THIS BLOG HAS BEEN CHANGED TO www.darsports.com PLEASE CLICK LINK TO VISIT.
BLOGU HII IMEBADILISHWA KUWA www.darsports.com TAFADHALI BOFYA KUTEMBELEA.
News, Events, Entertainment, Sports, Lifestyle, Fashion,politics, Beauty, Inspiration and yes... Gossip!
facebook likes
Showing posts with label ENTERTAINMENT. Show all posts
Showing posts with label ENTERTAINMENT. Show all posts
Tuesday, April 22, 2014
Sunday, October 20, 2013
Nicki Minaj Na Gari Yake Ya Pink Anayoipenda Zaidi.
Picha Zaidi Ziko Hapa.....
YOUNG DEE AKANUSHA SKENDO YA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA...!!SOMA ZAIDI HAPA
DownLoad Na Sikiliza Wimbo Mpya Wa Nikki Mbishi - Yote Sawa
SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA....
Saturday, October 19, 2013
KIDOLE CHA KATI ALICHOONESHA SALAMA JABIR KATIKA PICHA HII...CHAZUA MAMBO
HURUMA: WASTARA AUMIA TENA MGUU...!!
SOMA ZAIDI.....
HII NDO TATOO YA MSANII DIAMOND PLATNUM ALIYEICHORA MIKONONI MWAKE...
HIKI NDICHO ALICHOKISEMA LULU KUHUSU KESI YA BABU SEYA NA WATOTO WAKE....
Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ni star wa filamu anayetamba Swahiliwood
ametoa ya moyoni mwake kwa kuwaombea na kuwatakia kila la kheri Babu
Seya na wanawe ambao kesi yao inatarajiwa kusikilizwa upya baada ya
kukata rufaa. Lulu ameyasema hayo kwakuwa hata yeye tayari ameshayaonja
maisha hayo magumu ya jela. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii star huyo
mwenye mvuto aliandika maneno hayo hapo chini kuhusu wanamuziki hao
ambao walifungwa maisha miaka michache iliyopita.SOMA ZAIDI..........
Bosi wa facebook anunua nyumba 4 zilizozunguka nyumba yake

Uamuzi
wa hivi karibuni wa kampuni ya Facebook wa kulegeza sera ya kutoingilia
uhuru wa wateja ulisababisha gumzo lakini katika taarifa nyingine,
imeripotiwa kwamba aliyegundua kampuni hiyo ambaye pia ndio bosi wake,
Mark Zuckerberg ametumia dola za Kimarekani milioni 30 kununua nyumba
nne za jirani kwake kulinda uhuru wake.
SOMA ZAIDI........
Picha,:Wale Wanaopenda Sneaker Za Kweli, Nike Mpya 'Nike Air Trainer 1' Ndio Hizi
Wale wanaopenda sneaker za kweli Nike wanasema hii Sneaker ni mjumuisho
wa raba zote kali unazo zifahamu kutoka Nike na yenye kila aina ya
rangi bora. Pia unaruhusiwa kuvalia raba hii na nguo tofauti za michezo
na mtoko pia. Sneaker hii inaitwa Nike Air Trainer 1.
ANGALIA PICHA ZAIDI.....
Photos: Behind the Scene Video ya Shaa – Sugua Gaga

Mitaa ya Manzese ilikuwa ni Uchukuaji wa Picha za Video
ya Audio Mpya ya Shaa Sugua gaga. Ambayo inatarajiwa kutoka wiki kadhaa
zijazo uku teaser ya Audio hiyo pamoja na pics ikielezea utamu na How
video hiyo itakuwa? Pengine hii ni Track na Video ya Kwanza shaa
akifanya ikiwa kwenye maadhi ya radha ya Uswahilini kabisa. akiwa chini
ya usimamizi wa Mkubwa na Wanawe ( Saidi Fella ) Check out Photos za
Video ya Sugua Gaga iliyokuwa inafanyika....
'' KAMA RIHANNA AKINITAKA SIWEZI KUMKATAA''- DANIEL STURRIDGE
Mshambuliaji
wa klabu ya Liverpool Daniel Sturridge amefichua hisia zake kwa nyota wa muziki
wa Pop Rihanna . Katika Interview moja aliyoifanya kwenye jarida la rapa wa
marekani Jay Z, Sturridge alizungumzia usajili wake toka Chelsea kwenda Liverpool
na pia maisha yake ya Mapenzi na zaidi alizungumza kumhusu Rihanna . Soma
maneno yake hapa.....
Tuesday, October 15, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)









