facebook likes

Sunday, August 18, 2013

INAWEZEKANA HUYU NDIO BINADAMU ANAYEICHUKIA MANCHESTER UNITED KULIKO YOYOTE YULE….ASEMA NI BORA KUWA KABURINI KULIKO KUWA NDANI YA OLD TRAFFORD

united-grave
Manchester United kwa hakika ndio klabu ambayo inashabikiwa zaidi kwenye soka ulimwenguni, lakini pia inawezekana ndio klabu inayochukiwa zaidi pia. 
...SOMA ZAIDI....

HUYU NDO MSANII WA BONGO MOVIE AMBAYE WATU WANASEMA ANA JINSIA MBILI, SOMA HAPA ALICHOKISEMA KUKANUSHA

Zahra Mohamed
Zamo mwigizaji wa filamu Swahilihood.
MSANII na mtayarishaji wa filamu Swahilihood Zahra Chambo Mohamed aka Zamo anasema kuwa anachukizwa sana na tabia ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakimuongelea bila kujua ukweli kuhusu maisha yake halisi,
...SOMA ZAIDI....

PHOTOS: WAYNE ROONEY ALIPOGOMA KUSHANGILIA MAGOLI NA WENZAKE KWENYE MCHEZO DHIDI YA SWANSEA


Wachezaji wa Manchester United wakishangalia na Wayne Rooney akiwa hana habari akizungumza na refa. 
.......ANGALIA PICHA ZAIDI....

VIDEO: ARSENAL MAJANGAAAA - YAANZA LIGI NA KUPIGWA 3-1 NYUMBANI KWAO - BENTEKE MUUAJI


VIDEO: ROBIN VAN PERSIE AANZA KAZI - MANCHESTER UNITED IKIIUA SWANSEA 4-1 UGENINI

........ANGALIA VIDEO HAPA......

VIDEO: DANIEL STURRIDGE AFUNGA GOLI LA KWANZA LA EPL - LIVERPOOL IKIANZA NA USHINDI DHIDI YA STOKE CITY


WAKAZI WA KIGOMA WALIPOKEA KWA KISHINDO TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rachael kutoka THT,akionesha umahiri wake wa kutumbuiza jukwaani usiku kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

HIVI NDIVYO YANGA SC ILIVYOIZIMA AZAM FC KATIKA MCHEZO WA NGAO YA HISANI


Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ akipokea ngao ya Jamii kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick wakati wa mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 1-0.   
...SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...