facebook likes

Friday, September 27, 2013

UNAWAJUWA FREEMASON NA SIGN ZAO PAMOJA NA HARAKATI ZA KIDINI DUNIANI .....INGIA HAPA KUJUA


Hatimaye mbegu ya ‘tamaa’ iliyopandwa na rais Nimrodi wa serikali ya awamu ya kwanza ilipotengeneza‘mimba’ na kuzaa mtoto ‘dhambi’, mtoto huyo alikomaa baada ya kufikisha umri wa utu uzima. 
SOMA ZAIDI..............

ANGALIA PICHA ZIKIMWONYESHA MSANII DIAMOND AKIWA NDANI YA STUDIO KUBWA DUNIANI ZA COKE

Mkali wa Ngololo 'Diamond Platnumz' ambaye anahusika kwenye matangazo ya kampuni ya Cocacola ametupia picha akiwa kwenye Coke Studio za Africa kupitia account yake ya Instragram na haya ndiyo aliyo yaandika.
Something is About to Happen....!! #CocaBoy #WCB Cc @wasaficlassic
ANGALIA PICHA ZAIDI,.....

PICHA:ANGALIA JENGO LA WESTGATE LILIVYOHARIBIKA VIBAYA BAADA YA MLIPUKO...

WestgateANGALIA PICHA ZAIDI....

STAA WA BIG BROTHER MWISHO MWAPAMBA AELEZEA JINSI ANAVYO BAGULIWA NAMIBIA

STAA wa Shindano la Big Brother, Mwisho Mwampamba, amesikitishwa na vitendo vya ubaguzi alivyofanyiwa na Polisi wa nchini Namibia, anakoishi na mkewe, Meryl Shikwambane, ambapo walimfuata kwenye nyumba yake na kumtaka aondoke nchini humo.
SOMA ZAIDI....

Hii ndiyo list ya wasanii 10 wa Hiphop waliongiza pesa nyingi kwa mwaka 2012/13, mjue na mwanamke mmoja ambaye yupo kwenye list hii

0x600Forbes.com wametoa list wasanii wa Hiphop ambao wameingiza pesa nyingi sana kwa muda wa miezi 12 iliyopita.  List imeanza na msanii tajiri kuliko wote kwenye muziki wa Hiphop na kuna mwanamke mmoja tu ambaye yupo kwenye hii list.
SOMA ZAIDI....

OMMY DIMPOZ USO KWA USO NA FAN WAKE MKUBWA DAY 4 NDANI YA JIJI LA NEW YORK !


                       OMMY DIMPOZ USO KWA USO NA FANS WAKE KATIKATI YA JIJI LA NY
ANGALIA PICHA ZAIDI.....

AMWACHIA MGONI WAKE BAADA YA KUMFUMANIA


Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.
SOMA ZAIDI......

UJENZI WA VITUO VYA MABASI YAENDAYO KWA KASI WAENDELEA KWA KASI JIJINI DAR ES SALAAM


Mafundi wa kampuni ya Strabag ambao ni wajenzi wa barabara za mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi wakiendelea na ujenzi katika kituo cha Kimara kama ambavyo inaonekana katika picha.
ANGALIA PICHA ZAIDI.....

Magaidi wafanya shambulio lingine tena nchini Kenya

1Watu wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya kwenye mpaka na Somalia na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaidi ya 11.
SOMA ZAIDI.....

Polisi waliotimuliwa walalamika

Askari 15 wa Jeshi la Polisi nchini wanaodaiwa kufukuzwa kazi Juni mwaka huu, wamelalamikia kuvunjiwa nyumba zao na kuondolewa kwa nguvu na vyombo vyao kutolewa nje ilhali bado hawajapewa barua rasmi za kufukuzwa kazi kutoka makao makuu ya jeshi hilo.
SOMA ZAIDI....

Kuhusu maziko ya Wanajeshi na huyu Mtangazaji waliouwawa kwenye shambulio la Westgate Kenya

36
SOMA ZAIDI.......

MISS UNIVERSE TANZANIA 2013 CONTESTANTS PHOTOS:..: Y’ALL GET READY FOR ONE OF THE MOST COMPETITIVE MISS UNIVERSE TANZANIA EVER!!!

 From Left are Dinah David From Mbeya, Vestina Mhagama  Reppin' Bongo Dar es Salaam,followed by Sasha Lukiko of Dar es Salaam, Angela Lutataza of Dar es Salaam, Clara Noor -Mwanza.....Mariam Ngwangwa of Dar es Salaam, Consolata Mosha of Mwanza, Upendo Dickson of Dar es Salaam, Glady Msemo-Dar es Salaam, Beatrice Boniphace-Dar es Salaam, Aziza,Agnes and Naomi Kisaka

Ajali ya malori manne yaua watu watatu


Watu watatu wamekufa papo hapo kufuatia ajali mbaya iliyotokea katika Mlima Inyara wilayani Mbeya ikihusisha malori manne, mawili kati yake kugongana uso kwa uso yakiwa kwenye mwendo mkali na kisha kulipuka moto ulioteketeza mengine.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI...

2013 MTN 4SYTE TV MUSIC VIDEO AWARDS UNVEILS NOMINEES FOR BEST AFRICAN ACT VIDEO

The 2013 MTN 4syte TV Music Video Awards has unveiled nominees for Best African Act Video .

HII NDIO TOP 10 LIST YA MAZIWA(LAKES) YAKUSHANGAZA ZAIDI DUNIANI

Lake Baikal

The World’s Top 10 Most Amazing Lakes
Living here in Wales, UK I am lucky enough to be surrounded by beautiful lakes to visit. From Lake Vyrnwy, Llyn Trawsfynydd and the mighty Llyn Tegid (Bala Lake) in the summer they are all stunning a great place to visit and walk about. But those lakes I just mentioned are nothing compared to this lot…

LEWANDOWSKI NI KAMA TAYARI AMEKWISHATUA BAYERN, MWENYEWE ASEMA ANAHAMIA BAVARIA JANUARI

Goneski: Robert Lewandowski has confirmed his 2014 move from Borussia Dortmund to Bayern Munich
MSHAMBULIAJI wa Borussia Dortmund, Robert Lewandowski hatimaye amethibitisha atasaini kama mchezaji huru kujiunga na wapinzani, Bayern Munich ifikapo Januari na kuhamia Bavaria Mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu.  
SOMA ZAIDI....

SAMSUNG GALAXY TAB 3 NI ZAIDI YA SIMU

 

Samsung hivi karibuni imezindua Galaxy Tab 3,Galaxy tab 3 ni imeonekana kuwa na  kasi zaidi kuliko Galaxy tab nyingine , Galaxy tab 3 ina baadhi ya vipengele vipya ambavyo havijawahi kuwekwa katika  Galaxy Tab nyingine, Ndani ya Galaxy tab unaweza kupata mambo Mengi zaidi kama Michezo mbalimbali, 3D graphics na mambo mengi zaidi
SOMA ZAIDI....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...