facebook likes

Showing posts with label NEWS. Show all posts
Showing posts with label NEWS. Show all posts

Tuesday, April 22, 2014

Sunday, October 20, 2013

UFOO SARO..."NIKIPONA NITAWEKA KILA KITU WAZI"

Mtangazaji wa Kituo cha televisheni cha ITV, Ufoo Saro, ambaye alijeruhiwa kwa kupigwa risasi na mzazi mwenzake Jumapili iliyopita, ameahidi kutoa ya moyoni atakapopona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.Ufoo ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kitengo cha moyo tangu wiki iliyopita kutokana na majeraha ya risasi, afya yake inazidi kuimarika na sasa ameanza kula mwenyewe na kufanya mazoezi ya kutembea.
SOMA ZAIDI..........

Nicki Minaj Na Gari Yake Ya Pink Anayoipenda Zaidi.

 
Nicki Minaj ni msanii asiye na aibu ya kusema mambo gani anapenda kwenye maisha yake na yupo tayari kufanya nini kuyapata. Hivi karibuni alikuwa kwenye duka la K Mart akizindua nguo zake na aliwasili na gari yake mpya iliyo tengenezwa  na kuboreshwa kwa matakwa yake, Yes ndio hio Pink lamborghini Custom made for Minaj. 
Picha Zaidi Ziko Hapa.....

SIMANZII!! .....AUAWA KWA KUKATWA KICHWA NA KISHA KUTUPWA MITA CHACHE KUTOKA NYUMBANI KWAKE...SOMA ZAIDI!!!


Baadhi ya majirani wakiwa jirani na mwili wa marehemu Seba wakisubiri polisi kuja kuuchukua mwili huo

SOMA ZAIDI....

REPOST YA WEMA SEPETU INSTAGRAM KUHUSU DIAMOND ILITENGENEZWA NA HUYU DADA

 
I
ICHEKI HIYO PICHA HAPA CHINI.....

YOUNG DEE AKANUSHA SKENDO YA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA...!!SOMA ZAIDI HAPA

Msanii Young Dee amekanusha uvumi ulioenea mitaani kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya na kusema kuwa pamoja na story hizo kuwa kubwa lakini hali hiyo haijamuathiri sana kwasababu hazina ukweli wowote.

DownLoad Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Nikki Mbishi - Yote Sawa

Ni Moja ya joints kutoka kwenye kanda mseto yake mpya Malcom XI. Wimbo unaitwa yote sawa na Beat imetengenezwa na Nikki Mbishi. 
SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA....

Matokeo Ya Game Za Premier League Za Tarehe 19/10/2014

 
BOFYA "READ MORE" KUYACHEKI.............

CCECC YA CHINA YAONYESHA NIA KUJENGA RELI YA KATI


reli f5ba2
KAMPUNI ya ujenzi na uhandisi wa majengo ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) imesema iko tayari kuja Tanzania na kujenga upya reli ya kati ili iwe ya kisasa zaidi endapo wataombwa wafanye hivyo.
SOMA ZAIDI....

ANKO J... JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIA....


Kaimu Meneja wa Abood Media Abeid Dogoli amethibitishia  kwamba ni kweli mtangazaji wa siku nyingi Tanzania Julius Nyaisanga amefariki dunia leo asubuhi.

Amesema Nyaisanga alipelekwa hospitali ya Mazimbu Morogoro jana saa nane mchana kutokana na kusumbuliwa na Kisukari pamoja na presha ambapo asubuhi ya leo October 20 2013 ndio akafariki dunia.

Mara yake ya mwisho kuingia ofisini ilikua juzi japo alikua ameanza likizo toka October 12 ambapo huu ulikua ni mwaka wake wa tatu toka ameanza kufanya kazi na Abood Media ya Morogoro kama Meneja wa kituo.

2.  AMEACHA MJANE NA WATOTO 3

3. MWILI UNAELEKEA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI HOSPITALI YA MOROGORO...

4. AWALI ALIKUA MTANGAZAJI WA RADIO ONE...KIPINDI CHA MAMBO MSETO ALMAARUFU KAMA BABU WA KIMANZICHANA..UNCLE JJ

ENDELEA KUTEMBELE JOVINBACHWA  BLOG KUPATA UPDATES ZAIDI....

MTANDAO HUU UNAWAPA POLE NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA MASHABIKI WA MAREHEMU....AAAMIIIN...

CHANZO: ITV TANZANIA...

Saturday, October 19, 2013

Kutana na Mwanamuziki Mzuri wa Kiafrika Ambaye Awali Alikuwa Mwanaume


Titica
Mwanamke huyu  kwa jina akijulikana kama  Titica, amekuwa ni gumzo kubwa nchini Angola.
 Siku chache zilizopita UNAIDS ilimpa heshima  mwanamke huyu aliyejibadili jinsia kuwa  Balozi wake.
SOMA ZAIDI........

UNDANI WA ALIYEMPIGA RISASI UFOO.....

KIDOLE CHA KATI ALICHOONESHA SALAMA JABIR KATIKA PICHA HII...CHAZUA MAMBO


 
** *Mtangazaji wa Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani kupitia kituo cha EATV Salama Jabir, wa pili kutoka kushoto akidaiwa kutukana kwa kutumia ishara ya kidole wakati walipokuwa kwenye moja ya haraka za kurekodi matukio ya
kipindi cha EPIQ BSS 2013,

HURUMA: WASTARA AUMIA TENA MGUU...!!


MWANADADA anayeendesha maisha yake kwa kuPkupitia  filamu  za Bongo,  Wastara Juma ameumia mguu baada ya kuwekewa mwingine mpya wa bandia huko Nairobi nchini Kenya.

SOMA ZAIDI.....

INASIKITISHA...MAMA NA WATOTO WAKE WATATU NA MFANYAKAZI WA NDANI WA FAMILIA MOJA WAFA KWA PAMOJA ...

MKOA wa Morogoro na vitongoji vyake kwa sasa umegubikwa na simanzi kubwa baada ya watu watano wa familia moja kufariki kwa mpigo katika ajali ya gari. 
SOMA ZAIDI.......

HII NDO TATOO YA MSANII DIAMOND PLATNUM ALIYEICHORA MIKONONI MWAKE...


DIAMOND3Hit maker wa Song ya “Nikifa Kesho”, na “Number One”  Diamond Platnumz anatarajia kuondoka leo nchini kuelekea china ambako atafanya show huko katika mji wa Guangzhou.
ANGALIA PICHA ZAIDI..........

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA LULU KUHUSU KESI YA BABU SEYA NA WATOTO WAKE....

Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ni star wa filamu anayetamba Swahiliwood ametoa ya moyoni mwake kwa kuwaombea na kuwatakia kila la kheri  Babu Seya na wanawe ambao kesi yao inatarajiwa kusikilizwa upya baada ya kukata rufaa. Lulu ameyasema hayo kwakuwa hata yeye tayari ameshayaonja maisha hayo magumu ya jela. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii star huyo mwenye mvuto aliandika maneno hayo hapo chini kuhusu wanamuziki hao ambao walifungwa maisha miaka michache iliyopita.
SOMA ZAIDI..........

SERIKALI YATANGAZA KUANZA KUTUMIA NDEGE ZA KIVITA ZISIZO NA MARUBANI ILI KUTOKOMEZA MAJANGILI...

TATIZO la ujangili ambalo limekuwa sugu nchini kwa muda mrefu sasa linaanza kupata dawa, baada ya Serikali kutangaza ‘Operesheni Tokomeza’ itakayotumia mbinu za kijeshi.
SOMA ZAIDI..........

SIKILIZA AUDIO YA Zitto Kabwe adai kwamba yupo tayari CHADEMA na CCM wamnyonge lakini Ruzuku hawatapata mpaka wakaguliwe...



Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa hiyo.
BOFYA KUSIKILIZA HAPA CHINI......

KIAMAAAA!!! Wanasayansi watabiri kuwa Mwisho wa dunia huenda ukawa tarehe 26/8/ 2032.....

Dunia tunayoishi, inaweza kufikia mwisho wake August 26, 2032. Kwa mujibu wa wanajimu wa Ukraine, kimondo chenye upana wa futi 1,300 kinakuja kwa uelekeo wa duniani na kinaweza kuiponda dunia kikiwa na nguvu kubwa ya nuclear.
  SOMA ZAIDI....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...