facebook likes

Saturday, August 17, 2013

MUME WA JACK AMMWAGIA SIFA MKEWE



MUME wa mwigizaji, Jacqueline Pentezel, Gardner Dibibi, amemmwagia sifa kibao mkewe akidai tangu afunge ndoa miezi nane iliyopita, hajawahi kuonja chakula cha mtaani kama ilivyokuwa zamani.
...SOMA ZAIDI...

NANDO AZINDUA NGUO ZAKE ZINAITWA ''BROTHERHOOD'' KUINGIA SOKONI WIKI IJAYO..


BRDPxj2CQAAHh_e
.....ANGALIA PICHA ZAIDI....

*YANGA INAONGOZA BAO 1-0 NI KIPINDI CHA PILI KIMEANZA

.........SOMA ZAIDI....

DR JOYCE NDALICHAKO ATEULIWA KUWA RAIS WA UMOJA WA MABARAZA YA MITIHANI AFRIKA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania ( Necta), Dk Joyce Ndalichako, ameteuliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabaraza ya Mitihani Afrika (AEAA), nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Serara Moahi wa Botswana.
.........SOMA ZAIDI.....

AJALI MBAYA YATOKEA KIMARA MWISHO MUDA HUU, TAZAMA PICHA HAPA

AJALI
 Gari lenye namba za usajili T 680 AUC limegonga duka mida hii ya mchana huko Kimara Mwisho mkoani Dar es Salaam
...ANGALIA PICHA ZAIDI....

MWAKYEMBE AELEZEA JINSI MASOGANGE ALIVYOPITISHA DAWA ZA KULEVYA UWANJA WA NDEGE



Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe jana ameanika majina ya watu saba waliohusika kupitisha mabegi tisa yaliyokuwa na kilo 180 za dawa za kulevya zenye thamani ya Sh8 bilioni, 
.....SOMA ZAIDI....

Angalia picha za nyumba za kushangaza duniani:::

......ANGALIA PICHA ZAIDI.....

VIDEO: FEZA AMUONGELEA ONEIL, BIMP,NANDO,POKELLO ,ELIKEM NA MAISHA BAADA YA BBA

.......ITAZAME HAPA.....

TAZAMA PICHA ZA BAADHI YA WASANII WALIOJITOKEZA KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YA “YAHAYA” NYUMBANI LOUNGE

..feza-kessy-lady-jay-dee.........ANGALIA PICHA ZAIDI.....

NEW SONG: MATONYA- TONYA WA LEO

....ISIKILIZE HAPA.....

NEW VIDEO: LADY JAY DEE - YAHAYA

......ITAZAME HAPA.....

NEW VIDEO: M2 THE P FT. CHEGE AND COUNTRY WIZZY -MASAMBEWENA

....ITAZAME HAPA....

UTAFITI: UNYWAJI WA KAHAWA ZAIDI YA VIKOMBE 4 KWA SIKU UNAONGEZA HATARI YA KUFA KATIKA UMRI MDOGO




Utafiti unaonesha kwamba unywaji wa zaidi ya vikombe 4 vya kahawa kwa siku unaweza kuchangia hatari ya uwezekano wa vijana wenye umri mdogo kufa mapema, lakini hii ni kwa wale wa chini ya miaka 55. 
....SOMA ZAIDI....

COVER LA MUVI YA LULU (FOOLISH AGE) NI HILI HAPA..


....SOMA ZAIDI.....

MWANAMKE BILLIONEA AFARIKI DUNIA

rosalia-mera

Watu wengi mtakuwa mnaifahamu brand ya Zara maarufu sana kwenye dunia ya fashion, lakini watu ambao wako nyuma ya brand hii wanaweza wasiwe maarufu. 
....SOMA ZAIDI....

Saigon-Rudia Official video (JAMAA ANAJUA SANA)


TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI:MWANAMKE ABAKWA NA KUCHOMEKWA KISU SEHEMU ZA SIRI HUKO SHINYANGA


MWENYEKITI WA MTAA NOEL MSEVEN AKIUFUNUA MWILI ILI WATU WAUONE.
 Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amekufa katika makaburi ya Majengo soko la mjini Kahama mkoani Shinyanga huku mwili wake ukiwa ametobolewa macho na kuonesha kupigwa na kitu kizito usoni.
....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

HIZI NDIZO APPLICATIONS KUMI BORA ZINAZOTUMIKA KWENYE SMARTPHONE

HIZI NDIZO USEFULL SMARTPHONE APPLICATION ZINAZOTUMIKA  SANA DUNIANI
1.Google Maps

....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

YOUNG KILLER FT STAMINA & QUICK ROCKER - JANA NA LEO (OFFICIAL HD VIDEO)


.......WATCH IT HERE AFTER THE CUT....

Suarez aomba msamaha, afanya mazoezi na timu


Happy as Luis: Suarez looks on with a smile on his face as Iago Aspas (right) chases the ball
Picha za Suarez akifanya mazoezi na timu ya Liverpool baada ya kuomba msamaha.
....ANGALIA PICHA ZAIDI....

EPL Week 1 Fixtures: Most Intriguing Mid-Table Clashes of Opening Week

Hi-res-162962380_crop_north 
Forget about the sulking stars wanting a move away. It's time to play some football.

What Dwight Howard Must Do to Surpass Expectations with Houston Rockets

Hi-res-173408969_crop_650x440
Houston Rockets general manager Daryl Morey always knew which player could complete his championship contending roster.

SHAHIDI WA TANO AELEZA ALIVYOLAZIMISHWA KUZINI NA MCHUNGAJI WA KANISA LA TAG

SHAHIDI wa tano katika kesi ya kutorosha wanafunzi inayomkabili Mchungaji wa Kanisa la TAG, raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), Jean Felix Bamana ameieleza mahakama namna alivyolazimishwa kufanya mapenzi na mchungaji huyo.
....SOMA ZAIDI...

MTANZANIA ALIYEKAMATWA LOS ANGELES AKIRI KUINGIZA HEROINE MAREKANI



Mtu aliyetambuliwa kuwa Mtanzania yumo hatarini ya kufungwa miaka 40 jela nchini Marekani baada ya kukamatwa na dawa za kulevya dawa aina ya heroin zikiwa ndani ya kompyuta pakato (laptop).
...ANGALIA PICHA NA SOMA ZAIDI....

Chris Brown Sentenced To 1,000 Hours Of Hard Labor & Put Back On Probation! Get Deets HERE!


Today a judge sentenced Chris Brown to a whopping 1,000 hours of community labor and also reinstated the probation stemming from his horrific assault of ex-girlfriend Rihanna.

Former B2K Singer Raz B On Life Support In Chinese Hospital Following Nightclub Brawl!





Oh no! The situation is much worse than we previously thought!!!

Justin Bieber Is Ice Ice Baby Blue In His New Custom Ferrari!


justin bieber new car gsi doodle
Oh sweet baby Biebsus, please be careful, Justin Bieber!
- See more at: http://perezhilton.com/2013-08-16-justin-bieber-bought-a-custom-made-ice-blue-ferrari#sthash.9wth814P.dpuf
justin bieber new car gsi doodle
Oh sweet baby Biebsus, please be careful, Justin Bieber!
- See more at: http://perezhilton.com/2013-08-16-justin-bieber-bought-a-custom-made-ice-blue-ferrari#sthash.9wth814P.dpuf
With wheels like that, there's no telling how fast he can floor this thing up to! 

Actress Ini Edo Announced As Judge Of Miss Africa UK Pageant

Ini Edo-Ehiagwina





























Nollywood’s top actress Ini Edo  has been picked as a judge of this year’s MissBlack Africa UK, UK’s largest ethnic pageant! 
The event is slated for October 2013


MUSIC: PSQUARE – MAKOSSA FIESTA





Hehehehe! stumbled upon this way back music from Psquare….. i’m sure most of ya’ll haven’t heard it before…. download and enjoy!!!!!!  
DOWNLOAD MP3 HERE.....

WANAWAKE WENYE NDEVU WANA UTOFAUTI WA KIPEKEE


Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu,
..SOMA ZAIDI...

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...