THIS BLOG HAS BEEN CHANGED TO www.darsports.com PLEASE CLICK LINK TO VISIT.
BLOGU HII IMEBADILISHWA KUWA www.darsports.com TAFADHALI BOFYA KUTEMBELEA.
News, Events, Entertainment, Sports, Lifestyle, Fashion,politics, Beauty, Inspiration and yes... Gossip!
facebook likes
Showing posts with label SPORTS. Show all posts
Showing posts with label SPORTS. Show all posts
Tuesday, April 22, 2014
Sunday, October 20, 2013
Saturday, October 19, 2013
'' KAMA RIHANNA AKINITAKA SIWEZI KUMKATAA''- DANIEL STURRIDGE
Mshambuliaji
wa klabu ya Liverpool Daniel Sturridge amefichua hisia zake kwa nyota wa muziki
wa Pop Rihanna . Katika Interview moja aliyoifanya kwenye jarida la rapa wa
marekani Jay Z, Sturridge alizungumzia usajili wake toka Chelsea kwenda Liverpool
na pia maisha yake ya Mapenzi na zaidi alizungumza kumhusu Rihanna . Soma
maneno yake hapa.....
HARUNA NIYONZIMA AZIONA FURSA ZA KIBIASHARA!

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ameanza rasmi kuziona fursa za kibiashara zilizopo hapa nchini katika sekta ya michezo.
Kwa kuanza kiungo huyo amefyatua T-SHIRT
kibao ambazo zitaingia rasmi sokoni siku ya Juma pili kwenye mchezo wa
watani wa jadi Simba na Yanga.
Meneja wa mchezaji huyo Imamu Abbas ameuambia mtandao huu kuwa bei ya T-SHIRT hizo ni shilingi za Kitanzania 20,000/=
SOMA ZAIDI........
PELE AZINDUA KITABU CHAKE NA KUKIUZA KIASI CHA DOLLA $1700
Mwanasoka bora kutoka pande za Brazil mwenye umri wa miaka 72 Pele
amezindua kitabu chake kinachoitwa Pele ambacho kinauzwa kwa kiasi cha
dolla za kimarekani 1700. Kitabu hicho chenye uzito wa 33 pounds
kimechapishwa jumla ya nakala 1283.
SOMA ZAIDI........
Tuesday, October 15, 2013
Saturday, October 12, 2013
PHOTOS: Samuel Eto’o Acquires 4 New Multimillion Cars Worth over £1.55Million

Samuel Eto’o has made good use of his bumper salary by amassing a fleet of cars worth £4million

The pick of the Chelsea FC striker’s fleet is the £1.55m Bugatti Veyron which was specially delivered along with three other vehicles to the London club’s training ground after his move from Russian club Anzhi this summer.
Friday, October 11, 2013
LENNOX LEWIS YUKO TAYARI KUREJEA ULINGONI AKIWA NA MIAKA 48, ATAKA DOLA MILIONI 100 KUPIGANA NA AKINA KLITSCHKO
BONDIA LENNOX LEWIS AMEWAAMBIA MAPROMOTA WA URUSI ATAREJEA KUPIGANA NA MMOJA KATI YA NDUGU AKINA KLITSCHKO KWA DAU KUBWA ZAIDI KATKA HISTORIA YA NDONDI ZA KULIPWA.
SOMA ZAIDI.....
Thursday, October 10, 2013
Victor Moses Becomes Globacom’s Sports Ambassador
Wachezaji watano kutoka Afrika watakaocheza ligi ya NBA 2013/2014
Hasheem Thabeet (Tanzania)
Ndio mchezaji mrefu kuliko wote kwenye ligi ya NBA kwa sasa, majuzi wakati timu yake ya Oklahoma City Thunder ikicheza na Charlotte Bobcats Hasheem alicheza vizuri akiwa na point 13 alizofunga pamoja na kudaka Rebounds 10, huu utakua msimu wake wa pili akiwa na OKC.
SOMA ZAIDI.....
Ndio mchezaji mrefu kuliko wote kwenye ligi ya NBA kwa sasa, majuzi wakati timu yake ya Oklahoma City Thunder ikicheza na Charlotte Bobcats Hasheem alicheza vizuri akiwa na point 13 alizofunga pamoja na kudaka Rebounds 10, huu utakua msimu wake wa pili akiwa na OKC.
SOMA ZAIDI.....
Lenox Lewis kurudi ulingoni?
HENRY JOSEPH ALETA UTATA SIMBA
Henry Joseph
KIUNGO wa Simba, Henry Joseph, ameondolewa katika kambi ya Simba huku Ramadhan Chombo ‘Redondo’ akirudishwa kikosi cha pili.
SOMA ZAIDI.......
Wednesday, October 9, 2013
GARI YA BILIONEA ANAYEMILIKI MANCHESTER CITY YAONEKANA DAR, ANAIMILIKI YUSSUF BAKHRESA
Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.
ANGALIA PICHA ZAIDI......
Wanasoka wanaojirusha na watoto wa mabosi wao
Staa huyu wa kimataifa wa Brazil hakuogopa kugonga mlango wa nyumba ya bosi wake mmiliki wa klabu ya AC Milan ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi na kuomba namba ya simu ya binti yake, Barbara Berlusconi ambaye pia ni mmoja kati ya wanabodi wa AC Milan.
SOMA ZAIDI.....
Tuesday, October 8, 2013
VIWANJA VYA BEI NAFUU KIGAMBONI. ELFU 19 KWA SQUARE METER.#0713651858.#
Viwanja vinauzwa vipo kigamboni, Mikwambe. Kuna viwanja nyenye square meter 887, sqm 850, sqm 846, sqm 843, sqm 849, sqm 842, sqm 853, sqm 845, sqm 842, sqm 841, sqm 804, sqm 800. Viwanja vinauzwa million kumi na sita.
SOMA ZAIDI MAELEZO HAPA CHINI................
Monday, October 7, 2013
Harry Redknapp Slams FA, Reveals Brendan Rodgers Nearly Never Managed Liverpool
Harry Redknapp has clearly given up any last hope of becoming England manager, at least under the current FA bosses, who he claims “haven’t got a clue.”Lewis Hamilton Claims Sebastian Vettel Is Putting Formula 1 Fans to Sleep

British racing driver Lewis Hamilton believes fans are losing out amid Sebastian Vettel's dominance, claiming a lot of viewers will have fallen asleep during Sunday's Korean Grand Prix, per the Mirror's Byron Young.
Subscribe to:
Posts (Atom)












