlfriend's mum, Kanye says no matter what people say, he's staying with Kim because she makes him really happy.

MZEE GURUMO ASTAAFU MUZIKI

 
Mzee Muhidin Gurumo (katikati) akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kustaafu rasmi kazi ya muziki katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni mdau wa muziki Juma Mbizo na Meneja wa Msondo Ngoma, Said Kibiriti (kushoto). 
SOMA ZAIDI.......

JEMBEEE!!! TASWIRA ZA RAIS ROBERT MUGABE WA ZIMBABWE ALIPOKULA KIAPO...

 Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe akila kiapo cha kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo katika sherehe zilizofana sana katika Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Harare Agosti 22, 2013
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

NEW JOINT: Cyrill Kamikaze ft Dullayo – Fumba Macho...LISTEN AND DOWNLOAD HERE

LISTEN AND DOWNLOAD HERE.....

MUNGU ALINIAMURU NIJIUZULU, ASEMA PAPA BENEDICT XVI;

pope_37848.jpg
Rome, Italia. Miezi sita baada ya kujiuzulu, Papa Benedict XVI, amefungua mdomo na kueleza sababu za kufikia uamuzi huo wa kushangaza.
SOMA ZAIDI.......

REAL MADRID WAANZA KUUZA JEZI YA GARETH BALE KWENYE MTANDAO WAO

Baada ya jana kuripotiwa kwamba jezi ya Real Madrid namba 11 yenye jina la Gareth Bale imekuwa inauzwa kwenye maduka mengi barani ulaya
SOMA ZAIDI................

BRAND NEW VIDEO: DOCTA D-ONE & EASY ONE FT. JEFF LEGEND- MENGI WANAONGEA ........SUPPORT BONGO HIPHOP.....WATCH AND DOWNLOAD HERE....

ONE OF THE BEST VIDEOS 
WATCH THE VIDEO HERE AFTER THE CUT.........

DIAMOND, MKENYA... PENZI UPYAA

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amegeuka gumzo nchini Kenya baada ya mrembo mmoja aliyejipatia jina kupitia Runinga ya KTN, Angel Maggy kutangaza penzi lao upya kwa mara nyingine.
SOMA ZAIDI.............

KESI YA SHEHE PONDA; ULINZI MKALI MISIKITINI


KATIKA kuhakikisha amani ya nchi haitetereki kutokana na vuguvugu la kesi inayomkabili Shehe Issa Ponda, ulinzi mkali umeonekana kuimarishwa katika maeneo mbalimbali jijini Dar hasa misikitini.
SOMA ZAIDI...........

HII NDIO COVER YA ALBUM MPYA YA DRAKE

Msanii ambaye ni mzaliwa wa Canada lakini kwasasa anaishi Marekani kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki “Drake” ameachia artwork cover ya album yake mpya “Nothing Was the Same”.
SOMA ZAIDI............

WATU SABA WANUSURIKA KWA AJALI YA NDEGE ILIYOTUA ZIWA MANYARA

Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara 
SOMA ZAIDI..........

Wimbo mpya wa Juma Nature upo hapa.

1 

Juma Nature ametoa ngoma yake mpya inaitwa Dogo ambayo imefanyika kwenye studio yake mwenyewe Halisi Record. Kama haujapata nafasi ya kuisikiliza au kui-download, hii ndiyo nafasi yako.....

CRAZY GK ANARUDI KWENYE GAME

PROFESA UDSM MBARONI KWA KUJERUHI KWA RISASI..

Professa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ramadhani Senzota, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumjeruhi kwa risasi fundi ujenzi, aliyefahamika kwa jina la Fadhili Mkachini.
SOMA ZAIDI...........

WATANZANIA WATATU WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI KWA TUHUMA ZA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA

Maisha Tuck Shop lililopo Barabara ya Veld, Athlone, ambapo Watanzania watatu walipigwa risasi na kufariki.
SOMA ZAIDI..................

MANAIKI SANGA ATIWA MBARONI.....PICHA ZA UCHI ZIMEMPONZA....

SOMA ZAIDI...................

MKENYA AKIRI KUUA NA KULA MOYO NA UBONGO WA MAREHEMU,MAREKANI

Alexander Kinyua (kushoto) na mwanamume aliyekuwa akiishi naye nyumba moja Kujoe Bonsafo Agyei-Kodie.
SOMA ZAIDI.............

PHOTO: Check Out Actress, Omotola Jalade-Ekeinde's Family On Vacation

Nollywood actress, Omotola Jalade-Ekeinde posted a photo of herself and her family on vacation in Rome.

photo
They are on their way to Florence according to her.

MAAFISA WANNE WA JESHI LA POLISI WASIMAMASHWA KAZI.

Pic1 29e12

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam
SOMA ZAIDI...........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...