facebook likes

Thursday, October 10, 2013

You Won’t Believe What BBA Winner Dillish Is Using Her 300,000 USD For

dillish-lipstick
Dillish was crowned BBA ‘The Chase’ winner on Sunday, August 25, beating 27 contestants from different African countries and going home with the grand prize of 300,000 dollar.
The beauty queen got herself a Rihanna Heart Mac lipstick which cost around $16.50 for 0.10 oz.

Victor Moses Becomes Globacom’s Sports Ambassador

The Nigerian footballer who also plays for Liverpool is now a Glo ambassador. This was made known to the public on Tuesday. Big congrats to him.

Davido gives $3, 000 to the winner of the Skelewu dance competiton

A good day for Mr Kiddy Mizzy. Congrats to him...meanwhile a 20 year old is calling someone a kid. ..lol, Mr Davido!

P Square kutua Dar mwezi Novemba.




Mtangazaji wa East Afrika Radio, Hillary Daudi (Zembwela)akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza ujio wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya Peter na Paul Okoye maarufu kama P – Square kutoka nchini Nigeria pamoja na mdhamini Mkuu,Tarehe 23 Mwezi ujao ndipo watawasili nchini.
SOMA ZAIDI...

Kanye West appears on The Jimmy Kimmel Show after epic fight


Two weeks after Kanye West blasted Jimmy Kimmel on twitter for poking fun at his BBC Radio One interview on his show (see it HERE) the two have buried the hatched. Kanye appeared on the Jimmy Kimmel Show last night and the two men resolved their issues... see the videos after the cut...

Kuhusu kutekwa kwa Waziri mkuu wa Libya


Libya
Breaking news kutoka Tripoli Libya ni kwamba Waziri mkuu wa nchi hiyo Ali Zeidani ametekwa kutoka kwenye hoteli ambayo amekua akiishi huku tukio hilo likiwa limefanywa na watu wasiojulikana.
SOMA ZAIDI...........

MAITI YA BINADAMU YAKUTWA IMETUPWA JIRANI NA CHUO CHA TUMAINI IRINGA......

Askari wakiutoa mwili wa marehemu jana jioni  katika kichaka juu ya mawe ambapo ndipo ulipotupwa
 SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI......

PICHA:RAY C AKIONESHA MAPAJA YAKE

Huyu  ni  Msanii  mkongwe  maarufu  kwa  jina  la  Ray  C ambaye  leo  hii  ameamua  kuyanadi  mapaja  yake  akidai  kwamba  hiyo  ndo  sehemu  muhimu  ya  mwili  wake...
SOMA ZAIDI........

Wachezaji watano kutoka Afrika watakaocheza ligi ya NBA 2013/2014


NBA Hasheem_Thabeet


Hasheem Thabeet (Tanzania)
Ndio mchezaji mrefu kuliko wote kwenye ligi ya NBA kwa sasa, majuzi wakati timu yake ya Oklahoma City Thunder ikicheza na Charlotte Bobcats Hasheem alicheza vizuri akiwa na point 13 alizofunga pamoja na kudaka Rebounds 10, huu utakua msimu wake wa pili akiwa na OKC.
SOMA ZAIDI.....

Lenox Lewis kurudi ulingoni?

lewis

Bondia Muingereza Lenox Lewis huenda akareja ulingoni miaka kadhaa baada ya kustaafu mchezo huo .
SOMA ZAIDI....

UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI MAGUFULI

 Magari yakirekebisha uzito wa  mizigo baada ya kupimwa katika Kituo cha Mizani cha Mikese Mkoani Morogoro
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

HENRY JOSEPH ALETA UTATA SIMBA


Henry Joseph 
KIUNGO wa Simba, Henry Joseph, ameondolewa katika kambi ya Simba huku Ramadhan Chombo ‘Redondo’ akirudishwa kikosi cha pili.
SOMA ZAIDI.......

LULU NAE AANZA KUJICHORA MATATOO-ONA ALIVYO WAPA UJUMBE MAADUI ZAKE KUPITIA TATOO

Tarehe 9/10 kabla hajalala mwigizaji Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya ambayo imechorwa juu ya kifua karibu na bega ikiwa ni picha aliyoipost na ikaambatana na maneno yafuatayo.
SOMA ZAIDI...........

KAMPUNI ZA SIMU ZAUNGANA NA WANANCHI KUPINGA SEREKALI

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), na kuzikubalia kampuni tano za simu nchini kujiunga katika kesi ya kupinga tozo ya kodi za simu ya Sh 1,000 kwa kila laini kwa mwezi. 
SOMA ZAIDI.......

STEPHEN WASIRA "SINA UFUNGUO WA IKULU, SIWEZI MCHAGULIA RAIS NANI WA KUONANA NAYE"

*Asema hampangii Rais nani aonane naye
*Mtikisiko mkubwa watarajiwa bungeni Dodoma
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema hana mamlaka ya kumchangulia Rais nani akutane naye.
SOMA ZAIDI.......

PICHA: Rose ndauka na mpenzi wake wakila "bata" ufukweni.


Tazama picha nane (8) za mwanadada Rose Ndauka na mpenzi malick bandawe (Mwanamuziki wa kundi la TNG)  wake wakila bata katika ufukwe wa kijiji beach.
ANGALIA PICHA ZAIDI.....

BENNY KINYAIYA AKOMBWA KILA KITU KWENYE KITU KWENYE GARI YAKE NA WAHUNI...CHEKI PICHA HAPA..!!

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mama Land, kinachorushwa na Runinga ya Clouds ya jijini Dar, Benny Kinyaiya hivi karibuni alikombwa vitu kadhaa kwenye gari lake na vibaka mara baada ya kupaki gari nje ya nyumba yake. 
SOMA ZAIDI..........

NAY WA MITEGO"NASUMBULIWA NA WATU WA USALAMA WAKINIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA"

Rapper Nay Wa Mitego amesema amekuwa akisumbuliwa mno na maafisa usalama pamoja na vyombo mbalimbali vya habari wanaomdhania kuwa anajihusisha na biashara ya madaya ya kulevya kitu ambacho amekuwa akikanusha kwamba sio kweli.
SOMA ZAIDI..........

UHURU KENYATTA KUFANYA SHEREHE KUBWA YA KUWAPONGEZA KDF KWA USHINDI WA WESTGATE

Amiri jeshi mkuu wa Kenya, Uhuru Kenyata ameandaa party kubwa ya kupongeza majeshi yake kwa kazi nzuri na ushindi wa walioupata dhidi ya Alshabab katika mkasa wa westgate uliotokea hivi karibuni.
SOMA ZAIDI....

DIAMOND ASEMA HAYA BAADA YA PICHA ZAKE NA WEMA KUZAGAA INSTAGRAM

So baada ya picha kusambaa kwenye internet zikimuinyesha Diamond na Wema Sepetu wakiwa pamoja, Diamond amepost hii picha na kuandika “Katika moja ya muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo,Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii…#Tempations Stay Tunes..Location Somewhere
ANGALIA PICHA ZAIDI......

TAZAMA PICHA 10 WEMA NA DIAMOND WALIPOKUWA MALAYSIA


Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye Jb blog imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti  nchini humo.
ANGALIA PICHA ZAIDI.........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...