facebook likes

Wednesday, September 25, 2013

HIVI NDIVYO MTU MZIMA ALIVYOLIA KAMA MTOTO BAADA YA KUFUMWA NA MKE WA MTU GESTI

 

SHETANI anazidi kuiatamia dunia, ulimwengu unawayawaya! Jamaa mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Manfree, mkazi wa Kimara Mwisho, Dar ambaye inadaiwa ni mfanyabiashara wa baa iliyopo Mbezi Mwisho (Mbezi Shamba) anadaiwa kunaswa na mke wa mtu (jina tunalo).Manfree baada ya kunaswa na mke wa mtu.

SOMA ZAIDI....

OMMY DIMPOZ NOMA SANA, SHOW YAKE YA MARYLAND MAREKANI YAFUNIKA MBAYA.

ANGGALIA PICHA ZAIDI.....

Mpwa Wa Rais Uhuru Kenyatta Alipigwa Risasi Nane Baada Ya Kumkinga Mchumba Wake Aliyeuawa Pia Kwenye Shambulio La Kigaidi.

Mpwa , ndugu wa kenyata

Mpwa wa Raisi Uhuru Kenyata
Taarifa zinasema kwamba Mpwa wa Rais Uhuru Kenyatta anayejulikana kwa jina la Mbugua siku ya Jumamosi (Sept 21) alikwenda na Mchumba wake Rosemary katika jengo la biashara Westgate kununua pete za ndoa kwaajili ya maandalizi ya harusi yao,
SOMA ZAIDI....

Pictures From Actor Mike Ezuruonye’s Birthday – Cossy Orjiakor, Osita Iheme, Julius Agwu

Nollywood actor, Mike Ezuruonye turned 31 on September 21st, and to celebrate he partied with friends, colleagues and celebrities.
More pics after the cut

WANAFUNZI 300 ELIMU YA JUU KUKOSA MIKOPO


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa

Zaidi ya wanafunzi 300 wa elimu ya juu wa vyuo mbalimbali watakosa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kutokana na kushindwa kujaza fomu za kuomba mikopo katika kipindi kilichowekwa. 
SOMA ZAIDI....

SERIKALI YAPUNGUZIA KODI MALORI KUTOKA RWANDA....

Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa,
Serikali imesalimu amri kwa kuamua kupunguza kodi ya barabara kwa malori yanayotoa bidhaa nchini Rwanda kuja nchini kutoka Dola za Marekani 500 hadi 152. 
SOMA ZAIDI.......

RAIS KENYATTA AWATAJA WALIOHUSIKA NA SHAMBULIO LA KIGAIDI KWENYE JENGO LA WESTGATE JIJINI NAIROBI..!!

Wakati jengo la ghorofa tatu lililovamiwa na magaidi likiripotiwa kuanguka jana na kuua watu sita, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema mwanamke mmoja raia wa Uingereza na Wamarekani wawili au watatu wanashukiwa kuongoza shambulizi la kigaidi lililofanywa katika jengo la biashara eneo la Westgate, Nairobi, Jumamosi iliyopita. 
SOMA ZAIDI......

WATU WAWILI WAKAMATWA NA MAITI YENYE MADAWA YA KULEVYA TUMBONI HUKO TABATA....!!

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na maiti, iliyokuwa na pipi 33 za dawa za kulevya aina ya heroin tumboni.
SOMA ZAIDI....

GAIDI WA KIKE ALIYEONGOZA MASHAMBULIO DHIDI YA RAIA JIJINI NAIROBI KWENYE JENGO LA WESTGATE ADAIWA KUUAWA..

Huku mapambano yakiwa yamepamba moto, anayedaiwa kuwa Kiongozi wa kundi la magaidi lililovamia jengo la kibiashara la Westgate, Samantha Lewthwaite inadhaniwa kuwa ameuawa..
SOMA ZAIDI.....

TAKWIMU: JUMLA YA WATU MILIONI 74 KOTE DUNIANI HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA...!!

Wakati kiwango cha watu wazima wasiojua kusoma na kuandika kikiongezeka kwa asilimia nane kuanzia mwaka 1990, taarifa ya utafiti mpya inasema bado kuna watu milioni 774 duniani wasiojua kusoma wala kuandika.
SOMA ZAIDI.....

Photo: Jackie Appiah Ghana’s Most Beautiful Actress Ever!

http://distilleryimage5.ak.instagram.com/890b140e249511e3ac5022000a9f18b3_7.jpg
Beautiful beyond description…..Well facially!
If you disagree then show me a face from Ghana more beautiful than this…………
I said face,not the whole works. Black is indeed beautiful eeeeh

Tiwa Savage Rocking Yello MTN Project Fame Outfit!

http://distilleryimage2.ak.instagram.com/36c48fe8248311e3aaa522000ae81dfe_7.jpg
Beautiful! flawless! breath taking! …

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...