facebook likes

Friday, September 13, 2013

PLEASE VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG

PLEASE VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG

IN THE CATEGORY "The Best Newcomer Blog"

TO VOTE FOR JOVIN BACHWA'S BLOG CLICK LINK BELOW

http://tanzanianblogawards.blogspot.com/2013/09/vote-for-best-newcomer-blog-now.html

MAPYA YAIBUKA KESI YA PAPAA MSOFE...


 Mfanyabiashara maarufu Marijani Abubakari maarufu kwa jina la Papaa Msofe (50)

Upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji inayomkabili Mfanyabiashara maarufu Marijani Abubakari maarufu kwa jina la Papaa Msofe (50), umeiomba Mahakama itupilie mbali ombi lililotolewa na upande wa utetezi kuitaka Mahakama ifute kesi hiyo kwa kuwa upelelezi unachelewa, ni batili na ni kinyume cha sheria. 

SOMA ZAIDI...

HUJUE WASIFU WA FLOYD MAYWEATHER NA CANELO ALVAREZ WATAKAOPIGANA KESHO...


MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AALIKWA KUHUDHURIA NEW YORK FASHION WEEK SHOW NCHINI MAREKANI.

 Mkurugenzi msaidizi na Meneja Masoko  Bw. Deaogratius Kessy (katikati) wa Kampuni ya Ubunifu ya Sheria Ngowi akimuelezea Mbunifu wa Mavazi Sheria Ngowi juu ya mwaliko alioupata kuhudhuria New York Fashion Week Show nchini Marekani.
SOMA ZAIDI....

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULSHO KUTOKA KWA BALOZI WA ITALIA LEO JIJINI DAR

 Rais Mh.  Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mpya  Dkt. Luigi Scotto (Kulia) kutoka Italia  katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu- Dar es Salaam..
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

MZEE GURUMO AKIRI KUFUMANIWA NA MKE WA MTU....!!! Soma hapa kwa taarifa kamili...!!!


                                        Maalim Mohamed Gurumo ‘Mzee Gurumo’
SIKU chache baada ya kustaafu muziki, mwanamuziki mkongwe nchini, Maalim Mohamed Gurumo ‘Mzee Gurumo’ amekiri kupitia maisha mabaya ujanani ikiwemo kufumaniwa na mke wa mtu pamoja na uvutaji wa ‘sigara kubwa’ .
SOMA ZAIDI....

AIBU YA MWAKA...!!! MTUHUMIWA AJIKOJOLEA MAHAKAMANI HUKO MKOANI MOROGORO....



MTUHUMIWA, Manfred Adam anayekabiliwa na kesi ya kutishia kuua katika hali isiyotarajiwa amelimwaga kojo katika Mahakama ya Mwanzo na kuleta vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa meza ya Mahakama ya Mwanzo ya Mazimbu mkoani  Morogoro mwanzoni mwa wiki hii.
 SOMA ZAIDI....

HII NDIO TATOO ALIYO CHORA AMBER ROSE {usoni}AMBAYO WADAU WASEMA KUWA NI YA IMANI YA DINI YA KISHETANI


Wiki Iliyopita Amber alionyesha picha iliyoshangaza wengi baada ya kuona Tatto ya msalaba kwenye paji lake la uso, Msalaba huo unaonekana ukiwa umechorwa tofauti, JuU ni Chini na chini pamekuwa juu. 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

BINADAMU 200,000 KWENDA KUISHI MILELE KATIKA SAYARI YA MARS KUANZIA MWAKA 2016...


Greda itakavyokarabati ardhi kuwezesha watu kuishi Mars. 
SOMA ZAIDI....

Chinedu Ikedieze and wife share vacation photos


Aki and his wife are currently on vacation in the US and shared these photos. He's looking fresh!

CHEKI JINSI GARETH BALE ALIVYOKUTANA NA RONALDO KWA MARA YA KWANZA

1
Wachezaji wawili wenye historia ya kuweka rekodi ya kuwa wachezaji ghali kuliko wote hii leo wamekutana kwa mara ya kwanza kabla ya mazoezi ya timu yao .

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI...

Kim and Kanye inspect construction of their $11million mansion


Kim and Kanye, who have been living with Kim's mum since welcoming their daughter, were seen yesterday inspecting on-going construction of their $11million mansion in Bel Air. Kim bought the stunning Mediterranean-style mansion brand new last month but wanted some renovations before moving in.

H.BABA NA FLORAH MVUNGI WAMPATA MTOTO WA KIKE NA KUMUITA TANZANITE.


Tanzanite
Wasanii maarufu nchini H Baba na mkewe Frolah Mvungi wamefanikiwa kupata mtoto wa kike jana jioni majira ya saa 12:30 katika hospitali ya
Maria Stope iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
SOMA ZAIDI...

SHILOLE KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU BAADA YA KUANIKA MAUNGO YAKE JUKWAANI.


Shanga za Shilole zikionekana kiunoni sambamba na nguo yake ya ndani wakati akitumbuiza jukwaani
MWENYEKITI wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania, Kimela Billa, ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole ambaye pia ni muigizaji wa filamu kwa kosa la kukiuka maadili ya Tanzania katika tamasha la Serengeti Fiesta, mkoani Iringa.
SOMA ZAIDI...

WENGER: NISIPOTWAA TAJI MSIMU HUU, NITAONDOKA ARSENAL

Invincible: Wenger with the Premier League trophy in 2004 after Arsenal's undefeated seasonKOCHA Arsene Wenger amesema mustakabali wake Arsenal kuendelea kuwa kocha utategemea na mafanikio au kufeli kwake msimu huu baada ya kuboresha timu kwa kumsajili Mesut Ozil kwa dau la rekodi.
SOMA ZAIDI...

ETO'O AWEKA BAYANA; "NILIKUWA NAMCHUKIA MOURINHO NA SIKUTAKA HATA KUFANYA NAYE KAZI"

Friends reunited: New Chelsea striker Samuel Eto'o is delighted to be working under Jose Mourinho once againMSHAMBULIAJI Samuel Eto'o amesema kwamba alikuwa anamchukia kocha Jose Mourinho kabla ya kuanza kufanya naye kazi Inter Milan.
 SOMA ZAIDI.....

GARETH BALE AFANYA TANGAZO LA JEZI MPYA YA REAL MADRID, RONALDO...

Curtain call: Gareth Bale emerges in Rea Madrid's new orange third kit
Curtain call: Gareth Bale emerges in Real Madrid's new orange third kit
 NYOTA mpya wa Real Madrid, Gareth Bale ameanza mazoezi rasmi leo na kukutana na mchezaji nyota zaidi wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo.
SOMA ZAIDI...

REGNALD MENGI NA WAZIRI SOSPETER MUHONGO WASHIKANA MASHATI...


MWENYEKITI Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wameingia katika mzozo mzito kuhusu uwekezaji katika sekta ya gesi.
SOMA ZAIDI....

TUNDU LISSU AITUNISHIA MSULI CCM.., AKATAA UAMUZI WA CCM KUTAKA KUIFUTA KESI YAKE

WAKATI viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakiwasili mjini Dodoma kuungana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, katika rufaa ya kupinga ubunge wake inayoanza kusikilizwa leo, mbunge huyo amekataa uamuzi CCM kutaka kuifuta kesi hiyo.
SOMA ZAIDI..........

MTANZANIA ANASWA AKILAWITIWA NA MZUNGU CHOONI.., WAJITETEA NA KUDAI ETI WALIKUWA WANANYONYANA "Ma**u****"



MDOSI au Kanjibai aliyefahamika kwa jina moja la Milah ambaye ni bosi wa kampuni moja ya ujenzi yenye makao yake Mwenge jijini Dar alinaswa chooni akiwa na mfanyakazi wake, John Carlos ‘Shabani’ (watu walimpachika jina la Shabani kutokana na Kanjibai wa kwenye Komedi) ikidaiwa walikuwa katika mazingira ya ulawiti...
SOMA ZAIDI..........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...