facebook likes

Wednesday, August 21, 2013

BABA YAKE BOB JUNIOR AFANYA SHOO YA KUFA MTU NCHINI FINLAND

Bob Junior ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva lakini kipaji hicho ni kama amerithi kutoka kwa baba yake mzazi Mr. B Rummy Nanji ambaye pia ni mwanamuziki maarufu akifanya kazi zake ulaya.

Nyumba yalazimika kubomolewa ili kumtoa kijana mwenye kilo zaidi ya 600 apelekwe hospitali kwa agizo la Mfalme Abdullah.

B_Id_411796_Shairi_
Raia mmoja wa Saudi Arabia mwenye uzito wa kilo 610 amelazimika kuchukuliwa kwa ndege kupelekwa hospitali baada ya kushindwa kutoka chumbani kwake kwa muda wa miaka miwili na nusu.
SOMA ZAIDI...........

Mizigo ya Justin Bieber yakaguliwa uwanja wa ndege baada ya kuhisiwa kubeba dawa za kulevya.

BIEBER BAGS 2
Mabegi ya muimbaji kinara wa Marekani Justin Bieber umezuiliwa na kukaguliwa katika uwanja wa ndege wa Ft. Lauderdale uliopo Florida baada ya kutolewa dokezo kuwa msanii huyo na kundi lake wamebeba dawa za kulevya.
SOMA ZAIDI............

FILAMU YA TABIA YAZINDULIWA KWA KISHINDO


Katibu Mtendaji Bodi y Filam Tanzania, Bi Joyce Fissoo akionyesha bango la filamu mpya ya “TABIA” ambalo alilizindua katika ukumbi wa May Fair Plaza uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

HII ndo KAULI ya DIAMONDI ...BAADA YA KUHUSISHWA NA MADAWA YA KULEVYA


Msanii Wa Muziki wa Bongofleva mwenye jina kubwa Town na mwenye Mkwanja mkubwa hapa nchini Nasseeb Abdulmaliki “Diamond” amejitokeza na kukanusha kuwa hahusiki na biashara ya madawa ya kulevya.
SOMA ZAIDI.............

HII REKODI BALAA..!!!!!!!!!!!!!!


f

HAYA NDO MAGAZETI YA BOTSWANA YAKITAWALIWA NA HABARI ZA FEZA NA ONEAL


Sony's PlayStation 4 to go on sale in the UK on 29 November with £349 price tag PS4 will be available from 15 November in U.S and 29 November in UK

Preview: Sony is giving gamers their first look at the PlayStation 4 and it's a rectangular black box, just like all the previous PlayStations

Preview: Sony is giving gamers their first look at the PlayStation 4 and it's a rectangular black box, just like all the previous PlayStations

WEMA KUWATAMBULISHA WASANII WAKE BILICANAS JUMAPILI HII

Wema sepetu akiwa na kampuni yake ya endless fame production anatarajiwa kufanya uzinduzi wa single za wasanii wenzake mirror na asali ndani ya ukumbi wa billcanas jijini dar es salam
mirror na asali wanatarajia kuzindua njimbo zao mpya baby na mzuri
IMG-20130820-WA0001 

PICHA YA SIKU::MTAZAME MKUU WA MKOA WA DODOMA AKIYARUDI MAYENU

Mkuu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi a.k.a mtu wa mungu vanga likiwa limekolea akiserebuka pamoja na kikundi cha vijana cha hamasa kutoka Mkoa wa Dodoma wakati wa shamrashamra za kuupokea Mwenge wa Uhuru ukitokea Mkoa wa Singida leo hii.
ANGALIA PICHA ZAIDI....

UJUMBE WA MSANII FEROUZ KWA WASANII WAKUBWA, PIA AFUNGUKA KUHUSU ISHU YA YEYE KUA KIMYA

ferouz

AMECHEKI kwa umakini na amekubali kweli chipukizi wa siku hizi wanawakimbiza wakongwe kinoma. Lakini msanii wa Bongo Fleva, Ferouz Mrisho, amewataka wakongwe hao wasikatishwe tamaa na chipukizi, badala yake wajipange kutawala chati.
SOMA ZAIDI.......

HUU NI WIZI MTUPU, HALMASHAURI MNAHUSIKA AU HAMJUI?????

Mfanyakazi wa Inayojiita kampuni ya kukusanya Ushuru ya MTAA WA OYSTERBAY BEACH PARKING, ambaye hakutaka kutaja jina lake akiandika risiti ya ushuru wa maegesho ili kuweka katika moja ya gari lililokuwa katika ufukwe wa Coco Beach, ili alipwe ushuru wa maegesho hayo kiasi cha Sh. 1000 kila gari. 
SOMA ZAIDI.........

WENJE MBARONI MWANZA HALI IKOJE?

siasa_(31)

Siku moja baada ya Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kulazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wananchi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliokuwa wakiandamana kutoka Uwanja wa Furahisha kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, mbunge wa Nyamagana jijini Mwanza, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amekamatwa akituhumiwa kutenda makosa mawili.

SOMA ZAIDI......

Ebwana Feza Kessy si amekwenda Botswana, tazama alivyopokewa sasa

Hakuficha mapenzi ya kweli aliyonayo kwa mpenzi wake mpya waliekutana kwenye jumba la BBA 2013, Mbotswana Oneal… 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

MWANAMKE ALIYEJIMWAGIA MAFUTA YA PETROLI NA KUJITA KIBERITI JIJI MWANZA HALI YAKE YAZIDI KUWA MBAYA!


MWANAMKE mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyankumbu, Kata ya Kalangalala mkoani  Geita  Anastazia Kubezya (28) hali yake imezidi kuwa mbaya kufuatia hatua ya kuliripua na moto kisa mumewe kuoa mke wa pili bila ridhaa yake!
SOMA ZAIDI............

CHONDE CHONDE JAMANI MWANANGU HAJANYONGWA: MAMA WA BINT KIZIWI ALALAMA,AMTUPIA LAWAMA NZITO RAFIKI NA MWANAE KWA KUMFUNDISHA KAZI HIYO HARAMU!


   Mama mzazi wa Binti Kiziwi, Rehema Selemani mkazi wa Sinza Kijiweni jijini Dar.
SOMA ZAIDI....

PICHA : MASTAA WA MAN UNITED NA WAKE ZAO WATOKA PAMOJA KWA CHAKULA CHA JIONI JIJINI MANCHESTER


Moyes
David Moyes aliungana wachezaji wake pia
Rooney Coleen
Wayne na Coleen Rooney
ANGALIA PICHA ZAIDI.......

WAKATI BONGO BADO KUKIWA NA UTATA - LIGI YA NIGERIA YAUZA HAKI ZA MATANGAZO YA TV KWA SUPERSPORT KWA $34 MILLION


Wakati Tanzania tukiwa kwenye sakata la uuzaji wa haki za matangazo yaTelevison,  wenzetu wa Nigeria wamesaini mkataba wa mamilioni ya dola.
SOMA ZAIDI.......

DOGO ASLAY ANGIA STUDIO NA MSANII JAGUAR WA KENYA

Dogo Aslay ameingia studio na msanii mkali kutoka Kenya “Jaguar” ili kuweza kutoa collabo. Manager wa Dogo Aslay “Said Fela” amesema kwamba wasanii hao wawili wako mbioni kutoa nyimbo pamoja.

ARSENAL YATAKA KUMSAJILI IKER CASILLAS WA REAL MADRID, ILA KWA UBAKHILI WAO WATAMKOSA

London calling? Real Madrid goalkeeper Iker Casillas is a target for Arsenal manager Arsene Wenger

London inamuita? Kipa wa Real Madrid, Iker Casillas anatakiwa na kocha wa Arsenal, Arsene Wenger
SOMA ZAIDI........

Ponda aigharimu Serikali milioni 10/-

Usafiri wa helikopta waitafuna dola mara 71 ya gharama ya gariULINZI wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, 
SOMA ZAIDI.......

DIAMOND AHUSISHWA NA SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA

DSC 0005 bc6a2 

CHANZO CHA KIFO CHA BIIIONEA ERASTO MSUYA CHA BAINIKA


  
 Wakati polisi mkoani Kilimanjaro wakitangaza kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), pia wamesema mauaji hayo ni ya kulipiza kisasi katika biashara ya madini.
SOMA ZAIDI.......

WAMBURA: "SIGOMBEI UONGOZI KWENYE UCHAGUZI WA TFF - SIWEZI KUJISAFISHA NA MAJITAKA "

Aliyewahi kuwa mgombea wa Uchaguzi Mkuu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliosimamishwa na Fifa, Michael Wambura, amesema hatashiriki tena kwenye uchaguzi ujao wa shirikisho hilo, Oktoba 27.
SOMA ZAIDI........

Mark Zuckerberg's big idea: The 'next 5 billion' people

Zuckerberg's plan to connect the worldZuckerberg's plan to connect the world

Most of us take the Internet for granted. But think about what Internet access would mean to 5 billion people who don't currently have it.

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...