With Dbanj appearance is everything.He attended a wedding looking
like a million dollars.Don’t know the name of those shoes but I bet they are pretty expensive…
Siku ya jana akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, mwanadada wema sepetu alipata nafasi ya kufanya interviewna mtandao wa burudani wa bongo five.
Katika
interview hii, wema sepetu ameongelea mambo mengi sana na makubwa
yakiwema mapenzi, na maisha yake bunafsi kwa ujumla. Ifuatayo na sehemu
ya interview hiyo kama iliyonukuliwa toka mtandao kwenye mtandao huo
Miss
Philippines Megan Young mwenye umri wa miaka 23 amevishwa taji la Miss
World ambalo limefanyika huko Indonesia. Megan ni mzaliwa wa Marekani na
ana umri wa miaka 23 anasomea mambo ya digital film. Mshindi wa pili
ametoka France na watatu kutoka Ghana.
Paul of Psqaure shares a picture of him and his boo having fun in
their sitting room, he said quoted Anita makes her happy when ever hey hang out… Home chilling with ma swt hrt Anita. #Family #Humble #OneSpecialOnethatMakesMeHappy *wink*
Mwanadada wa Nigeria Honey J. Wills anayependa kuitwa jina la Amber Rose
mwishoni mwa wiki aliweza kutimiza ndoto hizo baada ya kukutana na
mwanadada huyo katika mashindano ya Miss Earth.
Majambazi saba akiwemo mmoja ambaye
amevalia sare za polisi wameiteka benki ya I&M jijini Dar es Salaam
na kuchukuwa fedha zinazohisiwa kuwa ni zaidi ya shilingi milioni 150
na kutokemea kusikojulikana. SOMA ZAIDI.....