THIS BLOG HAS BEEN CHANGED TO www.darsports.com PLEASE CLICK LINK TO VISIT.
BLOGU HII IMEBADILISHWA KUWA www.darsports.com TAFADHALI BOFYA KUTEMBELEA.
News, Events, Entertainment, Sports, Lifestyle, Fashion,politics, Beauty, Inspiration and yes... Gossip!
facebook likes
Showing posts with label FOCUS. Show all posts
Showing posts with label FOCUS. Show all posts
Tuesday, April 22, 2014
Sunday, October 20, 2013
UFOO SARO..."NIKIPONA NITAWEKA KILA KITU WAZI"
Mtangazaji
wa Kituo cha televisheni cha ITV, Ufoo Saro, ambaye alijeruhiwa kwa
kupigwa risasi na mzazi mwenzake Jumapili iliyopita, ameahidi kutoa ya
moyoni atakapopona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.Ufoo ambaye
amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kitengo cha moyo tangu
wiki iliyopita kutokana na majeraha ya risasi, afya yake inazidi
kuimarika na sasa ameanza kula mwenyewe na kufanya mazoezi ya kutembea.
SOMA ZAIDI..........
SOMA ZAIDI..........
Tuesday, October 15, 2013
PICHA ZA WAHAMIAJI HARAMU WALIO KAMATWA JANA MKOANI MOROGORO WAKIWA KWENYE GARI LILIBEBA CHOKAA
Saturday, October 12, 2013
MELI KUBWA ZAIDI YATIA NANGA BANDARINI DAR NA MAKONTENA 4,500.
| Meli hiyo ya Maersk Line. |
Biashara katika bandari ya Dar es Salaam imeanza kushika kasi huku Watanzania wakitarajia kunufaika na punguzo la bei ya bidhaa kutoka nje baada ya meli kubwa yenye urefu wa meta 249 kuanza kutia nanga katika bandari hiyo.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa propaganda kuwa bandari hiyo haina uwezo wa meli zenye ukubwa huo wenye kubeba makontena 4,500 kutia nanga, lakini jana Tanzania iliandika historia kwa meli hiyo kutia nanga asubuhi.
SOMA ZAIDI........
DENTI WA MIAKA 12 APACHIKWA MIMBA HUKO KIPUNGUNI JIJINI DAR.....!!
![]() |
| Binti wa darasa la sita mwenye miaka 12 aliyepewa ujauzito na Roja. |
SOMA ZAIDI...........
ANGALIA PICHA YA MTOTO ALIYENYONGWA NA DADA WA NYUMBANI

Mtoto Arafat Allan enzi za uhai wake.(picha kwa hisani ya gpl)
NI ukatili uliopitiliza! Hausigeli aliyejulikana kwa jina moja la Ester (14) yupo matatani kwa madai ya kumuua mtoto Arafat Allan (3) kwa kumnyonga shingo na kumpiga na kitu kizito kichwani kisha kuutumbukiza mwili wake kwenye dimbwi la maji machafu, Risasi Jumamosi limekamata tukio zima.
SOMA ZAIDI.........
MANYAMA UZEMBE ALIYETAKA KUJIUA KWA KUCHUKIA UNENE SASA NI KIDUME KWELI BAADA YA MIEZI 18 TU YA KUPIGA MATIZI YA UHAKIKA


kabla na baada: kushoto, mike wa manyama uzembe na kulia
mike bwana misuli
SOMA ZAIDI..............
Friday, October 11, 2013
Wakaguzi Syria washinda tuzo ya amani ya Nobel

Wakaguzi wa silaha za kemikali Syria
Tuzo ya amani ya Nobel, mwaka huu imekwenda kwa shirika la kudhibiti silaha za kemikali duniani OPCW.
SOMA ZAIDI.........
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Atembelea Shirika la Anga la Marekani NASA huko Huntsville
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Atembelea Shirika la Anga la Marekani NASA huko Huntsville
Makaribisho ya kipekee
ANGALIA PICHA ZAIDI...........
Wabakaji waadhibiwa kwa kukata nyasi Kenya

Mwathiriwa alisema kuwa anawajua wabakaji
Wakenya wameghadhabishwa sana na hatua ya wanaume watatu waliombaka msichana mmoja na kutupa mwili wake kwenye choo kuamrishwa na polisi kukata nyasi kama adhabu kwao.
SOMA ZAIDI....
MABALOZI WA JUMUIYA YA NCHI ZA ULAYA (EU) WATEMBELEA GEREZA KUU UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akisalimiana na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Gilberto Sebregondi ambaye aliongoza ujumbe wa Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi za Ulaya katika ziara yao leo Oktoba 10, 2013 Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam ili kujionea namna ambavyo Jeshi la Magereza linazingatia kikamilifu masuala ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Uendeshaji wa Magereza hapa nchini.
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....
A FIRST TANZANIAN JUDGE SWORN IN AS INTERNATIONAL RESERVE JUDGE IN CAMBODIA
Judge Steven Bwana (centre) from Tanzania accompanied by his wife Angelika Bwana in Official tete-atete through video conference with a Panelist of Judges in Cambodia. Looking on is WFP Representative and Country Director, Mr Richard Ragan, who was acting as the UN Resident Coordinator during the Sworn in Ceremony held at WFP Headquarters in Dar es Salaam.
Thursday, October 10, 2013
TAZAMA PICHA 10 WEMA NA DIAMOND WALIPOKUWA MALAYSIA
Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye Jb blog imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti nchini humo.
ANGALIA PICHA ZAIDI.........
Subscribe to:
Posts (Atom)












