facebook likes

Tuesday, February 26, 2013

FUNNY PICS OF TODAY 26.02.2013




.

Meet Kenya’s Nicki Minaj


She may not be as older nor fake (as far as looks are concerned) but her vocals can only be likened to Nicki Minaj’s. Listening to her latest track, you’ll agree that she can spit ill rhymes and sick flows like a supercharged evo.

Ladies and gentlemen, I give you Neekay tha Floet. Neekay, 20, is a young feisty artist hailing from Nairobi, Kenya. She started writing poetry at age 14 and ventured into hip hop at age 16 with influences such as Eminem.
Her latest song 'Lovin' Life' is a heartfelt dedication to her daughter and just like a typical loving mother would do, Neekay pours her heart out to her young one. This was produced by Jus Beef Music. Take a look;


HII NDIO SIMU MPYA ILIYOZINDULIWA, UKICHAJI MARA MOJA INAKAA NA CHAJI KWA SIKU 35.

Kampuni ya Nokia imezindua simu yake mpya ya mkononi ambayo ukiichaji mara moja tu, unaendelea kuitumia bila kuichaji kwa siku 35.. ni simu ambayo inatarajiwa kupata soko kubwa sana kwenye sehemu ambazo kuna tatizo la umeme na pia inaweza kutumika kama back-up phone
Simu hii ya Nokia 105 inatarajiwa kuingia sokoni ndani ya wiki chache zijazo ikiwa na mvuto kama colour screen, ina tochi na inashika Fm Radio na gharama yake ni ndogo sana pia.

.


JAY Z PERFORMING AT SO SO DEF 20th ANNIVERSARY

CD COVER YA WIMBO MPYA WA LADY JAYDEE
























Siku ya jana Lady Jaydee aliweza kuonyesha cd cover ya wimbo wake mpya ambao amemshikisha Prof Jay unaojulikana kama “Joto Hasira”. Hivi ndivyo Lady Jaydee alivyosema

“Naomba ku share muonekano wa ndani wa CD ya wimbo wangu mpya “JOTO, HASIRA” feat Prof Jay ambao unatoka siku za karibuni…Kama ambavyo huwa tunapiga story kila siku si vibaya tukishauriana pia kwenye hili, Kati ya No.1 hadi no. 4 ipi ndio itumike…”

Fat Joe - Ceilings To The Sky

Photos from Omotola Jalade Ekeinde's surprise birthday party

Awwwww, Omotola gets some love from her husband.



 

FILAMU YA ' LIFE OF PI' YAVUNJA REKODI TUZO ZA OSCARS



Filamu ya 'Life of Pi' imevunja rekodi kwa kushinda  tuzo nne za 'Oscars Academic' zilizofanyika jana usiku huku filamu ya 'Argo' ikiwa imenyakua tuzo tatu ikifwatiwa na 'Django Unchained' kwa kunyakua tuzo mbili

Life of Pi imeonekana kuvunja rekodi zaidi kwa kuwa ni filamu  ya pekee kutajwa mara 11 katika vipengele vyote 24 na kuweza kunyakua tuzo nne ikiwemo tuzo ya muongozaji bora,muziki wa asili,'Visual effects' na 'cinematography'

Ang Lee ambaye ndiye aliyechukua tuzo ya muandaaji bora kwa kupitia filamu yake ya Life of Pi imeonyesha utofauti mkubwa kwa kuweza kumuangusha Steven Spielberg ambapo kila mwaka alikuwa anaongoza kwa kuchukua tuzo hiyo hali ambayo kwa sasa imeonekana kuwa tofauti

Nayo filamu ya Argo imetajwa kwenye vipengele 7 na kuweza kunyakua tuzo tatu ikiwemo tuzo ya filamu bora, uhalili wa filamu pamoja na uandishi bora

Huku tuzo ya 'Actor in a suppoting role' ikiwa imechukuliwa na Christoph Waltz katika filamu ya 'Django Unchained' pamoja na tuzo ya uandishi bora ikichukuliwa na Quentin Tarantino katika filamu hiyo hiyo ya 'Django Unchained'

Ingawa filamu ya Lincoln imeonekana kutajwa mara 12 katika vipengere 24 imeweza kunyakuwa tuzo moja katika kipengele cha Usanifu Utayarishaji

Tuzo za Oscars Academic ni tuzo zinazofanyika kila mwaka ambapo sasa ni mara ya 85 kufanyika tuzo hizo

"We married in a quiet, private ceremony' Janet Jackson reveals she's married to Wissam

Janet Jackson today announced that she's not engaged to billionaire boyfriend Wissam Al Mana like wildly speculated but married to him.

Janet and Wissam released a joint statement today. See it below...

"The rumours regarding an extravagant wedding are simply not true. Last year we were married in a quiet, private, and beautiful ceremony. Our wedding gifts to one another were contributions to our respective favourite children’s charities. We would appreciate that our privacy is respected and that we are allowed this time for celebration and joy.'
Janet Jackson and secret weddings! Congrats to them

Chris Brown and Rihanna planning summer wedding?

According to Star magazine, Chris Brown and Rihanna are planning to wed at the end of July...

From Star Magazine;


Chris Brown and Rihanna are planning the wildest nuptials in showbiz history. The want tattoo artists, fire breathers and near naked waitstaff,” says a source.
“They’re even talking about having pre-rolled joints at the reception!”
The wedding, which is rumored to be happening in Barbados at the end of July, will be all about swagger, bling and sin,” says the source.
“They want to celebrate their relationship with people who believe Chris has changed.”
Lol. Who believes this?

Kim and Kanye pose nude for French magazine, L’Officiel Hommes

The cover leaked today. Sexy!

PENZI LA DIAMOND NA PENNY LAZIDI KUOTA MIZIZI . Angalia PICHA

Damn! is she pregnant already?
863bcc8e7cd711e290cd22000a1f90d7_7
f15a59c07b3511e2b4f022000a1f9ac6_7
0d7bac787b3411e28c6a22000a9f3c64_7
4de83da67d7f11e28f8322000a9f18ae_7
6b15ef6c7cd611e2ad9722000a9e2977_7

VIDEO YA KANYE WEST AKIZIWAKIA TUZO ZA GRAMMY, WADHAMINI NA WENGINE

PADRI MKUU WA KANISA KATOLIKI AJIUZULU



O'brien anasema atapinga vikali tuhuma dhidi yake



Mmoja wa mapadre waandamizi wa kanisa katoliki nchini Uingereza amejiuzulu wadhifa wake kufuatia shutma za kwamba alikwenda kinyume na matakwa ya kipadre mapema miaka ya themanini.



Kardinal Keith O'Brien ameachia madaraka kama kiongozi mkuu wa kanisa katoliki nchini Scotland na hatarajii kusafiri kwenda Vatican baadaye mwaka huu kumchagua Papa ajaye baada ya baba Mtakatifu Benedict wa 16 kijuzulu.


BBC imeelezwa kuwa kiongozi huyo,ameshutumiwa na mapadre watatu wa kanisa hilo na hatua hiyo ya kujiuzulu ni tukio kubwa katika mwenendo wa kanisa katoliki ikizingatiwa kuwa Kanisa hilo limekuwa kwenye shutuma za ulaji rushwa na matatizo ya kiongozi kwa siku za hivi karibuni.



Inaarifiwa Padre O'Brien aliwauvinjia heshima makasisi mingo mitatu iliyopita.

Hata hivyo, mwishoni mwa wiki, alisema kuwa anapinga vikali madai hayo.



Duru zinasema kuwa hatua ya kujizulu kwa padre huyo kunaongeza shinikizo kwa makadinali wengine wanaokabiliwa na tuhuma za walivyoshughulikia kashfa za ngono

na BBC

ASKARI WAKAMATWA KWA MAKOSA YA MAUAJI NA UNYANG'ANYI WA KUTUMIA SILAHA MBEYA

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya  Diwani Athuman amesema watuhumiwa hao wamewagawanya katika makundi mawili, ambapo kundi la kwanza ni la watuhumiwa 9 wakiwemo askari hao wawili wakidaiwa kuhusika na tukio la kuwaua kikatili na kisha kuwazika dereva na utingo wake





Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya  Diwani Athuman akiwa na viongozi wenzake wa jeshi hilo la polisi wakati wa kuongea na waandishi wa habari wa Mbeya

Silaha zilizokamatwa na na jeshi hilo la polisi ndizo zilikokuwa zinatumika na majambazi hayo 

Moja ya bastola iliyotengenezwa kienyeji kwa kutumia vipande vya bomba lakini inatumia risasi za kawaida na ni hatari sana silaha hii

Hivi ni vifaa vilivyokamatwa katika matukio mbalimbali yaliotokea mkoani hapa kamanda amewaomba wananchi wa mbeya kuja kuvitambua ofisini kwakwe 

Hizi ni silaha na sare za jeshi ambazo walikuwa wanatumia majambazi hao waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji


Waandishi wa habari wakimsikiliza kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya


Mfanyabiashara maarufu wa eneo la Mwanjelwa, Gath Mbilinyi (32), anayetuhumiwa kuteka na kuua

Hawa ndiyo wanaotuhumiwa  kuwaua  dereva na utingo wake na kisha kwenda kuwazika porini  

Samahani kwa picha hizi zinasikitisha haya ni mabaki ya miili ya tingo na dereva wake waliouwawa na watuhumiwa hapo juu



JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu 13, wakiwemo askari wawili wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na polisi mmoja  kwa matukio ya mauaji na unyang'anyi wa kutumia silaha.

Akizungumza na waandishi habari jijini Mbeya Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya  Diwani Athuman amesema watuhumiwa hao wamewagawanya katika makundi mawili, ambapo kundi la kwanza ni la watuhumiwa 9 wakiwemo askari hao wawili wakidaiwa kuhusika na tukio la kuwaua kikatili na kisha kuwazika dereva na utingo wake.

kundi la pili ni la watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya dereva wa polisi lililotokea Wilayani Chunya mkoani hapa baada ya kufanyika uporaji wa shilingi milioni 2,200,000 katika kituo cha mafuta eneo la Matundasi wilayani chunya.

Akitoa ufafanuzi zaidi Kamanda Diwani amesema, katika tukio la kwanza ni lile lililotokea Februari 2 katika eneo la Mafinga,Mkoani Mbeya, ambapo watuhumiwa wa kundi la kwanza waliwateka dereva na utingo wake, Festo Kyando (45) na Jafari lililotokea na kuwaua kisha kwenda kuwazika porini.

Amesema dereva huyo alikuwa ametoka Jijini Dar es salaam kubeba mzigo wa wafanyabiashara kwa lengo la kuleta mkoani Mbeya, lakini kumbe walikuwa wakiwindwa na walipofika mkoani Iringa walitekwa na kufanyiwa mauaji hayo ya kinyama.

Kamanda Diwani amesema kufuatia tukio hilo jeshi la polisi lilianza uchunguzi mkali na hatimaye kunasa mtandao huo wa watu 9 wakiwemo askari hao wawili wa jeshi la polisi na JWTZ,ambao uchunguzi umebaini kuwa hutoa mavazi ya majeshi hayo na silaha.

Kamanda Diwani amewataja watuhumiwa hao kuwa MT.85393 Samwel Charles  Balumwina(31) wajiriwa wa jeshi la wananchi kikosi 844 kikosi cha Itende Mbeya na G.1901PC Samwel Kigunye (27) askari wa jeshi la polisi Jijini Mbeya.

Wengine ni mfanyabiashara maarufu wa eneo la Mwanjelwa, Gath Mbilinyi (32), Rajabu Mbilinyi(25), Gregory Mtega(25,Francis Sanga(30) pamoja na ndugu ambao ni wafanyabiashara maarufu katika mji wa Makambako mkoani Njombe ambao ni Japhet Ng'ang'ana(24), Claud Ng'ang'ana(36), Hilally Ng'ang'ana(30)

Hata hivyo amesema walifanikiwa kukamata bidhaa hizo katika eneo la Tunduma ambako tayari zilikuwa zimekamatwa na kwamba miongoni mwa watuhumiwa ndiye aliyeuziwa mzigo huo.

Amesema mali zilizookolewa katika matukio hayo kuwa ni Nondo 397 za aina tofauti pamoja na bando 18 za mifuko ya sandarusi(Sulphate) ambavyo vinashikiliwa na jeshi la Polisi Tunduma Wilani Mbozi Mkoani hapa.

Katika tukio la pili ni lile linalohusisha vifo vya watu wawili wilayani Chunya, ambao ni dereva wa polisi na dereva wa gari la majambazi baada ya kutokea kurushiana risasi.
Amesema tukio hilo lilitokea Februari 6 baada ya watuhumiwa wanne ambao wanashikiliwa na jeshi hilo kufanya uporaji wa shilingi milioni 2,200,000 katika kituo cha matundasi wilayani humo.
Amewataja madereva hao waliouwawa katika tukio hilo kuwa ni dereva wa polisi aliyefahamika kwa jina moja la Jafari, ambapo yule wa majambazi akitajwa kwa jina la  Shabani John.
Diwani amewataja watuhumiwa wanashikiliwa kwa tukio hilo kuwa ni Manase Kibona (37).Emmanuel Mndendemi na Masai Hongole, Mashaka George, John Mahenge, Narasco Mabiki.

Kamanda huyo amezitaja mali zilizookolewa katika matukio hayo kuwa ni Nondo 397 za aina tofauti pamoja na bando 18 za mifuko ya sandarusi(Sulphate) ambavyo vinashikiliwa na jeshi la Polisi Tunduma Wilani Momba  Mkoani Mbeya.

Aidha,kamanda Diwani  amevitaja baadhi ya vielelezo vilivyokamatwa  kuwa ni Bunduki aina ya Shot Gun moja ambayo namba zake zilifutika, Gobore moja ambalo pia namba zake zilifutika, Bastora tatu zilizotengenezwa kienyeji zisizo na namba na zinazotumia risasi za s/Gun.

Vingine ni Risasi 31 za Silaha ya SMG/SAR, Sare za Jeshi (JWTZ), suruali 4, mashati 4 kofia 3 na Viatu jozi mbili , Risasi 99 za S/GUN, Risasi 25 za Bastola na magari yenye namba T 464BLX TOYOTA COROLA,T381 BDR VITZ, T 251 AKU Toyota Pick Up ,T 193 BDY  Toyota Premio na T 214 ASV  Toyot Mark II.

Hata hivyo Kamanda wa Polisi anawashukuru wananchi wa Mkoa wa Mbeya waliojitokeza katika ktoa ushirikiano wa kuwasaka majambazi hayo ambapo pia anaendelea kutoa wito kwa watu wenye taarifa za watu ambao haeajakamatwa.
Ameongeza kuwa taratibu za upelelezi zimekamilika ambapo taratibu za kuwafikisha mahamakamani zinaendelea.
   

GOLDIE LAID TO REST

Goldie was laid to rest yesterday Monday February 25th at a private funeral held at Vaults and Gardens cemetery in Ikoyi. The singer died on Thursday February 14th. Continue to rest in the bosom of the Lord.
 

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...