facebook likes

Monday, September 23, 2013

IRENE UWOYA: PARADISE SHOW YAKABIDHI NYUMBA YA KWANZA

Show ya Irene Uwoya ijulikanayo kama Paradise Show hatimaye imekamilisha ukarabati wa nyumba ya kwanza pande za Mwananyamala na kuikabidhi rasmi kwa wahusika kwa nderemo na shangwe za kutosha huku kukiwa na mashuhuda kibao wa eneo hilo.
irene-uwoya2ANGALIA PICHA ZAIDI........

DAYNA NYANGE, IZZO B, PNC WANUSURIKA KATIKA AJALI MBAYA


Gari iliyopata ajali
ANGALIA PICHA ZAIDI....

Wanafunzi wa zamani saidieni shule zenu mlizosoma


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Weruweru, iliyoko mkoani Kilimanjaro, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa kwa shule hiyo.
SOMA ZAIDI.....

BALOZI WA CHINA NCHINI SASA KURUDISHWA KWAO BAADA YA KUJIHUSISHA NA SIASA ZA CCM....!!

SIKU chache baada ya Balozi wa China nchini, Lu Youqing, kukiuka mkataba wa kimataifa wa Vienna kwa kushiriki kazi ya uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima limedokezwa kuwa kuna harakati za kumrudisha nyumbani kwao.
 SOMA ZAIDI.....

PICHA ZAIDI KATIKA SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ NCHINI MALAYSIA....!!


ANGALIA PICHA ZAIDI....

HUYU NDIYE MWANAMKE RAIA WA UINGEREZA ANAYETUHUMIWA KUIONGOZA AL-SHABAAB KUUA WATU ZAIDI YA 69 HUKO NAIROBI..!!

Mwanamke raia wa Uingereza, Samantha Lewthwaite aka The White Widow, *anahisiwa* kuongoza kundi la magaidi wa Al-Shabaab walioivamia mall maarufu ya Westgate ya jijini Nairobi nchini Kenya jana na kuwaua watu zaidi ya 68 na kujeruhi wengine zaidi ya 175. 
SOMA ZAIDI....

NANDO WA BBA THE CHASE KUFANYA PARTY ITAYOCHUKUA SIKU 10 KUISHA...!!

Nairobi Westgate attack: Fresh gunfire inside complex

The BBC's Gabriel Gatehouse: "It is in this supermarket that at least some of the attackers are now believed to be holed up"


The complete, concise history of al-Shabaab, the group behind the Kenyan mall attack

The attack on the Westgate shopping mall in Nairobi has officially left at least 59 dead. (The Red Cross estimates that some 200 are injured and 49 more are missing.) And the fighting isn’t quite over. Despite officials having claimed the situation was under control yesterday, the latest update is that Israeli forces joined the fighting this morning to root out the attackers. (The mall is part Israeli-owned and popular with Israeli expats and tourists.)

DIAMOND NA NADIA INSTAGRAM UTATA MTUPU....KWELI NI MASHEMEJI


ANGALIA PICHA ZAIDI........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...