facebook likes

Monday, August 12, 2013

JB, Steven Nyerere, na Kiroboto wapata dili ya matangazo airtel. Ni mkataba wa mwaka mmoja

JB, Steven Nyerere, na Kiroboto wapata dili ya matangazo airtel. Ni mkataba wa mwaka mmoja 

........SOMA ZAIDI.......

  • JB, Steven Nyerere, na Kiroboto wapata dili ya matangazo airtel. Ni mkataba wa mwaka mmoja 1
Wasanii watatu wa filamu nchini Jacob Stephen (JB), Steve Nyerere na Bibi Kiroboto wamepata mkataba wa matangazo na kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel utakaudumu kwa muda wa mwaka mmoja.
Katika habari iliyoripotiwa kwanza , Steve Nyerere amesema wameanza na mkataba wa mwaka mmoja ambapo watafanya matangazo ya kampuni hiyo kuanzia kwenye mabango ya barabarani, redioni na kwenye runinga.
Hata hivyo haikuweza kujulikana wazi kuwa mkataba huo utawaingizia kiasi gani kutokana na taarifa za malipo  wanayopata wasanii hayo kudhibitiwa na mkataba walioingia.

chanzo:bongo5

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...