facebook likes

Friday, September 6, 2013

Producer akata mzizi wa UNAFIKI kati wa Dayna na Diamond


Baada ya sakata la kuibiana nyimbo lilichokua takribani siku mbili kati ya msanii Diamond Platnum na Dayna Nyange,producer Shedy  ameamua  kukata  mzizi  wa  fitina  kwa  kuuanika  ukweli  wa  mambo....
SOMA ZAIDI............

Daz Baba achanganyikiwa na kuwa KICHAA... wadau wasema ni Bangi na Madawa ya kulevya




Habari kutoka kwa chanzo cha uhakika zinadai kuwa msanii wa zamani wa kundi Daz Nundaz na hitmaker wa ‘Figure Namba 8′ Daz Baba amechanganyikiwa kutokana na hivi karibuni kuonekana akifanya vitendo ambavyo havilingani na mtu mwenye akili timamu.

SOMA ZAIDI.............

Msikiti wateketea kwa moto mjini dodoma baada ya moto wa jiko kusambaa

Picha ya maktaba:

Msikiti mkubwa wa barabara ya saba mjini Dodoma  umewaka  moto  mchana  huu  ikiwa  ni  muda  mfupi  baada  ya  swala  ya  mchana  kumalizika....
SOMA ZAIDI..........

JWTZ yatoa sababu 200 zilizoifanya Tanzania ipambane na waasi wa M23



Ushiriki wa Tanzania katika Operesheni ya Ulinzi wa Amani nchini DRC, unatokana na mgogoro kati ya Serikali DRC na waasi hususan kikundi cha waasi cha M23.

SOMA ZAIDI.......

TUKIO LINGINE LA TINDIKALI:Picha ya Mwanamke aliyemwagiwa Tindikali Usoni na Kuharibiwa Kabisa Kisa Ni Wivu wa Mapenzi

Blessing baada ya kuharibiwa sura
Cyrill Okusan kijana wa miaka 22 ametajwa kama muhusika wa unyama huu,Tayari ameshafunguliwa mashtaka kwa kosa hili.
SOMA ZAIDI.........

Tazama Picha 17 za Beyonce na Jay z Wakiwa Beach Wanashindana Kuogelea wakiwa na Mtoto Wao Blue Ivy

Beyonce turned 32 yesterday Wednesday September 4th and
 celebrated the day with husband Jay Z, daughter Blu Ivy and friends aboard a luxury yacht in Stombli, Italy. Photos of the superstar couple were taken as they prepared to dive off their luxury yacht into the sea. 
ANGALIA PICHA ZAIDI.........

Angalia music video ya mwisho kabisa ya T.I.D na Ngwear

ITAZAME VIDEO HAPA...........

WASOMI WAWASHANGAA WANASIASA

  Profesa Mwesiga Baregu
MWANAZUONI na Mtaalamu wa Sayansi ya Siasa nchini, Profesa Mwesiga Baregu, ameitaka Serikali kutoa majibu iwapo Kamati ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala imefuata utaratibu na kuwashirikisha Wazanzibari kutoa maoni yao katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. 
SOMA ZAIDI...........

HUYU NDIYE DAKTARI FEKI WA UPASUAJI ALIYE KAMATWA KCMC...MATUKIO KATIKA PICHA YA KUKAMATWA KWAKE

Afisa uhusiano wa hosptali ya Rufaa ya KCMC,Gabriel Chisseo akimwonesha anayedaiwa kujifanya daktari katika hosptali hiyo (Daktari Feki) aliyetambulika kwa jina la Alex Massawe.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.............

HIVI NDIVYO MH.SUGU ALIVYO NG'OA KIFAA CHA KUONGELEA (MIC) BUNGENI JANA KATIKA VURUGU


vurugusugu_dd67c.jpg
Jana, Bingwa wa Dunia wa uzani wa kati (super middle), unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani (WBF), Francis Cheka alitembelea Bunge baada ya kutwaa taji hilo karibuni na jana hiyohiyo, Bunge hilo lilishuhudia ngumi kavukavu katika vurugu kubwa pengine kuliko zote zilizowahi kutokea katika ukumbi wake.
SOMA ZAIDI...........

Magna Carta Holy Grail ya Jay Z yafika level mpya


magna-carta-holy-grail
.
Album ya Jay Z “Magna Carta Holy Grail” ambaye ilitoka mwaka huu kupitia digital download kwenye simu za Samsung, kwa mara nyingine tena ime-make headlines kwa kufika platinum sales kwa mara ya pili. 
SOMA ZAIDI...........

Ngoma mpya ya muigizaji Eddie Murphy akiwa na rapper Snoop Lion

red-light-cover
ISIKILIZE HAPA............

Waandishi wafatiliaji, sasa hivi wanamuandama mama Lebron James mapenzini na rapper huyu wa miaka 31

mama lebron 4
Stori zimetembea kwamba mama mzazi wa staa wa mpira wa kikapu Lebron James aitwae Gloria yuko mapenzini na rapper wa Miami anaitwa Lambo ambapo kinachofanya waongelewe sana ni tofauti ya umri wao, yani mama ana miaka 44 na Lambo ana miaka 31.
SOMA ZAIDI..............

Picha 13 za vurugu zilizotokea bungeni Dodoma sept 5 2013


21Ni vurugu ambazo zimetajwa kutokea kwa mara ya kwanza kwenye historia ya bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakati wa mjadala wa muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba.
ANGALIA PICHA ZAIDI........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...