facebook likes

Thursday, August 22, 2013

KOCHA WA DINAMO ZAGREB ATIMULIWA BAADA YA KIPIGO.


RAIS wa klabu ya Dinamo Zagreb ya Croatia, Zdravko Mamic ametangaza kumtimua kocha wake Krunoslav Jurcic baada ya kipigo cha mabao 2-0
SOMA ZAIDI....

JOSE MOURINHO:"TUTATUMA OFA NYINGINE KWA UNITED KUMSAJILI ROONEY" - UNITED YARIPOTIWA KUWA TAYARI KUMUUZA LAKINI DILI LAZIMA LIMHUSISHE MATA


Jose Mourinho amethibitisha kwamba Chelsea kwa sasa watasitisha mbio zao za kumuwania mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney mpaka klabu hiyo itakapocheza na United kwenye dimba la Old Trafford siku ya jumatatu.
SOMA ZAIDI.........

PICHA YA SIKU: SHOMARY KAPOMBE ALIPOTAMBULISHWA RASMI AS CANNES YA UFARANSA


JOKATE MWEGELO ATOA SIRI YA KUZIMIKIWA NA WANAUME WENGI..DIAMOND ATAJWA

Mrembo anayefanya vizuri katika mambo mengi sana nchini Jokate Mwegelo amezungumza na kutaja Mambo manne yanayomfanya apendwe sana na wanaume wengi hapa nchini.
SOMA ZAIDI..............

BAD MARKET: American Star, Brandy Performs For Empty Seats In South Africa

American star in South Africa at the weekend when she performed for empty seats at the 90,000-capacity FNB Stadium in Soweto, South Africa.

TUNDAMAN AFANIKIWA KUWATOROKA POLISI AKIWA NUSU UCHI....KISA NI DENI LA LAKI NANE


Msanii Tundaman amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya kujitosa nusu uchi mtaani akiwakwepa askari polisi ambao walivamia kwake leo asubuhi kwa lengo la kumkamata.... 

HAWA NDO WATOTO WA BILIONEA ALIYE UWAWA ARUSHA WAKIWA TAYARI KUSIKILIZA KESI DHIDI YA MAUAJI YA BABA YAO

Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana

Ex-BBA Vimbai is new Face of Nokia Lumia 520 campaign in Africa


Nokia and Africa Magic have launched a brand new campaign for one of the most remarkable products in the Lumia smartphone series, the Nokia Lumia 520. Not only is it one of the most affordable smartphones on the market, it is a stylish user-friendly device with cutting-edge technology and precision in customer experience.

Jude Okoye signs hot female artist Cynthia Morgan to his record label

1,300 Syrians gassed in their beds inside Damascus suburb

Shocking photos have been released showing the aftermath of the deadly chemical weapons unleashed on Damascus suburb, Ain Tarma, where 1,300 innocent Syrians were gassed in their beds

Star wa "Prison Break" Wentworth Miller (Scolfield) amejiweka wazi kuwa yeye ni Shoga

Star wa “Prison Break”,  Wentworth Miller  a.k.a Michael Scofield, amejitangaza kuwa yeye ni “Gay” (shoga), katika barua ya wazi aliyoiandika kwenda kwa Directoe wa St. Petersburg International Film Festival (tamasha la filamu la kimataifa la St. Petersburg)
SOMA ZAIDI.......

FURSA NDANI YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAPEMA LEO MKOANI TABORA.

 Msanii wa Muziki wa kughani Mashairi, Mrisho Mpoto,akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa Clouds Media Group muda mfupi baada ya kumaliza kutoa soma la Kamata Fursa Twenzetu ndani ya ukumbi wa Chuo cha fursa ya chuo cha utumishi wa umma mkoani Tabora mapema leo.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI........

BREAKING NEWS: NDEGE YAPATA AJALI NA KUANGUKIA NDANI YA ZIWA MANYARA


Meza yetu ya habari imepokea taarifa ya ajali ya ndege  iliyoipata  moja ndege za Kampuni ya Tanzanair  iliyokuwa inafanya safari yake  toka Bukoba kuelekea Zanzibar ikiwa na abiria sita na rubani. 
SOMA ZAIDI........

UPDATE:PONDA HALI YAKE MBAYA...

SIKU chache baada ya kupelekwa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar kisha Mahakama ya Mkoa Mrogoro kwa helikopta, hali ya kiongozi na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda imedaiwa kuwa mbaya. 
SOMA ZAIDI........

New Video: Dr. Sid – Talented

Dr Sid - August 2013 - BellaNaija


The Love Doctor presents his spanking new music video.

John Legend asherehekea Birthday yake kwa kujianika uchi wa mnyama

SOMA ZAIDI.................

FAMILIA YA MASOGANGE WAAMUA KUMWACHIA MUNGU ISHU YA MTOTO WAO

 FAMILIA ya Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ inadaiwa kumwachia Mungu ishu ya binti huyo kukamatwa na madawa ya kulevya Julai 5, mwaka huu nchini Afrika Kusini.
SOMA ZAIDI............

Video:Going Bongo Trailer


Wentworth Miller Comes Out As Gay & Snubs Russia's Anti-LGBT Laws, & We Love Him For It!!!

wentworth miller russian smack down anti lgbt laws st petersburg film festival gay


Role model alert!

Wentworth Miller doesn't limit his heroics to our TVs — the Prison Break stud is a hero in REAL LIFE too!

MBULGARIA ATUHUMIWA KUIBA MILIONI 12.2/= KWENYE ATM

RAIA wa Bulgaria, Todor Peev (38), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 20 ya wizi wa Sh milioni 12.2 kupitia mashine za kutolea fedha (ATM).
SOMA ZAIDI.........

Diddy's Bad Boy Entertainment Getting Sued By Former Intern For Making Her Work Unpaid

diddy judy eddy wenn20319046

'Cause it's All About the Benjamins!
Diddy’s record label, Bad Boy Entertainment, is being sued by a former intern who was not paid during her tenure at the company.

PHOTOS - Dramatic Scenes As The 610 Kg Man is Airlifted

Khalid Mohsen Shaeri is removed from his Jazan apartment with a forklift
A Saudi Arabia man who may be the heaviest person in the world is now getting proper medical treatment, thanks to his king.

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...