facebook likes

Sunday, August 11, 2013

VIDEO OF THE DAY:Kansiime Anne meets her Husband's Ex Girlfriend .......

BABA AMLAWITI MTOTO WAKE WA KIUME NA KUMBAKA SHEMEJI YAKE JIJINI DAR


Binti aliyebakwa akiwa na mtoto aliyelawitiwa.
MWANAUME aliyefahamika kwa jina moja la Mohammed, mkazi wa Kigamboni jijini Dar amedaiwa kuwafanyia unyama watoto wawili, akimlawiti mwanaye wa kufikia na kumbaka mdogo wa mkewe...
....SOMA ZAIDI....

NAY WA MITEGO ATEMANA NA DEMU WAKE.....



.......SOMA ZAIDI......

BONDIA FRANCIS MIYEYUSHO AMKALISHA MZAMBIA KWA K,O RAUNDI YA 8.

.MIYEYUSHO AKISHANGILIA USHINDI.

 ...SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI...

Dr Josee Chameleon alivyokamua ndani ya Escape one usiku wa kuamkia leo jijini Dar.


TANZANIA YAZIDI KUPOROMOKA VIWANGO FIFA.


TANZANIA imezidi kuporomoka katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka Duniani-FIFA ambavyo hutolewa kila mwezi. 
...SOMA ZAIDI....

SERENA WILLIAMS ATAKATA TORONTO.


MWANADADA nyota katika tenisi wa Marekani, Serena Williams amefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Rogers kwa kumgaragaza Kirsten Flipkens wa Ubelgiji. 
..SOMA ZAIDI....

BAYERN YAANZA MSIMU KWA USHINDI.


MABINGWA wa Bundesliga, Bayern Munich jana wameanza vyema kutetea taji lao hilo kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Borussia Moenchengladbach na kuchukua alama zote tatu katika mchezo huo wa kwanza wa msimu. 
..SOMA ZAIDI.....

Three Up, Who’s Going Home Tonight?


nominated 
Every Sunday, the Big Brother House goes short of a housemate or two and so will today.
After all yesterday’s fun, Sunday is here again to be worried about. Today’s Nominees Cleo,Dillish and Feza will be meeting their fate in the battle for the US$300,000 grand prize.

HII NDO KAULI YA ZITTO KABWE KUHUSU SHEKHE PONDA KUPIGWA NA RISASI MOROGORO
















 

DIAMOND AFUNIKA MBAYA KENYA....CHEKI SHOW ALIYO PIGA HAPA..


ANGALIA PICHA ZAIDI......

HUU NDIYO UTAJIRI WA BILIONEA ALIYEUAWA

MAUAJI ya mfanyabiashara bilionea wa Mererani na jijini Arusha, Erasto Msuya aliyeuawa kwa kumiminiwa zaidi ya risasi 20 kwa bunduki ya Sub Machine Gun (SMG) yameibua mazito ikielezwa kuwa jamaa huyo ameacha utajiri wa kutisha.

Mwili wa Erasto Msuya (kulia) baada ya kupigwa risasi. Kushoto ni gari alilokuwa anatumia.
.....SOMA ZAIDI.....

HUYU NDO MSANII WA KIKE BONGO MOVIE ALIYEMWANDIKIA BARUA RAIS KIKWETE!!


 
Yobnesh Yusuph(Batuli) ambaye ni actress maarufu Swahiliwood amemuomba Rais Jakaya Kikwete alivunje Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) na kuliunda upya. 
.....SOMA ZAIDI....

DIAMOND PLATINUM KWELI KWA SASA ANATISHAAA....HILI NDO BALAA LA DIAMOND PLATINUM ALILOLIFANYA JANA MOMBASA KENYA




Diamond baada ya kuwasili Kenya alipokelewa kwenye gari hili
....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

HUYU NDO MFANYABIASHARA MAARUFU MOSHI AKIWA MATATANI KWA VIDEO CHAFU DHIDI YA MFANYAKAZI WAKE

Mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi, (jina linahifadhiwa) ameingia katika kashfa nzito baada ya kurekodi mkanda wa video ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi wake wa dukani. 
....SOMA ZAIDI.....

MTAMBO WA DAWA ZA KULEVYA WAINGIZWA NCHINI

Wakati matukio ya baadhi ya vigogo na wasanii maarufu wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulenya hayajapoa, imebainika kuwa mtambo maalumu wa kuchanganya na kuziongezea thamani dawa hizo upo hapa nchini. 
....SOMA ZAIDI....

RWANDA YAMJIBU RAIS KIKWETE.***YADAI IKO TAYARI KUWAPOKEA WANYARWANDA NA KUTUPILIA MBALI USHAURI WA KIKWETE


Serikali ya Rwanda imetoa tamko linaloonyesha kutoielewa kauli ya Rais Jakaya Kikwete, iliyoamuru wahamiaji haramu kuondoka nchini, hali inayoonekana kukwepesha hoja.   
....SOMA ZAIDI...... 

VIDEO YA DIAMOND-"PETE NA CHENI NILIZO VAA ZINATHAMANI YA SH......"


Akihojiwa juzi kwenye kipindi cha The Trend cha NTV, mtangazaji wa show hiyo Larry Madowo aliuliza thamani ya bling alizokuwa amevaa.
...SOMA ZAIDI.....

HUYU NDO MGONJWA ANAYESHINIKIZA KUHARAKISHIWA KIFO CHAKE ILI ACHANGIE VIUNGO VYAKE KWA WENGINE


Sherri Muzher (kushoto) na Dk Jack Kervorkian.
Mwanamke aliyefikia hatua za mwisho kabisa za uhai kutokana na ugonjwa anapambana kuhitimisha maisha yake ili aweze kuchangia viungo vyake kuwezesha wengine waishi.
.......SOMA ZAIDI.....

HATIMAYE WAZUNGU WALIO MWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR WAWASIRI UINGEREZA..ANGALIA PICHA


......SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

SHEIKH ACHOMWA KISU AKIONGOZA SWALA YA IDD MBEYA

Kamanda Diwani alisema kuwa taratibu zinafanyika ili watuhumiwa wafikishwe mahakamani.
.....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI.....

HII NDO FASHION MPYA KWA WASANII WETU SASA....LINAH NAE ANAKUJA NA KIPINDI KIPYA CHA TV,NDANI YA CLOUDS TV

Linah Sanga anatarajia kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye kipindi chake cha TV kiitwacho 3D kupitia Clouds TV.
Linah
....SOMA ZAIDI.....

HUYU NDIYE ALIMTAKA WASTARA KIMAPENZI

Mwanadada Wastara ametoa siri ambayo alikuwa hajawahi kuizungumza katika maisha yake ya uhusiano, kisa hicho kinachofurahisha kinahusu maisha yake na marehemu mume wake na sababu iliyomfanya afunge naye ndoa.
.......SOMA ZAIDI.....

HII NDIYO BAISKELI YA AJABU DUNIANI













DAH...KWELI RIHANA NI KITUKO KWANI KATENGENEZA MENO YA BANDIA YA DHAHABU YENYE KUFANANA NA BUNDUKI YA KIVITA AK47


.....ANGALIA PICHA ZAIDI.....

AIBUU WANAWAKE WAPIGANA HADHARANI HUKU WAKISHUHUDIWA NA UMATI WA WATU BILA KUAMULIWA





HII NDO KAULI NA MSIMAMO WA GERLAD HANDO MTANGAZAJI WA CLOUDS FM KUHUSU AZAM TV KUONYESHA LIGI KUU


BALOTELLI SASA AAMUA KUISHI NA 'MAGURUWE', AONGEZA JINGINE LA KIKE KATIKA FAMILIA

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester City, Mario Balotelli sasa amefungua 'ghala' la kufuga nguruwe na amemtambulisha nguruwe wake mpya mdogo katika famili yake ya wanyama hao haramu kwa Waislamu.Mario BalotelliKitu kipya: Mario Balotelli amemtambulisha 'Super' nguruwe mpya katika famili yake ya wanyama hao
......SOMA ZAIDI......

MOYES SASA AHAMISHIA MAWINDO KWA LUKA MODRIC BAADA YA KUCHEMSHA KWA FABREGAS

KOCHA David Moyes sasa amehamishia mawindo yake kwa Luka Modric baada ya kukwama kumsajili kiungo wa Barcelona, Cesc Fabregas.Luka who United: Modric is now a target for United boss Moyes after failing to lure Fabregas
...SOMA ZAIDI......

NIZAR NA NIYONZIMA WANG'ANG'ANIA JEZI ZA NGASSA, ARITHI YA OMEGA ALIYETOLEWA KWA MKOPO MBEYA

KABLA ya kuondoka Yanga SC kwenda Azam FC mwaka 2010, Mrisho Khalfan Ngassa alikuwa anavaa jezi namba nane (8)- na baada ya kurejea sasa amelazimika kuhamia katika namba tisa (9).
Ngassa amerejea Yanga SC wakati ambao jezi namba nane anavaa Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima ambaye amegoma kuiachia.
Namba tisa; Mrisho Ngassa sasa anavaa jezi namba 9 Yanga SC
.....SOMA ZAIDI....

ROONEY NJE KIKOSI CHA MAN UNITED NGAO YA JAMII LEO WEMBLEY

MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Wayne Rooney ameenguliwa kwenye kikosi kitakachomenyana na Wigan kuwania Ngao ya Jamii leo kwenye Uwanja wa Wembley kutokana na maumivu ya bega.Injured: Wayne Rooney has been ruled out of playing for Manchester United in the Community Shield......SOMA ZAIDI......

Judge Denies Usher's Ex-Wife Custody Of Sons After Swimming Pool Accident

A judge in Atlanta on Friday denied the ex-wife of R&B singer Usher temporary primary custody of their two children after one of them was hospitalized following a swimming pool accident at Usher's house.
...READ MORE.....

MCHUNGAJI AVULIWA UCHUNGAJI BAADA YA KUONEKANA KWENYE TAMASHA LA RICK ROSS.. !!


 
Mchungaji Rodney Wills wa kanisa la kibaptisti huko kaskazini mwa Carolina,wiki iliyopita alivuliwa uchungaji huo baada ya kuhudhuria tamasha la Rick Ross Katika kura zilizopigwa kanisani humo kati ya mashemasi 14. Willis aliambiwa avue madaraka yake baada ya kura za kumwondoa kuwa nyingi jumamosi.
....SOMA ZAIDI...

RAY C: NILIKUWA KUZIMU

STAA wa muziki aliyeachana na madawa ya kulevya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, kwa mara ya kwanza ameibuka na kusimulia yaliyomkuta wakati akitumia madawa na kumfanya ashindwe kujitambua, Risasi Jumamosi linakujuza.
......SOMA ZAIDI....

SERIKALI YA RWANDA IMEAPA KUTOWAFUKUZA WATANZANIA...


Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania.
.....SOMA ZAIDI...

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI YA HABARI NA MICHEZO

.
 


.....ANGALIA NA SOMA ZAIDI........

ARSENAL YAIKUNG'UTA MAN CITY 3-1


USHINDI wa mabao 3-1 ambao Arsenal imeupata kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Helsinki dhidi ya Manchester City katika mchezo wa kirafiki unamaanisha The Gunners wanaweza kuendelea na maisha  bila Luis Suarez.Top Gunners: Theo Walcott and Aaron Ramsey were two of Arsenal's scorers in their friendly win
Wakali wa Gunners: Theo Walcott na Aaron Ramsey waliifungia Arsenal 
.......SOMA ZAIDI.....

GERVINHO AKAMILISHA USAJILI AS ROMA

Usajili wa wachezaji mbalimbali unazidi kushika kasi barani ulaya. (HM)
...SOMA ZAIDI.....

SERIKALI YAMGEUKA DR ULIMBOKA YADAI AMEFICHA USHAHIDI WA KUTEKWA KWAKE...

SIKU chache baada ya Mahakama ya Kisutu kumwachia mtu aliyedaiwa kumteka na kumtesa kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, serikali imemshukia daktari huyo na kudai ndiye chanzo cha kukwama kwa dola kukamata watu waliomteka.
..SOMA ZAIDI.....

SERIKALI YADHIBITI,UINGIZAJI,USAMBAZAJI NA UUZAJI WA TINDIKALI...


Kutokana na kukithiri kwa matukio ya uhalifu kwa kutumia tindikali, Serikali imeamua kudhibiti uingizaji, usambazaji na uuzaji wa rejareja wa tindikali zinazotumika viwandani, katika maabara na vyombo vya usafiri.
....SOMA ZAIDI......

AIBU YA MWAKA :KIJANA ATIWA MBARONI KWA KUFANYA MAPENZI NA NG'OMBE HUKO KILIMANJARO..... ANADAI KILA AKITONGOZA HUKATALIWA

JESHI la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia kijana mwenye umri wa miaka 15 mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Kelamfua iliyopo wilayani Rombo baada ya kukutwa akimwingilia ndama wa ng’ombe.
.....SOMA ZAIDI.....

MOTO WAUA WAWILI DAR,MMOJA AJINYONGA...!!

WATU watatu wamekufa katika matukio mawili tofauti jijini Dar es Salaam, wakiwemo wawili walioteketea kwa moto baada ya nyumba kuungua, huku mwingine ambaye ni msichana wa miaka 16 akifa kwa kujinyonga. Kwa mujibu wa Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Marietha Minangi, aliyejinyonga ni Milika Kusenha.
...SOMA ZAIDI......

KISA CHA SHEKHE PONDA KUPIGWA RISASI MKOANI MOROGORO CHABAINIKA




KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda, alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuumizwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro baada ya kumalizika kwa kongamano ya Dini ya Kiislamu.

......SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

FA Community Shield 2013: Match Preview for Manchester United vs. Wigan Athletic

Hi-res-175883898_crop_north
Making their first ever appearance in the FA Community Shield match, 2013 FA Cup champions Wigan Athletic will travel to Wembley Stadium on Sunday to face reigning Premier League victors Manchester United. 
United are the most storied franchise in the history of the Football Association event, outright winners of the Community Shield a staggering 15 times. Additionally, they have a near-spotless record against Wigan, dropping only one outcome in 17 matches.
.......READ MORE.....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...