facebook likes

Monday, September 30, 2013

Rafiki Mpya Wa Davido, Footballer Samuel Eto'o, Picha Iko Hapa

Urafiki wa stars wa muziki na Michezo unazidi kuwa mkubwa, Hivi karibuni tuliona picha ya Rapper Drake akiwa na Man Untd star Nani, Leo nakupa hii mpya Ni Star Davido na Samuel Eto'o.
SOMA ZAIDI....

Mama Mzazi Wa Drake Afunguka Baada Ya Kukerwa Na Mistari Ya Drake Kuhusu Yeye, Fuatilia Hapa

Rapper Drake ambaye kwa sasa yupo busy akifanya interview kuhusu album yake mpya ya "Nothing Was The Same" amefunguka kuwa Mama yake mzazi amekasirishwa sana na mistari yake kwenye wimbo wake wa "Too Much" baada ya Drake kumchana kuwa anapenda kujiambia anaumwa na kukaa nyumbani bila kufanya kazi yoyote.
SOMA ZAIDI...

Jordin Sparks Ndio Video Model Kwenye Video Mpya Ya Mpenzi Wake Jason Derulo, Inaitwa Marry Me. Ipo Hapa

Mara nyingi tunaongelea mapenzi ya  Jay z Na Beyonce, Chris Brown Na Rihanna, Kwa sasa wanao teka headlines duniani kama wapenzi ndio hawa wawili. B & J.
SOMA NA ANGALIA VIDEO HAPA.....

Rapper Wako Bora Nikki Mbishi Kutoka Tamaduni Musik Ametoa Cover La Album Yake Mpya, Liko Hapa


SOMA ZAIDI....

BET Hip Hop Awards Cypher Mwaka Huu, Watakao Chana Ndio Hawa

Katika jambo linalo pendwa zaidi na mashabiki wa Hiphop ni Cypher za Tuzo Za BET Na mwaka huu Orodha imeongezwa hivi.
SOMA ZAIDI...

APEWA ADHABU YA KUOSHA GARI LA ZIMA MOTO KWA KOSA LA KUWAPIGIA SIMU NA KUWADANGANYA KIKOSI CHA ZIMA MOTO

 
Mmoja wa wakazi wa Rugelele kata Rujewa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya  DUKA MKWILA[20]ni miongoni mwa wananchi waliopiga simu za uongo katika kikosi cha zimamoto mkoa wa mbeya akiwa amepewa adahabu ya kuosha gari la zimomoto.

SOMA ZAIDI.....

"ACHENI KUMLAZIMISHA RAIS KIKWETE KUSAINI MUSWADA"....ZITTO

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kabwe Zitto amewaonya baadhi ya wanasiasa wa vyama vya upinzani na chama tawala kuacha kumlazimisha Rais Kikwete kutekeleza maoni yao binafsi kuhusu Muswada wa Sheria uliopitishwa na Bunge ili kufanya marekebisho ya Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya mwaka 2011.
SOMA ZAIDI.....

MISS KISWAHILI "REHEMA FABIANI" AKIRI KUKAMATWA NA KUWEKWA MAHABUSU KWA WIKI MBILI NCHINI CHINA KWA MADAWA YA KULEVYA

Rehema Fabian.
WAKATI msanii Agness Gerald ‘Masogange’ akisubiriwa kutua Dar baada kumaliza msala wake huko Afrika Kusini, skendo ya baadhi ya wasanii Bongo kuhusishwa na usafirishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’, lingine limeibuka ambapo Video Queen Rehema Fabian amekiri kukamatwa nchini China kwa ishu hiyo.
SOMA ZAIDI.......

RIPOTI KAMILI YA KIFO CHA DADA WA MWEKITI WA CHADEMA MH. FREEMAN MBOWE ALIYEPINDUKA NA GARI...!!!


DADA wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefariki papo hapo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupasuka tairi ya mbele na kuingia chini ya daraja baada ya kupinduka na kusababisha watu wawili kufa na wengine watatu kujeruhiwa vibaya.
SOMA ZAIDI...

HIVI NDIVYO MKUU WA WILAYA YA MBULU ALIVYOWAPIGIA WANANCHI MAGOTI NA KUWAOMBA MSAMAHA...!!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQP80nW7xZ4PDCAs4Jow7BBpfcjERgjb98_N0rRLUh6rYFOppF4BLGPJq4yUvM5VoNDwO5sHGYfurLUY57uftw1SpYvRsRzWONdJYfou4jzLGccR1dCNEfOwMdFSI8FfdnHB9deFUeJA-z/s1600/dc.jpg
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara, Anatory Choya akiwa amewapigia wananchi magoti kwa maana ya kuonyesha unyenyekevu Mbulu.
SOMA ZAIDI....

OPERESHENI KIMBUNGA YAFUMUA KIJIJI HARAMU CHENYE DOLA YAO...

KAMPENI ya kitaifa ya kuondoa wahamiaji haramu nchini iliyopewa jina la Operesheni Kimbunga, imefanikiwa kusambaratisha kijiji cha wahamiaji haramu wa Burundi waliokuwa wamejitengenezea dola yao nchini, kiasi cha
hata kutumia sarafu ya Burundi ilihali wakiwa Tanzania.
SOMA ZAIDI......

PCCB YAMWAGA NAFASI ZAIDI YA 500 ZA KAZI (AJIRA ) KWA VIJANA WA FANI MBALIMBALI , DEADLINE NI OCTOBER 21/ 2013...SOMA HAPA USIPITWE!!!

 


SOMA HAPA............

BREAKING NEWZZZ.....MSANII WA BONGO FLEVA MACK MALIK WA WATEULE AFARIKI DUNIA LEO

MACK MALIK SIMBA wa WATEULE amefariki dunia Leo Asubuhi...
SOMA ZAIDI...

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...