facebook likes

Saturday, October 12, 2013

Ex BBA housemate Prezzo Once Again Flaunts Wads Of Cash (PHOTO)

prezzo2Jackson Ngechu a.ka. Prezzo  lives in the beautiful world  filled with enormous fortunes and  mind-boggling extravagance.

HIVI NDIVYO VITU VYA THAMANI ANAVYO MILIKI DIAMOND PLATNUMZ


b1MSANII wa Bongo Fleva Diamond Platinumz, siku ya jana ya tarehe 10, alipost video akionyesha Bling Bling  kwenye mtandao wake wa kijamii wa instagram, 
Tazama video clip hio ya Raisi wa wasafi akionyesha vitu hivyo vya gharama hapa baada ya mkato …..

MELI KUBWA ZAIDI YATIA NANGA BANDARINI DAR NA MAKONTENA 4,500.


Meli hiyo ya Maersk Line.
Biashara katika bandari ya Dar es Salaam imeanza kushika kasi  huku Watanzania wakitarajia kunufaika na punguzo la bei ya bidhaa kutoka nje baada ya meli kubwa yenye urefu wa meta 249 kuanza kutia nanga katika bandari hiyo.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa propaganda kuwa bandari hiyo haina uwezo wa meli zenye ukubwa huo wenye kubeba makontena 4,500 kutia nanga, lakini jana Tanzania iliandika historia kwa meli hiyo kutia nanga asubuhi.
SOMA ZAIDI........

PHOTOS: Samuel Eto’o Acquires 4 New Multimillion Cars Worth over £1.55Million

Samuel Eto’o has made good use of his bumper salary by amassing a fleet of cars worth £4million
The pick of the Chelsea FC striker’s fleet is the £1.55m Bugatti Veyron which was specially delivered along with three other vehicles to the London club’s training ground after his move from Russian club Anzhi this summer.

HILI NDO GARI JIPYA ALILONUNUA MSANII RICH MAVOKO

 
Kupitia account yake ya Instagram msanii mkali wa bongo fleva anayeteka mabinti wengi mjini hapa amewaonyesha mashabiki wake gari yake mpya aliyoinunua. 
SOMA ZAIDI....

MWENYEKITI WA SHINDANO LA MISS UTALII "CHIPUNGAHELO" APEWA ONYO KALI KWA KUWADHALILISHA WASHIRIKI WA KIKE.

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), limempa karipio kali Mwenyekiti wa shindano la Miss Utalii, Gideon Chipungahelo(Pichani juu) kwa kosa la kudhalilisha baadhi ya washiriki na malalamiko kufanyiwa kazi na Baraza hilo. 
SOMA ZAIDI.....

DENTI WA MIAKA 12 APACHIKWA MIMBA HUKO KIPUNGUNI JIJINI DAR.....!!

Binti wa darasa la sita mwenye miaka 12 aliyepewa ujauzito na Roja.
BINTI wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilimani iliyopo Kipunguni, Dar mwenye umri wa miaka 12 (jina tunalihifadhi kwa sababu za kimaadili) amejikuta akishindwa kuendelea na masomo baada ya kupewa ujauzito na kijana wa mtaani aliyejulikana kwa jina moja la Roja. 
 SOMA ZAIDI...........

ZITTO --Wabunge wa CCM wanataka kujiongezea muda wa Ubunge hadi 2017


Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mkakati unaofanywa na wabunge wa CCM kujiongezea muda wa kuendelea kukaa madarakani kwa kujitahidi kuzuia na kuhujumu Mchakato wa Katiba

ACTRESS HIDAYA NJAIDI AOMBA MSAADA WA KUTIBIWA MKONO WAKE NJE YA NCHI.


  Hidaya Njaidi
Muigizaji wa filamu Swahiliwood anayeuvaa uhusika wa mama katika filamu nyingi, Hidaya Njaidi aliyepata ajali mwanzoni mwa mwaka huu na kuumia vibaya mkono anaomba msaada wa matibabu kwani mkono wake umesagika kwa ndani na anahitaji kupatiwa matibabu zaidi nje ya nchi.
SOMA ZAIDI..........

JE UNENEPAJI WA MSANII LULU MICHAEL UNAWEZA KUATHIRI KAZI ZAKE?


Hivi karibuni Muigizaji mkali wa Bongo Movies Lulu Michael amekua akionekana kuwa ameongezeka uzito, na pia maswali yamekua yakizuka kama itaathiri kazi zake za uigizaji…
SOMA ZAIDI...................

HIZI NDIZO SABABU ZA ALI ZAHIR ZORRO KUJITOA KUWA JUDGE WA TUSKER PROJECT FAME

One week after the first episode of
the talent search show Tusker
Project Fame Season 6 went on air
from the academy in Nairobi, there
have been twists and turns in
events.

KIJANA AANGUKIWA NA KONTENA WAKATI LIKIPAKULIWA



ANGALIA PICHA YA MTOTO ALIYENYONGWA NA DADA WA NYUMBANI

Mtoto Arafat Allan enzi za uhai wake.(picha kwa hisani ya gpl)
NI ukatili uliopitiliza! Hausigeli aliyejulikana kwa jina moja la Ester (14) yupo matatani kwa madai ya kumuua mtoto Arafat Allan (3) kwa kumnyonga shingo na kumpiga na kitu kizito kichwani kisha kuutumbukiza mwili wake kwenye dimbwi la maji machafu, Risasi Jumamosi limekamata tukio zima.
SOMA ZAIDI.........

new Joint_ AY & Mwana FA ft J Martin - "Cheza bila kukunja goti"(official music video)

WATCH AND DOWNLOAD HERE.........

new Joint_ Dully Sykes - "Kabinti Special"(official music audio)


LISTEN AND DOWNLOAD HERE..........

Tazama Performance aliyofanya John Legend katika Wendy Williams.


John Legend ambaye alifunga ndoa siku chache zilizopita, jana alialikwa katika
TV show ya Wendy Williams  ku-perform wimbo wake wa "All of Me" ambao kwa sasa unazidi kumuweka katika chat za juu.
SOMA ZAIDI NA ANGALIA VIDEO HAPA......

Fahamu alichokizungumza Jenifer Hudson kuhusu Album yake mpya ambayo amefanya na producer Timbaland.


WATCH THE VIDEO HERE.....

new Joint_ Drake ft Rick Ross - "Hold On Were Going Home Remix"(official music audio)

DOWNLOAD AND LISTEN HERE.......

new Joint_ Alicia Keys - "Better You Better Me"(official music audio)

LISTEN AND DOWNLOAD HERE........

Jaji Hermy B awashauri watanzania kuhusu Tusker Project Fame.

Baada ya kuwafahamu majaji wawili wa TPF6 ambao ni Ian Mbugua (Kenya) na Juliana Kanyomozi (Uganda),  hatimaye jina la jaji wa tatu limefahamika ambapo C.E.O wa BHitz Music, Hermes Bariki a.k.a Hermy B (Tanzania) ndiye atakayeungana na majaji hao wawili.
SOMA ZAIDI........

Mixtape ya Nikki Mbishi kuachiwa leo.


MANYAMA UZEMBE ALIYETAKA KUJIUA KWA KUCHUKIA UNENE SASA NI KIDUME KWELI BAADA YA MIEZI 18 TU YA KUPIGA MATIZI YA UHAKIKA


Mike Waudby pictured at 33 stone
Mike says that losing weight has given him a life and is urging others not to get into the same situation he found himself in

kabla na baada: kushoto, mike wa manyama uzembe na kulia mike bwana misuli
SOMA ZAIDI..............

50 Cent Throws Shade At Floyd Mayweather After His Side Chick Allegedly Robs Him Of $10,000 And Hooks Up With Ray J

50-cent-floyd-mayweather-

Some of these celeb boys and the women they date are messy as HELL!
We all know 50 is the shade queen and he’s definitely bitter that his bromance with Floyd Mayweather is over.  Ever since the two had a falling out, 50 has been throwing Floyd under the bus every chance he gets, and the most recent incident has played out on Instagram for the world to see.

Robin Thicke on Oprah’s Next Chapter: ‘I’m the Twerkee, I’m Twerked Upon’

Robin Thicke - Oprah InterviewRobin Thicke - Oprah Interview 1

Miley Cyrus may be out here stretching this twerk fiasco for as long as she can, but Robin Thicke is having another “Mama I made it!” moment by snagging his first Oprah interview.

Usher, Toni Braxton, Diddy, Khloe Kardashian and More Attend Babyface’s Hollywood Walk Of Fame Ceremony

Toni Braxton and Babyface at Babyface's Hollywood Walk of Fame Ceremony

Singer, producer, and all around music legend Kenneth ‘Babyface’ Edmonds has been in the game for 40 years and finally adds his name to the Hollywood Walk of Fame. Yesterday the 10 time Grammy Award winner was joined by friends like Toni Braxton, Diddy, Stevie Wonder, Usher, L.A. Reid, Kris Jenner, Khloe Kardashian and ex-wife Tracey Edmonds for his Walk of Fame ceremony.

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...