
The actress is cooling off in Vegas, thinking of the future and considering if she should accept her former lover back. The guy came back saying he's serious and wants to marry her. See more photos below:
News, Events, Entertainment, Sports, Lifestyle, Fashion,politics, Beauty, Inspiration and yes... Gossip!

Baada ya Diamond kutoa wimbo wake mpya wa Number one ambae kwa sasa ni gumzo, kila mahali kwenye sherehe ama harusi watu wanacheza staili aliyocheza diamond kwenye huo wimbo ambayo yeye mwenyewe anaiita NGololo ....Hii naitabiria itakuwa staili kubwa ya kucheza kama ilivyokuwa AZONTO ya Kutoka west Africa...Big Up Diamond

