facebook likes

Wednesday, October 9, 2013

Ronaldo sasa azama katika penzi la DJ

 RIO DE JANEIRO, BRAZIL
HAJAWAHI kukosea ndani na nje ya uwanja. Baada ya penzi lake la mkewe, Bia Anthony, kufa Desemba mwaka jana, mkongwe wa soka nchini Brazil, Ronaldo de Lima, ameibuka kivingine kabisa.
SOMA ZAIDI.........

HIVI NDIVYO NANDO ALIVYOSHEREKEA BIRTHDAY YAKE NA WASHIRIKI WA BBA


Katika hali ya kushangaza keki ya Nando iliwekwa picha ya bangi ambapo mashabiki wake walijiuliza kama kweli jamaa ni mtumiaji wa hiko kitu?

ANGALIA PICHA ZAIDI..........

PEPO LA NGONO LAWAVAMIA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA NGUVU MALI,WAFANYA NGONO CHOONI NA DARASANI...

SHULE ya Sekondari Nguvumali wilayani Tanga, inadaiwa kukumbwa na pepo la ngono baada ya wanafunzi wake kubainika wakifanya ngono hovyo chooni, madarasani na njiani  wakati wa kwenda na kurudi kwenye makazi yao.
 Hali hiyo inadaiwa kusababishwa na kushuka kwa kiwango cha elimu shuleni hapo.
  SOMA ZAIDI.....

GARI YA BILIONEA ANAYEMILIKI MANCHESTER CITY YAONEKANA DAR, ANAIMILIKI YUSSUF BAKHRESA

Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.
ANGALIA PICHA ZAIDI......

Photos: Akon Joins Wizkid, BankyW For ‘Roll It’ Music Video Shoot In Ghana

Somewhere in Africa, Ghana, Akon, Wizkid and BankyW are shooting the music video for their hit single ‘Roll it’. Pictures are from last night’s shoot. Another after the cut...

The Secret Of Our Success – P-Square Reveals

Photo: The Okoye Brothers Are The 2nd Richest Artistes In AFRICA! Check Out The Huffington Post Of Top 10 Richest African Musicians List<br />
HERE>>> http://millsmusicent.com/2013/10/the-okoye-brothers-are-the-2nd-richest-artistes-in-africa-check-out-the-huffington-post-of-top-10-richest-african-musicians-list/
P-Square brothers are one of the most successful entertainers in the Nigerian industry to day and they tell us why.

WATUHUMIWA WAWILI WA WIZI...MMOJA AKIWA NA KITAMBULISHO CA USALAMA WA TAIFA WAKAMATWA USIKU KAWE

Watu wawili wanaotuhumiwa kuwa ni wezi a.k.a Wapigaji/Matapeli wamekamatwa usiku huu kwenye hoteli ya Picolo,Kawe jijini Dar es Salaam.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI...

Mariah Carey posts R-rated birthday message to Nick Cannon online

Someone said when you have to go online to get your husbands attention then it sounds like there’s trouble in paradise…lol. But I think she’s just trying to keep things spicey.

TAARIFA KAMILI KUHUSU KIJANA ALIYEFUFUKA NA PICHA ZA KABURI ALILOZIKWA LILIVYOFUKULIWA NA VITU VILIVYOKUTWA VYA KICHAWI..

Shaaban Maulid anayedaiwa kufufuka akiwa na mama yake. 
 Shaaban, alifariki dunia na kuzikwa Januari, 2011 lakini Septemba 30, mwaka huu, alionekana akiwa hai, ingawa alikuwa akizungumza kwa taabu.
SOMA ZAIDI...

Kris Jenner & Bruce Jenner Split After 22 Years Of Marriage!!

Kris Jenner & Bruce Jenner have announced their split after 22 years of marriage. The couple made the announcement via E! News. 

MWANAUME AWAPA MIMBA MKE NA MTOTO WAKE KWA WAKATI MMOJA KENYA....

 Kundi la wanawake walivamia nyumba ya mwanaume mmoja wa makamamo ambaye inaaminika kuwa amempa mimba mtoto wake wa darasa la sita.
SOMA ZAIDI...

How Kim’s mom,Kris sidelined Bruce Jenner & transformed him into dormant husband

After 22 years of marriage, Kim’s mum Kris & Bruce Jenner have separated officially.However many fans took to social media to hail Bruce for his emancipation & new found freedom from the Kardashian family head, Kris..Bruce met Kris when he was a star athlete Gold medalist.

Wanasoka wanaojirusha na watoto wa mabosi wao

Staa huyu wa kimataifa wa Brazil hakuogopa kugonga mlango wa nyumba ya bosi wake mmiliki wa klabu ya AC Milan ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi na kuomba namba ya simu ya binti yake, Barbara Berlusconi ambaye pia ni mmoja kati ya wanabodi wa AC Milan. 
SOMA ZAIDI.....

Jim Iyke And Nadia Buari Wedding To Hold In December ?

Jim-Iyke-and-Nadia1
Popular gossip within celebrity circles in Ghana indicate Jim Iyke and his lady love Nadia Buari have sorted their differences, and are planning to tie the knot in December.

Jaji-Kesi kongwe ziishe haraka

mahakamani_300_185
JAJI Kiongozi wa Tanzania, Fakih Jundu, ameagiza kesi zote zilizokaa mahakamani kwa zaidi ya miaka mitano, kushughulikiwa haraka ili kuondoa mlundikano wa kesi.
SOMA ZAIDI.........

ZITTO KABWE ATAJA MSHAHARA WA WAZIRI MKUU MH PINDA

HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameweka wazi mshahara wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
SOMA ZAIDI....

Chadema,CUF,NCCR wasitisha maandamano

ibrahim-lipumba9_300_173
UMOJA wa vyama vya upinzani vya NCCRMagaeuzi, CUF na Chadema, umesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike kesho.
SOMA ZAIDI....

WAKUU WA KAMPUNI ZA SIMU KENYA WAHOJIWA

Polisi nchini Kenya wamewahoji maafisa wakuu watendaji wa kampuni za huduma za simu za rununu kuhusu usajili wa kadi za simu za mkononi zinazotumia huduma za kampuni hizo. 
SOMA ZAIDI.....

Mabasi yaungana na malori kugoma

mgomo-mabasi_490_280
BAADHI ya mabasi yanayofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini, jana yaligoma kusafirisha abiria kwa saa kadhaa.
SOMA ZAIDI.....

BBA roundup: Elikem designer to the housemates




It’s been a busy few days for the housemates of The Chasetravelling all over Africa to attend birthday parties and just catch-up with the friends they made while in the Big Brother house

Elikem’s days of being a tailor are far from over and The Chase housemates are clearly first in line for new outfits.

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...