Muimbaji Christina Milian ameonesha pete ya uchumba aliyovalishwa na
mpenziwe mpya Jas Prince, na akaliambia jarida la People kuwa "Hakika
nimezama kwenye penzi la mtu niko katika mahusiano yenye furaha sana,
mahusiano madhubuti jambo ambalo ni kubwa, na ananisapoti sana hakika
tunaangalia mbele
MTU anayetuhumiwa kuwa daktari bandia aliyekamatwa akijiandaa
kufanya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC leo atapandishwa
kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Moshi kusomewa
shitaka kwa mara ya kwanza. SOMA ZAIDI...
MCHUNGAJI Ambilikile Mwaisapila wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) amesema Mungu ameendelea kujifunua kwake na
kumuonyesha kuwa Tanzania itakuwa kioo cha Afrika na baadaye kioo cha
dunia. SOMA ZAIDI....
Siku
nyingine hatua nyingine…video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa kufikia
viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound City…Yes,itaonekana
kote huko…#AfrikaNzima…#GoingPlaces…#KeepingTheGoodMusicAlive
Ajali
mbaya imetokea asubuhi ya leo majira ya saa 2 kwenye barabara ya majita
karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa Mara baada ya gari aina ya VX land cruser namba T 901 AHH kuigonga pikipiki iliyokuwa ikitoka maeneo ya mjini musoma kuelekea kamnyonge.
Ni miaka 17 imepita toka legend wa Hip hop
Tupac Amaru Shakur afariki dunia (September 1996) lakini kazi zake
alizozifanya kipindi cha uhai wake zinaendelea kuingiza pesa kutokana na
mirahaba ya kazi hizo.
Kuna uwezekano ile beef ya staa wa
R&B Chris Brown na rapper Drake ikawa imefika ukingoni rasmi baada
ya kuonekana wakiwa pamoja na kukumbatiana katika tamasha la muziki la
iHeartRadio lililofanyika weekend iliyopita huko Las Vegas, Marekani.