facebook likes

Wednesday, August 28, 2013

RAY C AANZA KUKIRUTUBISHA KIUNO CHAKE....HIZI NI PICHA 3 AKIWA GYM


Zaidi ya sauti yake na uwezo mkubwa wa kuimba nyimbo zinazoshikika kiurahisi, umaarufu wake mwingine mkubwa toka enzi hizo ni kiuno bila mfupa kwa jinsi alivyokua akicheza nacho.

SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI........

AUNT EZEKIEL AJERUHIWA VIBAYA NA CHUPA AKIWA CLUB. ...HIZI PICHA ZAKE

Actress Aunt Ezekiel amechimbwa na kitu chenye ncha kali kinachodaiwa kuwa chupa katika mkono wake wa kushoto. 
SOMA ZAIDI.....

DUNIANI KUNA MAMBO...HII NDILO JENEZA LENYE KIYOYOZI NDANI, WACHA LILE LA MSUYA LINALOFUNGULIWA KWA RIMOTI.


Hilini sanduku ya aliyekua Mfalme wa Roma(self-appointed Roma king),Florin Cioaba aliyefariki wiki moja iliyopita kwa mshtuko wa moyo huko Uturuki. Sanduku lake lilikua na Kiyoyozi kama lionekanavyo pichani.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI...........

"WABUNGE WENGI NI WAUZA UNGA NA MADAWA YA KULEVYA"....WILLIAM LUKUVI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amesema baadhi ya majina ya wabunge yametajwa miongoni mwa watu wanaoshukiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya lakini Serikali haiwezi kuwataja hadharani kwa haraka. 
SOMA ZAIDI.............

Cultists Attack 7 Churches, Shoot Worshippers, Set Priests’ Residence Ablaze In Eastern Nigeria

Hell was let loose in the early hours yesterday at Oba-Ofemmili community in Awka-North Local Government Area of Anambra State, when some youths, suspected to be cultists attacked Christians in their worship places, shot and inflicted machete wounds on over 50 of them.

MEZA YA MAGAZETI LEO JUMATANO 28/08/2013

SOMA ZAIDI HAPA.......

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...